Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,476
- 40,680
Sawa
Nawewe eti ndiyo mjenga hoja wa ccm 😄 😄 😄Rudieni tena muone. Tanzani ya sasa siyo ile mlioishika kidevu 10/29. Mbona mnapanga kila wakati mara 7/7 mara 8/8 lakini hakuna Mbwa yeyote au Paka anayejaribu.Waliokuwa wanawachochea wenyewe wanawakimbia. Mtaandika kwa mashairi,nahau ,vitendawili na misemo ya kila namna ila hii ingefaa zaidi kwa kuwapatia maksi za darasani mkiwa skuli.Kwa sasa hakuna wa kuwachekea tena.
I second you 100%Brother britanicca wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mfumo na ndio maana awamu ya 5 ulikuwa unavujisha info za uhakika kwa sababu ulikuwa unapewa uzivujishe
Sasa hivi habari zote unazotoa ni kwa lengo la kupumbaza watu na kuwapa matumaini hewa.
There is no way kwa utawala huu uvujishe taarifa nyeti na usipatikane, NEVER ,hayo yalitokea awamu ile na hayatojirudia,
Kwahiyo bro acha kupotosha humu,mimi nimekufuatilia kwa ukaribu kwa kipindi kirefu sana,wewe ni mpotoshaji 100% na uache hiyo tabia mara moja ingawa hata usipoacha sina la kukufanya,
Kuna muda unapewa taarifa za ukweli zisizo na madhara uzivujishe ili uendelee kujipatia credibility humu
Na wewe kafiran na Mama yako mzazi ili kubalance story...Haya bwana.
Karibuni sana watoto wa Mange Kimambi mlaaniwa aliyezaa na baba yake mzazi aliyefi ...RWA.
Yaani vijana wamekuwa toilet paper kabisa.
Bora vijana wa Sudan, yule binti aliyewajaza upepo wachinjane wenyewe kwa wenyewe kama mbuzi kipindi kile alikuwa ndani ya Sudan.
Ingawa baada ya mission kukamilika akarushwa ng'ambo na chopa ya mabeberu wake.
Sasa hawa vijana wanaoambiwa inuka, inama, lala chali na mtu ambaye fully yuko nje sijui wana mtindio wa aina gani
Mzee wa Gombe hana marinda ??? Hatari kubwa hiiYaan nimesoma kule telegram ngoja nimpigie kubenea au Gwajima! Kumbe Wasira ni Msenge sana