Naukumbuka Utatu wa Zitto, Deo na Kangi

Naukumbuka Utatu wa Zitto, Deo na Kangi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,619
Ulikuwa ni utatu uliojikita katika uzalendo na ukweli na kamwe haukuyumbishwa na figisu za mafisadi.

Lakini leo Kangi anafisadi mradi wa zaidi ya sh tririoni 1 huku Zitto akizuia mradi wa zaidi ya sh trrioni 1 ambao ungewezesha ujenzi wa madarasa 1000, maabara na nyumba za walimu.

Ama kwa hakika wanasiasa ni vinyonga na kamwe usimuamini mwanasiasa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Haya yaliyofanywa na Kangi ni AIBU ya Magufuli mwenyewe..

Angekuwa ni Rais makini anaefanya teuzi kwa ushauri na serious vetting, Kangi hakupaswa kuwa kwenye cabinet asilani..

Lakini kwakuwa analoamua yeye ndio linaluwa hakuna wa kupiga wala kushauri, wacha apate hii aibu.

Zitto na wanaharakati wamefanya lililo jema sana kuandikia WB kuzuia mkopo mpaka kuwe na uwanja sawa wa Elimu kwa watoto wa kike wanaopata ujauzito mashuleni waweze kurejea na kupata Elimu kwa usawa.
 
Ulikuwa ni utatu uliojikita katika uzalendo na ukweli na kamwe haukuyumbishwa na figisu za mafisadi.

Lakini leo Kangi anafisadi mradi wa zaidi ya sh bilioni 1 huku Zitto akizuia mradi wa zaidi ya sh bilioni 1 ambao ungewezesha ujenzi wa madarasa 1000, maabara na nyumba za walimu.

Ama kwa hakika wanasiasa ni vinyonga na kamwe usimuamini mwanasiasa.

Maendeleo hayana vyama!
Acha maneno wewe. Serikali ya Tz ina mapesa mengi ya kutosha. Zikiisha tutafyatua nyingine kwenye mashine za photocopy
 
Politics is when you say you are going to do one thing while intending to do another. Then you do neither what you said nor what you intended.

Saddam Hussein
 
Haya yaliyofanywa na Kangi ni AIBU ya Magufuli mwenyewe..

Angekuwa ni Rais makini anaefanya teuzi kwa ushauri na serious vetting, Kangi hakupaswa kuwa kwenye cabinet asilani..

Lakini kwakuwa analoamua yeye ndio linaluwa hakuna wa kupiga wala kushauri, wacha apate hii aibu.

Zitto na wanaharakati wamefanya lililo jema sana kuandikia WB kuzuia mkopo mpaka kuwe na uwanja sawa wa Elimu kwa watoto wa kike wanaopata ujauzito mashuleni waweze kurejea na kupata Elimu kwa usawa.

Itafika siku tu mutawambia wazuie pesa mpaka tukubali ushoga na hili likifanikiwa mtaanza kudai ushoga, najua wengi humu hamtaki kujitangaza lakini mna taka sana ushoga, kika nchi ina mila zake, mshindwe na mlegee.
 
Back
Top Bottom