Zitto Kabwe Agonga Mwamba kwa Madiwani wa ACT Wazalendo Kigoma ujiji

NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2014
Messages
377
Points
250

NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2014
377 250
Kwa kile kinachoonesha Madiwani kumchoka Zitto Kabwe, Wamchana wazi Jioni hii kwenye Ofisi za ACT Wazalendo Kigoma ujiji ambayo ni Makao Makuuu ya ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, kuwa wamemchoka kwa tabia yake ya kudai 10% kwa migongo ya Madiwani lakini Mwishowe anaishia kuwapatia Madiwani wachache.

Kutokana na Hali hiyo wamepanga kuhakikisha Meya anavuliwa umeya na hawatopokea tena ushauri wa Zitto kwa kile kinachodaiwa kuwa Zitto Kabwe anakipaji cha kudanganya haswa kwa kutumia kikosi cha Wataalam 50 wa ramli.

Wameapa hawatomsikiliza tena Zitto ameshikwa panyewe.

Update: Anawalilia Madiwani Wamsamehe kwa yote yaliyotokea ili kukinusuru chama yasitokee kama ya DSM akieleza kuwa Chama chao ni Kichanga kina Malengo Makubwa. Acha kulia brother sindano ikuingie. Umehujumu sana miradi ya wanakigoma. Unawachonganisha wanakigoma na Serikali ili wawachukie wasilete Maendeleo ili kwenu Burundi kuonekane Bora kuliko Tz kwa upande wa Kigoma tumekustukia go go Zitto we tired with your poor mission
 
Ben Bella

Senior Member
Joined
Dec 3, 2019
Messages
148
Points
1,000

Ben Bella

Senior Member
Joined Dec 3, 2019
148 1,000
Update: Anawalilia Madiwani Wamsamehe kwa yote yaliyotokea ili kukinusuru chama yasitokee kama ya DSM akieleza kuwa Chama chao ni Kichanga kina Malengo Makubwa. Acha kulia brother sindano ikuingie. Umehujumu sana miradi ya wanakigoma. Unawachonganisha wanakigoma na Serikali ili wawachukie wasilete Maendeleo ili kwenu Burundi kuonekane Bora kuliko Tz kwa upande wa Kigoma tumekustukia go go Zitto we tired with your poor mission
Hii habari imekaa kiumbeaumbea sana utadhani aliyeandika ametoka kwenye mzunguko wa hedhi hivi majuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
5,486
Points
2,000

Ileje

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
5,486 2,000
Kwa kile kinachoonesha Madiwani kumchoka Zitto Kabwe, Wamchana wazi Jioni hii kwenye Ofisi za ACT Wazalendo Kigoma ujiji ambayo ni Makao Makuuu ya ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, kuwa wamemchoka kwa tabia yake ya kudai 10% kwa migongo ya Madiwani lakini Mwishowe anaishia kuwapatia Madiwani wachache. Kutokana na Hali hiyo wamepanga kuhakikisha Meya anavuliwa umeya na hawatopokea tena ushauri wa Zitto kwa kile kinachodaiwa kuwa Zitto Kabwe anakipaji cha kudanganya haswa kwa kutumia kikosi cha Wataalam 50 wa ramli. Wameapa hawatomsikiliza tena πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜†πŸ˜† Zitto ameshikwa panyewe. Mtamuua Mrundi/Mbwali
Hiyo mimba inakupeleka kubaya!
 
goggles

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
1,926
Points
2,000

goggles

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
1,926 2,000
Kwa kile kinachoonesha Madiwani kumchoka Zitto Kabwe, Wamchana wazi Jioni hii kwenye Ofisi za ACT Wazalendo Kigoma ujiji ambayo ni Makao Makuuu ya ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, kuwa wamemchoka kwa tabia yake ya kudai 10% kwa migongo ya Madiwani lakini Mwishowe anaishia kuwapatia Madiwani wachache. Kutokana na Hali hiyo wamepanga kuhakikisha Meya anavuliwa umeya na hawatopokea tena ushauri wa Zitto kwa kile kinachodaiwa kuwa Zitto Kabwe anakipaji cha kudanganya haswa kwa kutumia kikosi cha Wataalam 50 wa ramli. Wameapa hawatomsikiliza tena Zitto ameshikwa panyewe. Mtamuua Mrundi/Mbwali
1. Waha hawapendani
2. Waha ni wajuaji
3. Waha ni wabishi
4. Waha ni washirikina
5. Waha ni ..................

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mibas

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
3,408
Points
2,000

Mibas

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
3,408 2,000
Mi CCM bwana!! Kwa hio mnataka kumuondoa na meya wa kigoma ujiji ili muonekane miamba sio? Mlianza Iringa jamaa akakataa kununuliwa kama mfugo, mkaenda Arusha akafika bei, mkaelekea Dar sijui mkuria yule mlimpa dau dogo maana alikua na elements za kuunga mkono juhudi hatimae mkashindwana mkaamua kumuondoa kwa hila (illegally). Sasa naona Bashiru Ally amekuja huko kuhakikisha meya wa huko anaondolewa!!!!!
Ipo siku haya yataisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushora Ndago

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Messages
310
Points
500

Ushora Ndago

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2019
310 500
Nasisitiza Zitto Zuberi Kabwe ni mwasiasa mnafiki na mbinafsi haijawahi tokea ! OPPORTUNISTIC POLITICIAN OF ALL TIME ! Kifupi ni mhuni tuu ! Wacha wamkazie hao madiwani wake !
 
NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2014
Messages
377
Points
250

NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2014
377 250
Mi CCM bwana!! Kwa hio mnataka kumuondoa na meya wa kigoma ujiji ili muonekane miamba sio? Mlianza Iringa jamaa akakataa kununuliwa kama mfugo, mkaenda Arusha akafika bei, mkaelekea Dar sijui mkuria yule mlimpa dau dogo maana alikua na elements za kuunga mkono juhudi hatimae mkashindwana mkaamua kumuondoa kwa hila (illegally). Sasa naona Bashiru Ally amekuja huko kuhakikisha meya wa huko anaondolewa!!!!!
Ipo siku haya yataisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo jaribu kutuliza mizuka Mtu huko kidogo animwage radhi
 
gambanjeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
365
Points
250

gambanjeli

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
365 250
1. Waha hawapendani
2. Waha ni wajuaji
3. Waha ni wabishi
4. Waha ni washirikina
5. Waha ni ..................

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari hii ni ya upande mmoja. Hakuna maoni ya diwani au madiwani, picha etc. Zito ana nafasi ya kuueleza umma hali halisi. Lakini Bashiru Ally atatoka na madiwani kama alivyofanya Tanga, habari hii itakuwa na mashiko
 
NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2014
Messages
377
Points
250

NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2014
377 250
Mi CCM bwana!! Kwa hio mnataka kumuondoa na meya wa kigoma ujiji ili muonekane miamba sio? Mlianza Iringa jamaa akakataa kununuliwa kama mfugo, mkaenda Arusha akafika bei, mkaelekea Dar sijui mkuria yule mlimpa dau dogo maana alikua na elements za kuunga mkono juhudi hatimae mkashindwana mkaamua kumuondoa kwa hila (illegally). Sasa naona Bashiru Ally amekuja huko kuhakikisha meya wa huko anaondolewa!!!!!
Ipo siku haya yataisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Meya Aliomba Milioni 10 kwa Mtendaji wa Serikali eti atakatwa kwenye pension eti abakie na Umeya. Hivi Meya analipwa shiling ngapi
 
maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Messages
2,182
Points
2,000

maganjwa

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2012
2,182 2,000
ipo siku mtamaliza wote alafu mtagundua kumbe bado bashite mtammaliza alafu mtasema apana tunamwachaje polepole mwisho siku mtatuona watanzania mbona hawatupendi. sijui ikifika siku hiyo mtakapojua hayo mtushughulikie?

ccm movi yenu hii ipo siku mtajutia
 
mitigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
4,122
Points
2,000

mitigator

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
4,122 2,000
Update: Anawalilia Madiwani Wamsamehe kwa yote yaliyotokea ili kukinusuru chama yasitokee kama ya DSM akieleza kuwa Chama chao ni Kichanga kina Malengo Makubwa. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Acha kulia brother sindano ikuingie. Umehujumu sana miradi ya wanakigoma. Unawachonganisha wanakigoma na Serikali ili wawachukie wasilete Maendeleo ili kwenu Burundi kuonekane Bora kuliko Tz kwa upande wa Kigoma tumekustukia πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† go go Zitto we tired with your poor mission
Ujinga mtupu ndo mana umekua kidwarf
 
NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2014
Messages
377
Points
250

NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2014
377 250
ipo siku mtamaliza wote alafu mtagundua kumbe bado bashite mtammaliza alafu mtasema apana tunamwachaje polepole mwisho siku mtatuona watanzania mbona hawatupendi. sijui ikifika siku hiyo mtakapojua hayo mtushughulikie?

ccm movi yenu hii ipo siku mtajutia
Jamani Wanagombea ten percent wenyewe hapo CCM inahusikeje. Nasikia Kiongozi Mkuu Mpaka macho yamevimba huwezi kumtambua. Leo alikuwa amevaa cadate nyeupe imebadilika rangi na kuwa ya Majimaji. 😎😎😎😎 akina Kacheche Kalyango Mpaka wanaoana aibu 🀨🀨🀨🀨😐
 
thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
6,362
Points
2,000

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
6,362 2,000
Jambo jema
Kwa kile kinachoonesha Madiwani kumchoka Zitto Kabwe, Wamchana wazi Jioni hii kwenye Ofisi za ACT Wazalendo Kigoma ujiji ambayo ni Makao Makuuu ya ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, kuwa wamemchoka kwa tabia yake ya kudai 10% kwa migongo ya Madiwani lakini Mwishowe anaishia kuwapatia Madiwani wachache. Kutokana na Hali hiyo wamepanga kuhakikisha Meya anavuliwa umeya na hawatopokea tena ushauri wa Zitto kwa kile kinachodaiwa kuwa Zitto Kabwe anakipaji cha kudanganya haswa kwa kutumia kikosi cha Wataalam 50 wa ramli. Wameapa hawatomsikiliza tena Zitto ameshikwa panyewe. Mtamuua Mrundi/Mbwali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,391,994
Members 528,520
Posts 34,095,053
Top