zinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji bag moja la safari kama haya, huko Town/Kariakoo yanauzwa bei gani?

    Wadau, hizi bag nazikubali sana.. naona zitanitoa sana kwenye safari zangu za pale na kule.. So nahitaji kujua begi zake wakuu..
  2. Beberu

    JamiiForums Tanzania KENWOOD blender bora na za kuaminika zinauzwa bei ya kutupwa

    Habari za wakati huu ndugu zangu waTanzania Kabla hatujaenda mbali hebu kitazame mwenyewe chombo kinavyovutia Katika ulimwengu wa Heavy duty blenders, blender zenye nguvu bas kwa uimara huwezi acha kuwataja Kenwood blenders, bas kwa kutambua umuhimu na faida za blender katika maisha yetu ya...
  3. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Injini za Boti aina ya Mercury 40hp 2 stroke zinauzwa

    Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power. Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono. Engine ni ya carburetor na used kutoka Africa kusini. Engine bei ni...
  4. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba Tanzania zinauzwa bei sana na hazina uzuri wala ubora?

    Kwanini nchi nyingine bei ya nyumba iko chini sana na nyumba zao ni nzuri sana kuliko Tanzania? Je, kupanga bei ya kuuza nyumba kupitia madalali wasio na ujuzi wala elimu yoyote ya ardhi na thamani yake, kunaathiri kiasi gani sector ya Real Estate nchini?
  5. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba za Chamazi, Mbagala, Chanika zinauzwa sana?

    Kwenye matangazo mengi, mf. Kupatana, Facebook market n.k, utakuta matangazo mengi ya nyumba zinazouzwa zipo Mbagala Chamazi. Ni kwanini? Hii inatia shaka hata kununua nyumba hizo. Kunani Chamanzi?
  6. stewie

    JamiiForums Tanzania Bidhaa tofauti za watoto zinauzwa kwa bei rafiki

    🔹Audio Card readers za watoto -: Hizi unachomeka kadi yenye pande mbili kisha inatamka hilo neno la kiingereza na pia hutoa milio ya wanyama, ndege nk -: Ina maneno zaidi ya 200 na inakaa na chaji na inakuja na usb yake ya kuchajia pia ina nyimbo ya alphabets Bei 28,000 Tsh 🔹Bidhaa ya pili ni...
  7. DreezyD98

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Cherehani zinauzwa pamoja na meza zake

    Ninauza cherehani mbili zikiwa na meza zake za kushonea 1. Singer Ina mota ya umeme Location.. Dar es salaam Mikocheni B Bei: 320k Mawasiliano piga +255 786 407 039
  8. Somaiyo

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa Sengerema, Mwanza

    Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu! Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika, kama inavyoonekana kwenye picha Zote zina mfumo uliokamilka wa maji taka,! Maji na umeme vipo...
  9. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Mwanza: Oppo A93, ram 8Gb rom 128 Gb inauzwa

    Habari waungwana. Simu tajwa hapo juu inauzwa Ipo mabatinj Mwanza unapewa na risiti * box used for 36 weeks only 290,000 Tu 0744 033 555
  10. Movies Store

    JamiiForums Tanzania INAUZWA TV inch 32 Zipo 3 Zinauzwa

    Zipo TV 3 zilikua kwenye Moja ya Ofisi ya Movies Store nahitaji kubadilisha kupata TV 1 kubwa so naziuza zote 3 kwa pamoja. Mtu aje na 500,000 atazichukua zote 3 kwa pamoja, TV ni Mpyaaaaaaaa Nikisema Mpya nina maanisha. Ukihitaji kwa Moja Moja Bei ni tofauti kidogo. 1.Hisense 32inch...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tairi na rim zake size 20 zinauzwa, zimevuliwa kwenye gari

    Tairi zipo 2 rim ziko 4 Hali yake ni nzuri, zilifungwa kwenye Nissan Xtrail kimakosa so ndo nimezivua Bei ya rim na tairi complete laki 2 na nusu (kila moja) Rim pekee laki na 80 Mazungumzo yapo kwa aliyepo serious Year of Manufacture: mwaka jana (2021) katikati Mzigo upo DSM, Sinza Kilimani...
  12. J

    JamiiForums Tanzania France kauza mechi yake dhidi ya Tunisia..! Hata World Cup mechi zinauzwa

    Kwa mnaofuatilia kombe la dunia hasa mechi za France, France ni timu kali sana Cheki mechi dhidi ya Australia, Denmark kisha angalia mechi ya leo dhidi ya Tunisia Hawa jamaa japo walikuwa wameshavuka na kuchezesha kikosi cha pili, lakini wamecheza wakiwa wamelegea mnoo, yaani kiwango chao...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Data za watumiaji zaidi ya Milioni 487 wa WhatsApp zinauzwa mtandaoni

    Kuanzia November 16; taarifa za watumiaji hao zimevuja na zinauzwa mtandaoni. Taarifa hizi zikiwemo namba za simu, majina (kwa wanaoweka majina yao kwenye akaunti zao) na profile picture zimekusanywa na kuuzwa kwenye Dark Markets. Hakuna chats zilizovuja; data zinazouzwa ni namba za simu za...
  14. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Fiberglass Boat Zinauzwa

    Fiberglass boat zinauzwa zina urefu wa mita 7 na upana wa mita 1.6 hazina engine na canopy. Zimetengenezwa nchini Indonesia na kuletwa Zanzibar, ni mpya boti mpya. Unaweza ukatumia kwa uvuvi,utalii na kubeba abiria. Gharama ya boti moja ni million 9.5 mpaka ulipo bei hii ni bila engine...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa Kibaha

    Nyumba zinauzwa, kibaha kwa Mathias,za kibiashara kwa ajili ya wapangaji na moja inayojitegemea,ziko tatu katika sehemu moja ,ya kwanza vyumba vitatu na sebule zake inajitegemea,ya pili vyumba viwili na sebule zake,ya tatu Ina vyumba 4 kimoja master na jiko na sebule,km 2 toka morogoro road...
  16. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania INAUZWA GPS trackers za Vyombo vya moto, TV, Computer, n.k. Zinauzwa

    Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k.. Zina sifa zifuatazo. 1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako. 2. Ina Live location na live tracking. 3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa. 4. Inahifandhi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sofa used zinauzwa

    Sofa used zinauzwa bei Tsh 200,000 kwa zote mbili. Zipo Mbezi kwa Musuguri Dar es salaam. Mazungumzo yapo. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kupitia namba 0762890123.
  18. Bexb

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Fuso Tipa zinauzwa

    Habari wakuu, gari hizi mbili zinauzwa . Make: Mitsubishi fuso Body: Tipa Location: Dar Engine: zote mbili zina engine ya 6D17 Bei: hiyo ya njano ni 60M Hiyo ya Blue namba DM ni 75M. Gari zote hazina shida yoyote ya kiufundi na zipo tayari kwa kazi. Ukitaka kuziona na kukagua nicheki...
  19. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Original earphone za iphone zinauzwa

    used from japan 100% origanal deep base and best high quality dont pay before test warranty 1 year retail price 33,000 from 3 peace 27,000 wholesale delivery is free across town area call 0652472486
  20. C

    JamiiForums Tanzania House4Sale Viwanja na nyumba za wadaiwa akiba Commercial Bank zinauzwa kwa mnada

    HABARI Karibu MUDU COMPANY LTD Located at Mbezi Beach samaki wabichi house 2nd floor Ni kampuni ya debt collection ,auctions and real estates tunauza. Nyumba na viwanja mbalimbali Maeneo tofauti ndani ya Dar kwa mnada kwa idhini ya benki ya Akiba Commercial Benki na Kibali Cha Mkuu wa...
Back
Top Bottom