zinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  2. Manka R

    JamiiForums Tanzania Pagale kinauzwa Kinondoni

    1. Ipo karibu na Open University ukubwa wa eneo hatua 12*8 = Bei Mil34 2. Ipo Kinondoni shamba karibu na Muslim, ukubwa wa eneo 20*12= Bei Mil 52 3. Ipo Kinondoni shamba ukubwa wa eneo 16*12 = Bei Mil 52 (Hii inahitaji marekebisho kidogo) 4. Ipo Kinondoni karibu na Shule ya Muslim ukubwa wa...
  3. brainstorm007

    JamiiForums Tanzania PIKI PIKI ZINAUZWA AINA YA BOXER

    Serious buyer Boxer Price Tsh 2.75m Call 0698248323
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bajaji Tvs zinauzwa bei gani?

    Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante.
  5. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania DOUBLE DEKA 3.5*6 ZINAUZWA

    kama unavoziona ziko 10 kila moja ni 230k material ni mbao ngumu location : Ilala 0697224996
  6. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Kuna tani elfu 14 za sukari zinauzwa bei nafuu

    Habari Zenu Ndugu Zangu Wa Jukwaa Hili La Biashara Ni Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Wa Afya Na Mnaendelea Vizuri. Bila Kupoteza Muda Ningependa Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada Iliyonifanya Hadi Nikafika Hapa. Binafsi Mimi Ni Dalali/Middleman Ivyo Hii Ni Moja Ya Sehemu Ya Kazi Zangu Za Kila...
  7. W

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Chia seed zinauzwa kwa bei nafuu

    Chia seed zinapatikana
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  9. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Safe Box zinauzwa Mpya kabisa. Bei 750,000/=

    Safe box zinauzwa mpya kilo 120 kwa matumizi ya ofisi, mawakala, majumbani, n.k Wasiliana nasi 0712347749 Unaweza kufungulia kwa password za namba utakazo weza kuweka unazo zihitaji. Key zipo 4 Alarm sound Brand New Bei 750,000/=
  10. V

    JamiiForums Tanzania PVC Trunk Zinauzwa

    Nauza Pvc trunk used ziko za aina mbili 150mm×50mm dukani 18k mimi nauza 9000 na 50mm×50mm dukani 9000 mimi nauza 6000. ukitaka zote nauza kwa 6000 ziko 20. Karibu niko Dar 0744117116
  11. snochet

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Massey Ferguson 135 na Massey Ferguson 158 Zinauzwa

    Habari, Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer. MF135-46Horsepower MF158-63 Horsepower Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za Mbuni-Diff Kubwa, PTO, drawbar na zina connection za hydraulics). Hazijatumika Tanzania. Bei MF135...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za wenezi wa CCM Mikoa zinauzwa?

    Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa. Na ilipofika tarehe 17 march mwaka huu walioomba nafasi hizo waliitwa kwenye usaili jijini Dodoma. Sasa angalia maajabu yanayojitokeza. 1. Walioteuliwa mpaka sasa ni around 8...
  13. Beberu

    JamiiForums Tanzania Sabwoofer Bora za Alitop zinauzwa kwa bei ya kutupwa

    Wakuu, Heri ya mwisho wa week kwenu nyote Wakuu, nina mzigo mkubwa sana wa Subwoofer hizi bora kabisa na pendwa hapa mjini, Mzigo huu una sifa zote zinazohitajika kwa matumizi ya kijana wa kisasa kama vile ◽Remote control ◽Bluetooth ◽USB port ◽Fm radio ◽Warranty mwaka ✅Free delivery in Dar...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Tani tatu za Mashudu ya Alizeti zinauzwa

    Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara. Asante.
  15. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

    Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani? Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
  16. mfianchi

    JamiiForums Tanzania Wapi zinauzwa mashine hizi hapa jijini Dar Es Salaam-mist duster-power sprayer

    Nauliza wapi zinauzwa mashine hizi za kumwagilia dawa za kuua wadudu kwenye mimea kama vile mikorosho, zinatumia mafuta zinaitwa mist duster-power sprayer, hubebwa mgongoni na hutumia petrol ili kusukuma maji/dawa kwa nguvu hadi kufikia umbali mrefu bila shida.
  17. Mama Luq

    JamiiForums Tanzania INAUZWA TV Showcase zinauzwa

    Tv showcase nzuri zinavutia zipo kimara mwisho naziuza kila moja tsh 130,000/= Unaweza piga/whatsap 0719478826 Deliver nafanya pia ukihitaji✅ Karibu sana
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wenzetu Kenya wanaandamana kupinga ufisadi na ugumu wa Maisha. Sisi bandari zinauzwa na huku tunakosa hata chakula

  19. Beberu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fridge za boss zinauzwa bei ya sawa na bure kabisa

    Wakuu nina mzigo wa fridges nzuri sana za boss hapa, nautoa nataka uishe chap sana ili nilete mzigo mwingine, hivyo basi nimeweka punguzo kubwa sana la bei. Ukinunua kwetu unapata Usafiri bure, Pasi ya umeme bure, Jagi la umeme, stand ya fridge bure kabisa. NB: Malipo ni baada ya delivery...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nani anayeihujumu TTCL? Kuna tatizo la kuadimika kwa laini, zinauzwa mpaka 7000

    Nani anayeihujumu TTCL kwa kiwango hiki? Kuna mmbo fulani yanaendelea kwenye TTCL kiasi kwamba tunaona kama ni hujuma kwa TTCL: Kwanza, kipindi kirefu sasa ukitafuta laini za TTCL kwa mawakala wanakuambia hamna. Ni kweli shirika likose laini ambazo kimsingi ndio mteja na ndio zitachochea...
Back
Top Bottom