Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.
Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
Mwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge katika jimbo hilo, Manispaa ya Kigoma itatoa nafasi kwa wanawake kujifungua bure.
Zitto ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 28, wakati wa hafla ya kufunga kampeni...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama mkoani humo kuepuka kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani, akisisitiza kuwa hali ya usalama katika mkoa huo ni shwari.
Zitto ametoa wito huo leo Oktoba 28 wakati wa hafla ya...
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia ACT Wazalendo @actwazalendo_official Zitto Kabwe ameahidi kuwa chama chake kitakaposhinda nafasi ya ubunge na pamoja na kuwa na madiwani wengi kisha kuongoza Halmashauri ya Kigoma Ujiji kitaondoa michango yote mashuleni katika manispaa hiyo ambayo...
Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa na mgombea udiwani kata ya Gungu wa chama hicho, walipokuwa wakiomba kura kwa wakazi wa kata hiyo katika soko la masanga, wamekutana na kilio cha wananchi hao juu ya uboreshwaji wa soko hilo.
Mmoja wa wananchi...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wasimamizi wa uchaguzi kuhakikisha zoezi la upigaji kura linakuwa la wazi kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi mkuu.
"Ninajua watu wanahofu na uchaguzi, wengine wanauliza tukikupa kura hawa watu...
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kususia uchaguzi siyo suluhisho la kupambana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani hakijali chochote, bali njia pekee ni kupambana nacho kwenye sanduku la kura kwa kuhakikisha wananchi wanapiga kura nyingi za kukiondoa madarakani...
Kamati ya Uongozi ya chama cha ACT Wazalendo imesema itakata rufaa kupiga uamuzi wa Mahakama kuu Masijala ya Dodoma, kuitupilia mbali kesi ya mgombea Urais wa Chama hicho, Luhaga Mpina aliyepinga kuondolewa kwenye kinyang’anyiro hicho
Mahakama hiyo ilisema haina mamlaka ya kuingilia maamuzi ya...
Kamati ya Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo inatarajiwa kukaa kikao cha dharura usiku wa leo Oktoba 15, 2025 ili kujadili na kuamua ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya Urais au watampigia nani.
"Usiku wa leo kamati ya uongozi wa chama chetu chini ya kiongozi wetu wa chama...
"Wamezuia mgombea wetu na kesho(leo Oktoba 15,2025) tunakwenda mahakamni kupata uamuzi, lakini kwa maamuzi yoyote yale bado nyinyi mna maamuzi ya kufanya."
Aidha amesisitiza endapo Mpina asipopitishwa na Mahakama, wananchi wawachague Wabunge wa ACT Wazalendo "tukipata wabunge wengi ndani ya...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema moja ya ahadi zake ni kitetea Watu wa Kigoma ambao wamekuwa wakipata usumbufu katika suala la Uraia wao.
Zitto ambaye ni Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema hayo Jumapili Oktoba 12, 2025...
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili Oktoba 12, 2025 anafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center.
https://www.youtube.com/live/FfJn75bEH7Y?si=XT0o3ke-vz7q0bIs...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa wito kwa wananchi wa jimbo la Buhigwe kumchagu Mgombea ubunge wa jimbo hilo Frank Ruhasha ili mkoa wa Kigoma uwe na wabunge wengi jambo ambalo anaamini litamfanya kuacha kuwaza ubunge badala yake afikirie kugombea Urais mbeleni...
Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Baba Levo amesikitishwa na Mpinzani wake kutoka Chama cha ACT Wazalendo, kuomba kupiga picha na baadhi ya Wanachama wa CCM Kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho uliofanyika Mkoani Mwanza.
"Inasikitisha sana kumuona kiongozi...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama hicho kitafanya kampeni katika kila kona ya nchi endapo Mahakama Kuu itatoa maamuzi yatakayoruhusu Luhaga Mpina kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho
Akizungumza Oktoba 6, 2025 katika mkutano wa...
"Polepole si yupo nje ya nchi Canada sasa ametekwaje Tanzania?" Ni kweli kauli hii imetolewa na Mwenyekiti wa zamani na mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe?
CCM inang'ang'ania madarakani, haitaki kutoka jumlajumla, nyinyi wananchi mnaweza kuiondoa CCM rejareja kwa kuanza na wabunge. Geuzeni uchaguzi huu kuwa ni kura ya maoni, kura ya kutokuwa na imani na CCM kwa kuwachagua wabunge wa ACT Wazalendo, na kule kwenye udiwani madiwani wa ACT Wazalendo"...
"Mnajua kwamba tunapambana kwa ajili ya mgombea wetu wa urais, kesi inaendelea. Tunatarajia hivi karibuni tutapata maamuzi, na sisi tumejiandaa kesi itakapokishwa tu. Hata kama zimebaki siku kumi, tutatumia hizo hizo kuendelea kutafuta kura, na tunafahamu Chama cha Mapinduzi kinamuogopa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.