WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Hapa kaitaba tia maji tia maji upande wa yanga
Sasa mbona umekuja penyewe?Hapa Kaitaba ni mapumziko Yanga 1 Kagera 0
Hapa kaitaba tia maji tia maji upande wa yanga
Kwa taarifa yako mimi Yanga kuliko wewe na nimetoka Dar asubuhi ya leo kwa ajili ya mechi hii,we si hapa ni kwenu?!pili katika kuripoti mechi tunaweka ushabiki pembeni tunaeleza ukweli,jifunze!
Kagera rudisheni pesa mulizo pewa kama mnataka kushinda.
Refa sasa anazomewa kw sbbu maamuzi yake kwa Yanga ni tofauti,anazomewa!
Batez kaumia cjui kama ataendelea hapa
Pamoja Mkuu,Hapa kaitaba tia maji tia maji upande wa yanga
Sasa mbona umekuja penyewe?Hapa Kaitaba ni mapumziko Yanga 1 Kagera 0
Mkuu jikite zaidi kutusimulia kinachotokea uwanjani acha malumbano yasoyokuwa NA tija.
Simba 1-0 prison, shamte goaaal, dakika 59
Tatizo la TZP wamerudi nyuma, hii inaweza kuwaletea madhara makubwa sana.
Mkuu usiniambie kuwa refs ameanza kuwabeba kwenye mbereko hao wakata miwa.
Pale ulitia chumvi, penye ukweli mm nasema
Simba 1-0 prison, shamte goaaal, dakika 59
unatabili vizuri, litakuja tu.Simba 1-0 prison, shamte goaaal, dakika 59
nimeanza kuiangalia mech ya simba, hiv ndio hawa tutacheza nao au?
Mkuu usiniambie kuwa refs ameanza kuwabeba kwenye mbereko hao wakata miwa.
Mkuu huyu jamaa kaniboa sana,anasema ni 50 50 wakati Kagera wamecheza mpirakwa takriban dk 20 na kukosa mabao kama manne langoni mwa Yanga,mi naeleza heye anajifanya ana vipimo!