12/10/2013 Vpl Special Coverage and updates:SIMBA VS PRISON, KAGERA SUKARI VS YANGA

ninachokiona hapa uwanjani ni kama vile wachezaji wa simba hawataki kumpa mipira ya mwisho Tambwe, yani singano ankwenda na mpira hadi golini then baada ya kumpa Tambwe anapiga booonge la shuti nyuma kwa beki
 
Kiukweli,Kagera sasa wanacheza mpira,wanapanga mashambulizi,kila baada y dakika na nusu ama mbili wanaingia langoni mwa Yanga.
 
Ngasa anakosa bao akiwa ndani ya 18 anapiga shuti kali baada ya kuwalamba chenga mabeki wawili wa Kagera na mpira unatoka nje.
 
Kiukweli,Kagera sasa wanacheza mpira,wanapanga mashambulizi,kila baada y dakika na nusu ama mbili wanaingia langoni mwa Yanga.

Waambie wafunge tunataka magoli, sio kushambulia tu halafu hawataki kutikisa nyavu.
 
Utapangaje mipango bila kumiliki mpira, unamiliki kwanza halafu ndo mipango inafuata.

Wanamiliki mpira lakini hawana mipango. Ukimiliki weka mipango..wanaruka ruka tu.Hakuna pasi nzuri wala moves
 
ninachokiona hapa uwanjani ni kama vile wachezaji wa simba hawataki kumpa mipira ya mwisho Tambwe, yani singano ankwenda na mpira hadi golini then baada ya kumpa Tambwe anapiga booonge la shuti nyuma kwa beki
Wanamuonea wivu Tambwe...
 
Back
Top Bottom