Kutoka dar ndo nini kwani unajua mimi nimetoka wapi
Wahi mirembe wewe.
Ebu niangalie upande wa kushoto wa massawe nimefunga kilemba cha skafu ya Yanga kichwani na jezi ya yanga, angalau nkupe hi
Game vp ishaanza?
TZ yote ni yetu wakuu WABHEJASANA na Ta Kamugisha acheni marumbano rudini kwenyd mchezo mtupe updates. Si mmeona Makoye Matale na Crashwise wameacha utoto na updates zinatiririka tu. Simba 1-0 TZP, Mkude.
goli kali Simba 1

Mpira bado haujatulia,pengin labda ni kwa sbb ya uwanja pia,una mabondemabonde.
Kumbe anadanganya.....
mKUDE ANAFUNGA GOLI LA MWAKA HAPA
Pamoja na hayo Mkuu unanikosea kusema mimi naivhongea Yanga mkuu?!
nasikia kijana
anachangisha hela kwa ajili ya kulipa lile deni,ivi ule mkanda wa X
hauwezi kuingiza mapata fasta fasta
mKUDE ANAFUNGA GOLI LA MWAKA HAPA
Batez kaumia cjui kama ataendelea hapa
Kapendeza kimtindo