zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

    Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu. Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili. Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini hela mpya zinazotoka bado zina sain za viongozi waliotolewa kwenye nafasi zao

    Ukiangalia Hela/Pesa mpya zinazotoka za noti Bado kuna sain ya waziri wa fedha Na gavana ambao kwa sasa hawapo kwenye nafsi zao. Prof. Philip mpango alikua waziri wa fedha lakini kwa sasa ni Makamu wa rais prof. Florens luoga Alikua gavana wa bank kuu Kwa sasa kuna waziri mpya wa fedha na...
  3. JamiiForums Tanzania Wazungu wengi wenye gundu la mahusiano nchi zao wakija bongo huokota kirahisi watoto wakali

    Niliwahi kuingia kwenye mtandao wa reddit, kuna hawa wazungu ambao wana magundu, madomo zenge, n.k yani huko kwao wanapata wakati mgumu sana kupata wapenzi. Hii si kwa wanaume tu hata wanawake hata wanaokaribia kuwa mabibi wakija huku ni kuokota tu. Hawa jamaa huwa wanaenda nchi za asia na...
  4. JamiiForums Tanzania Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine ?

    Na kama kuna kanisa linavunja ndoa nje ya hizo sababu basi ni wazi hawaheshimu dini yao. Huko mahakamani kumekuwa kimbilio la kwaristo wengi kuvunja ndoa kwa sababu zingine kabisa nje ya hizo mbili. - Mke anamnyima mume unyumba mwaka, Mwanaume rijali viungo vyake vimeumbwa na Mwenyezi Mungu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Bunge la Amerika lilivyomzuia Rais wao kuridhia DP World kuendesha shughuli za bandari zao

    Mwaka 2006 DP World ya Dubai ilinunua kandarasi ya kuendesha shughuli za Bandari sita za Marekani. Wabunge wa chama tawala na upinzani kwa pamoja waliopinga DPW kupewa kazi hiyo. Wananchi nao walipinga 3:1 katika kura za maoni. Bunge likapitisha muswada wa Sheria kuzuia kampuni za kigeni...
  6. JamiiForums Tanzania Anga ya Urusi sio salama, wasitisha maonyesho ya ubabe wa ndege zao

    Kila mwaka Urusi hufanya maonyesho ya ubabe wa ndege zao, ila mwaka huu imebidi waghairi maana anga yao sio salama, drones za Ukraine zimekua zinatamba hadi ikulu, hivyo hamna namna... Yet another blow has been dealt against Vladimir Putin's authority as the risk of drone strikes pummelling...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama mahakama za Tanzania hazitoi haki, Watanzania nao wasikubali kesi zao kuamuliwa na Mahakama hizo?

    Viongozi wa juu wa serikali kama ni kweli wajua kwamba "mahakama hazitendi haki" mpaka wakazikwepa ktk mikataba. Sasa hizi mahakama zetu kwanini ziendelee kuwepo na zikiendeshwa kwa gharama kubwa na zikiwa zinaumiza watanzania kwa kutowapatia haki zao? Ama ina maana watanzania siyo...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Kilio cha vibarua viwandani

    Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo maalum? na ni lengo gani hasa yaani maswali ni mengi kuliko majibu, Inafahamika wazi kabisa kwamba...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo ni zao la mabadiliko

    Mabadiliko ndio kila kitu. Tanzania na Afrika kwa ujumla Ina matatizo yanayofanana kwenye kila nyanja elimu,uchumi,utawala,kilimo,afya sayansi na teknolojia. Elimu tunayowapa watoto wetu mashuleni na vyuoni ni lazima wapewe elimu kulingana na mustakabali wa nchi yao kwa mfano Tanzania uchumi...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi akili zao ni kama za watoto wadogo. Unapowaeleza jambo elezea kama unamueleza mtoto mdogo.

    Umewahi sikia kitu kinachoitwa The curse of knowledge(Laana ya maarifa)? Ni ile mtu anafikiri kuwa maarifa aliyonayo au mambo anayoyafahamuu basi kila mtu wa kawaida anayafahamu. Hii inapelekea watu wengi wenye maarifa na wasomi waonekane hawawezi kujieleza au kuongea kwa ufasaha, au...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wanapuuza ndugu zao kwenye shida zinazowaua, lakini huwa na umoja misibani?

    Inaweza kuwa mtu hana chakula, kaomba msaada wa chakula kwa kaka, dada au ndugu zake lakini bila bila, afe sasa !! hata kama msiba upo mtwara, ndugu waliopo kagera watafika na kuchangia . Inaweza kuwa ni ugonjwa, mgonjwa kaomba msaada wa matibabu lakini anafungiwa vioo, ni mpaka afe ndio ndugu...
  12. JamiiForums Tanzania Usithubutu ukiwa Hospitalini ukapita jirani na foleni za Wamama Wajawazito, utazikoma kauli zao

    1. Baba Dulla kanitesa kweli na hii Mimba. 2. Najuta kumbebea Mimba Mwanaume wangu mwenye ngumu. 3. Utamu wa dakika chache Unanitesa sasa. 4. Sizai tena labda anibake. 5. Yaani huyu Bwege ndiyo ananifanya Mimi nilambe Mkaa kila mara? 6. Safari ijayo nagawana nae Mimba ili ajue Mateso...
  13. JamiiForums Tanzania Taarifa ya balozi wa Tanzania nchini Japan na fursa katika zao la kahawa kutoka Tanzania

    "Jina langu ni Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, nikiwa na dhamana ya kuiwakilisha pia nchi yetu katika nchi za Australia, New Zealand na Papua New Guinea. Leo tumekusanyika hapa katika mojawapo ya makampuni makubwa nchini Japan yanayojishughulisha na biashara ya chakula Japan na...
  14. JamiiForums Tanzania Maendeleo/ Furaha Yako Ni Zao La Unaotumia Nao Muda Mwingi. Yajue Haya Na Uchukue Hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo/ Furaha yako ni zao la unaotumia nao muda mwingi. Yajue haya na uchukue hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile ipo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania muwe Makini Wakenya wameanza tena Chokochoko zao

    Nlikuwa Paris Ufaransa kwenye Mkutano wa the smartest young people of the World. Nilipitia hapo nikitokea Berlin Ujeruman ambako nlienda msalimia rafiki yangu mmoja wa Kitambo ambaye alikuwa amechanganyikiwa kidogo kuwa na pesa nyingi halafu hajui sasa atumieje so kichwa kikawa kinamuuma...
  17. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda walipe walimu hela zao

    Wizara ya elimu chini ya Profesa Mkenda hii aibu mnaitaka bila sababu. Kama mlijua fedha hakuna kulikuwa na haja gani ya kuita waalimu toka mikoani kuja Arusha kwenye semina na wamekaa wiki mbili mpaka wanamaliza tarehe 2 Mei,2023 hamjawalipa fedha zao. Huu mradi wa SEQUIP imefadhiliwa na benki...
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mboga ilala waingia hasara baada ya mboga zao kushikiliwa na mamlaka ya vipimo.

    Wafanyabiashara wa mbogamboga Soko la Ilala wamelia kupata hasara baada ya gari iliyokuwa imebeba mizigo yao kutoka Gairo mkoani Morogoro kukamatwa nje ya soko hilo. Mwenyekiti wa Wafanyabiashara hao, Thomas Hezron amesema gari hiyo ilikamatwa na mawakala wa vipimo kwa mazao ya shamba mkoa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Wafanyazi wa Serikali waweke shabaha ya malengo katika kazi zao

    Ushauri kwa wizara utumishi kipindi mnaelekea kwenye bajeti ya wizara kuna jambo naomba mlimulike kuna wafanyakazi wapo tu kazini kutimiza siku na kupokea mshahara, nashauri kila mwajiriwa wa serikali awe na target asipo ifikia angaaliwe kama anahitajika katika iko kitengo au asimamishwe kazi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, wasaidie Wanafunzi SUA mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao toka HESLB

    Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…