Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,932
AzTV wanapotosha eti Yanga ni mabingwa mara 23, ukweli ni kuwa Yanga ni mabingwa mara 24.
Nao wameanza kama TBC...??
AzTV wanapotosha eti Yanga ni mabingwa mara 23, ukweli ni kuwa Yanga ni mabingwa mara 24.
Mkuu mimi nilishangazwa kidogo kusema Simba hawana mpira huku mwingine akisema wanamiliki mpira sana kama inavyoonyesha hapa chini.

Dakika 2 ngasa bao
Kaitaba ni uwanja wa ovyo kabisa, unahitaji uvumilivu wa hali ya juu.
Niyonzima anapata kadi ya njano baada ya kumchezea madhambi Salum Kanoni.dk ya 12
Haya bana.
Sasa mpira umeanza kutulia Kagera wameanza kupanga mashambulizi,ttizo lao mipira yao mingi hailengi lango.
hivi Julio ndio head coach?? jamaa amesimama muda wote ilhali kibadeni amekaa, hiki kitu ulaya huwezi ona assistant manager amesimama then meneja amekaa

Dak. 45 Simba 0-0 TZP, +2mins.