zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Tutampigania Mpina hadi atakaporejeshwa, tunaamini Mahakama itatenda haki

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha Act Wazalendo Zitto Kabwe, amesisitiza kuwa chama hicho kimejipanga kikamilifu kupambana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao, kwa lengo la kuhakikisha demokrasia ya kweli inatamalaki nchini. Zitto ameyaeleza hayo Septemba 29, 2025 akiwa Same Mashariki...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Zitto ni mbinafsi wa juu lakini Baba Levo ni mtumishi wa wananchi

    Vita ya siasa inazidi kuwa tamu huko jimbo la Kigoma Mjini ======================= Kutoka vijiweni hii ni baadhi ya mijadala ambayo inaendelea kujadiliwa na wananchi wa jimbo la kigoma mjini, kwa kupembua uwezo wa wahombea wao kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Katika mjadala huu amesikika...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Mbunge na Madiwani wa CCM wameshauza Biafra wakidai ilikuwa Mali yao, wamekaa Vikao kazi yao kuuza kila eneo la Wazi

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Jimbo la Kinondoni lina nafasi kubwa ya kuleta mageuzi ya kimaendeleo endapo litaongozwa na Kiongozi mwenye maono ya kweli, na kudai kuwa kwa sasa maeneo mengi yameuzwa ikiwemo Viwanja vya Biafra na ameahidi ACT ikishinda...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Zitto aahidi kuwapambania waliovunjiwa nyumba zao mwaka 2023, mtaa wa Machinjioni walipwe fidia

    Zitto kupitia ukurasa wake wa X anaandika; "Katika mazungumzo yangu na wakazi wa Kata ya Machinjioni nilielezwa dhahma iliyowakuta tarehe 17/01/2023 ambapo walivunjiwa nyumba zao kupisha eneo la uwekezaji la KISEZ. Kwa uchungu mkubwa wananchi walinieleza namna wamefukarishwa na Serikali ya CCM...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege amshinikiza Zitto kujibu tuhuma za CCM, adai kufukuzwa baada ya uchaguzi wa Oktoba

    Kada wa Chama cha ACT-Wazalendo na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Seleman Bungura maarufu kama Bwege, akizungumza na kituo cha Mwanahalisi TV leo Septemba 28, 2025, amesema kuwa Zitto Kabwe anatakiwa kujitokeza na kujibu tuhuma zinazodai kuwa yeye ni sehemu ya "CCM B"...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe ataka mdahalo na washindani wake kwenye jimbo la Kigoma Mjini

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe awaomba Wazee wa Kigoma kuitisha mdahalo baina yake na washindani wake katika jimbo hilo kisha kila mmoja aeleze yale aliyoyafanya katika jimbo hilo. Ameyasema hayo Septemba 26, 2025 kwenye mkutano wake wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: CCM Watueleze wamefanya nini Miaka Mitano

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amehoji utendaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, akieleza kuwa yeye tayari ameonesha dira (vision) yake kwa Ujiji na kueleza mambo ya msingi yanayopaswa kufanyika ili mji...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto aulizwa na Wananchi, Kura za "Urais tumpe nani?"

    Mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, uliofanyika kata ya Buhanda, alimpa changamoto kwa kumuuliza: "Ubunge tukupe wewe, lakini urais tumpe nani endapo chama chenu hakitasimamisha mgombea wa urais?"...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Nikishinda Ubunge, kujifungua itakuwa bure

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameahidi kuwa akichaguliwa hakuna mwanamke atakayelipa fedha wakati wa kujifungua. Akizungumza leo katika Kata ya Buhanda, Kigoma, Zitto pia ameahidi kuboresha miundombinu ya barabara za kuunganisha Buhanda na mjini...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi ampiga dongo Baba Levo, ni darasa la saba awezi kuliongoza jimbo Kigoma Mjini, anayefaaa ni Zitto

    Mwananchi kaamua kujisema bila kuogopa kwamba jamaa anajuwi kusoma wala kuandika, na Jimbo la Kigoma Mjini ni jimbo lenye viwanda kwahiyo linamtaka mbunge msomi. Na akaukubali kupiga kura kwa Zitto Kabwe kwamba yeye ni msomi ================ Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia...
  11. upupu255

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi amwambia Zitto 'Hili jimbo anatakiwa msomi'

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea na kampeni zake kwa kutembelea wananchi mtaa kwa mtaa katika Kata ya Buhanda, Kigoma Mjini, akiwahimiza kumpa kura ifikapo Oktoba 29, 2025. Zitto amekuwa akitumia fursa hiyo kueleza sera na mipango...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: ACT ndiyo imeshikilia Ufunguo wa Maendeleo

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kuibua upya Barabara ya Msimba-Ujiji ili kuwaondolea wananchi wa Kata ya Businde changamoto ya kushindwa kufanya safari zao Zitto ameyasema hayo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Businde...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Mkinichagua bei ya Simenti itashuka Kigoma

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amewaambia wanakigoma wakimchagua kuwa Mbunge atashusha bei ya Simenti ambayo inazalishwa katika Mkoa huo kutokana na bidhaa hiyo kuuzwa bei sawa na Simenti inayotoka Dar es salaam. Zitto Kabwe amesema...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto nyumba kwa nyumba kuomba kura kata ya Businde

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiomba kura wakati wa kampeni yake ya nyumba kwa nyumba iliyofanyika kwenye kata ya Businde jimboni hapo, mkoani Kigoma, Septemba 23, 2025. Zitto aliambatana na viongozi na wanachama wa chama hicho katika zoezi hilo...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Aahidi kutatua changamoto ya Ardhi

    Mgombea ubunge Kwa tiketi ya chama Cha ACT Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameahidi Kutatua changamoto ya ardhi inayowakabili wananchi wengi iwapo atachaguliwa. Soma Pia: GE2025 - Zitto azindua Kampeni Kigoma Mjini aahidi kupigania haki za kiraia
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Wanamuogopa sana Luhaga Mpina, ndio maana wakamuweka vizingiti

    "Chama chetu mnamo Agosti 06, kiliteua mgombea Urais na Mgombea Mwenza ndugu Luhaga Mpina na Mama Farma Ferej lakini Kwa sababu wanamuogopa sana mgombea wetu wakaanza kuweka vizingiti kumzuia mgombea wetu" ‎ ‎Hayo yamesemwa leo Septemba 22, 2025 na Zitto Kabwe Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Siendi kufanya uchawa ili nipendelewe, naenda kuwasemea ikibidi kufoka

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kutokuwa tayari kufanya vitendo vya kujipendekeza 'uchawa' bungeni ili apendelewe, badala yake ataendelea kupigania haki za wananchi wake kwa nguvu zote, ikibidi hata kwa kufoka. Amesema hayo Septemba...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Ili kuepuka mikopo ya ‘kausha damu’ nitaanzisha mfuko maalumu ambao nitauwekea Shilingi bilioni 1 watu watakopa bila riba

    Haya unayayasema Bw Zitto yakawe kweli pindi utakapo chaguliwa. Lakini hiyo bilioni 1 mpaka utafute misaada mhhh! mbona naona zoezi hili litaishia njiani? ========================== "Ili kuepuka mikopo ya ‘kausha damu’ lazima kuwe na mbadala, na mbadala huo ni kuanzisha mfuko maalumu ambao...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi ampa ujumbe mzito Zitto "tukiwapa kura msibadilike kama wenzenu, muwe wazalendo"

    Bora huyu mwanamama kasema ukweli mtupu! Maana hawa wanasiasa mida hii wanajua kuzisaka kura kweli kwa njia ila wakizipata wanatokemea kabisa hadi miaka 5 ipite. ================ "sisi hatupendi wawe karibu yetu wanapokuja kuomba kura hata wanapokuwa huko tuwaone tunahitaji mkiwa huko mtuone sio...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Tutakomesha mikopo ya kausha damu

    Kausha damu inalea sana watu wengi mtaani, sasa Bw Zitto kusema utaiondoa naona ni kama ni uongo mtupu! ================ Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atakomesha mikopo ya kausha damu jimboni humo pindi akichaguliwa.
Back
Top Bottom