zawadi

  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

    JF Mahusiano👋 Nipo hapa kuuliza swali dogo tu. Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday? Nina Jambo langu hapa😂😂 NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Zawadi niliyopewa na mpenzi wangu siku ya "Full Moon" 18.02.2022

    Bhanigini bhane, Mimi sio mdau wa mahaba licha ya kwamba nina mapenzi tele. Mahaba ndio chachandu ya mapenzi, mambo ya kuitana bebi, switi hati hayo kwangu ni matumizi mabaya ya sauti. Kunyonyana madenda na kubusubusu kwangu hizo ni kero. Mambo ya kukumbatiana ni kupakana tu taka sumu za...
  3. ragin

    JamiiForums Tanzania Utajisikiaje zawadi aliyokupa mpenzi wako inafanana na ya mchepuko wake?

    Pale mpenzi wako anakuletea zawadi iwe ya gari, nyumba, saa, boxer, mkoba, au kitenge n.k Ghafla ukashona kitenge kile tena akakudizainia mshono kuwa ndo anoupenda jumapili moja mkatoka out nae wakati mpo matembezi kuna shost anamjua mchepko wa mpenzi wako na aliwahi kumwona kapost pc whatsapp...
  4. Lawrichie

    JamiiForums Tanzania Nimepewa zawadi ya Condom na rafiki yangu wa kike

    Poleni na majukumu wakuu. Nipo kwenye mahusiano ya kirafiki na binti mmoja hivi kwa miaka mitatu sasa. Ni binti ambaye tunaelewana sana karibu kila kitu. Tunasaidiana, tunashauriana, tunapendana, tunaheshimiana sana kama marafiki, lakini zaidi tunaongea kuhusu kila kitu. Kilichonifanya...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro marathon ni kesho, kinachoendelea Huko Moshi ni ulevi na ngono usiku huu kesho zawadi zote zinaelekea Kenya

    Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon . Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja. Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote. Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Valentine's ilikuwa tarehe 14 February, kwa TotalEnergies bado wanaendelea kumwaga zawadi za Valentine's hadi Tarehe 27 Februari

    22/02/2022 TotalEnergies Kuendeleza Valentine Hadi Tarehe 27 February Japo Sikukuu ya wapendanao, yaani Valentine Day, huadhimishwa kwa siku moja tuu, siku ya tarehe 14 ya Mwezi Februari kila mwaka, lakini ili kueneza upendo zaidi na zaidi kwa Watanzania, Kampuni ya mafuta ya TotalEnergies...
  7. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hotel kutoa zawadi ya mil 1 kwa couple itakayovunja kitanda siku ya Valentine

    Dunia haikosi vituko, Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine. Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kanikatalia ila nimempa zawadi ya chupi kapokea

    Kwema wakulungwa? Kuna kabinti shemeji yangu niko naye karibu sana. Mishe zake zote ananiambia na mimi ndiye mshauri wake mkuu. Kila nikitupia nyavu kimasihara anagusia kuwa anamwogopa dada yake. Majuzi nikamfungukia live akaniambia no. Hataki kumuumiza dada yake. The next day nikampelekea chupi...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo. Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC...
  11. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

    Tazama sura yake
  12. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Je, Diamond Platnumz kapata jiko? Akiri kupokea zawadi ya thamani kutoka kwa mkewe

    Je, Simba kapata windo lingine? Huenda nyota wa Bongo Naseeb Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz ana mke wa siri. Matamshi yake ya hivi majuzi alipokuwa anarekodi video ya wimbo 'Unachezaje' yamezua mjadala mkubwa mitandaoni iwapo mwanamuziki huyo amenyakua kipenzi kipya. Katika video...
  13. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi atunukiwa zawadi kwa kuutumikia Uislam

    Ma shaa Allah. Mzee Mwinyi anazidi kupaa.
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Krismasi tuziwapelekee wazazi Covid -19 kama zawadi

    Wakazi wa mijini msilaumiwe kwa kuwaua wazazi wenu kwa kuwaambukiza ugonjwa wa Covid 19. Wazazi wetu ni wazee ambao hawakuchanja korona, hivyo rahisi sana kupata maambukizi ya corona Na mafua makali. Kama sio lazima sana usiende kijijini, baki mjini kwa maslahi ya babu na bibi zako.
  15. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wakuu wa Shule ambao Shule zao zimefanya vibaya kitaifa wapewa vinyago vya sokwe

    Kama kuna kada inajua kudharauliwa basi ni ualimu. Wakuu wa Shule katika halmashauri ya Arusha Dc wamepewa vinyago vya nyani ili kuongeza kiwango cha ufaulu baada ya shule zao kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha 2, cha 4 na cha 6 mwaka jana. Hii imekaaje kitaalamu?
  16. H

    JamiiForums Tanzania Tumpe zawadi iliyo bora Freeman Mbowe

    Kwanza hongereni sana wale majasiri wote wa CHADEMA wanaofanya kazi takatifu ya kuwapa elimu wananchi juu ya haki yao ya kuwa na katiba bora itakayolenga kulinda haki zao. Mheshimiwa Mbowe, yupo ndani kwa sababu ya kuongoza mapambano ya kupata katiba mpya. Waliomkamata Mbowe na kumfungia huko...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kibongo wanapenda zawadi za vitenge

    Ukitaka mtoto wa kiTz akukubali kwa nguvu zote we mpige kitenge. Hasa lile wax la p3 hapo utakuwa umemuweza. Mbususu na mabusu utapewa kama yote. Sijajua kuna nini kwenye vitenge mpaka akina dada na akina mama wanakuvibali kwa namna hii.?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kiungo Zawadi Mauya Kuitwa Taifa Stars kumezingatia Ufundi au ni Kubalansi tu Usimba na Uyanga wetu ndani ya Taifa Stars?

    Kwanini asingeitwa Himid Mao Mkami au Said Ndemla au Majogolo au Salum Aboubakary kuchukua nafasi ya Kiungo Punda Muzamiru Yasin Said Selemba na akaitwa Kiungo Mbovu na Mvivu Zawadi Mauya kutokea Yanga SC? Kwahiyo Mauya ameitwa Taifa Stars kwakuwa aliifunga Simba SC mwaka huu au? Huu Usimba na...
  19. demigod

    JamiiForums Tanzania Kuna pengo kubwa sana la Zawadi Mauya Taifa Stars

    Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya. Pia pengo la zawadi Mua limeonekana kwa kuwa ni aina a mchezaji ambaye hakatiki pumzi kama Mzamiru Yasini. Ombi langu...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Askari waliopambana na Hamza wapewa zawadi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ametoa zawadi ikiwemo fedha na vyeti kwa maaskari polisi walioshiriki katika tukio la kupambana na Hamza aliyezua taharuki karibu na zilipo ofisi za ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam Agosti 25 mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 20...
Back
Top Bottom