Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.
Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba...