Printer hp 7500 a wide format------laki 3
Tt560 speed lite neewer------------laki na nusu
Sigma lense 170-500----------------laki 4
Studio light na background yake laki 4
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0717 040 837 au 0767 267
664
Kariakoo baba lao.
Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha).
Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000...
Sofa zinahitaji kufanyiwa ukarabati, kubadilishwa kitambaa. Yako mawili (La mtu mmoja na watu wawili )
Zipo, Dar es salaam, Mbezibeach, Tangibovu.
Piga 0742141467
Bei Tshs 100,000
Maelewano yapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.