Kila mwaka, Tanzania inajitangaza kama moja ya vivutio vikubwa vya utalii barani Afrika. Watu wengi wanakimbilia Serengeti, Ngorongoro, au kupanda Kilimanjaro. Lakini ukweli ambao takwimu zinaonyesha wazi ni huu: Zanzibar ndiyo dhahabu halisi, na bado haijatumika kikamilifu.
Nenda Serengeti...
Yaani kigae kimoja 40,000? Kwamba nikihitaji vigae 2,000 nalipa almost 80,000,000?! Nilitaka nimshauri huyu jamaa aagize China ila nikaona kwanini aende mbali.
Mwenye kufahamu Zanzibar bei ya kigae cha bati sand coated bei gani.
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9.
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery...
Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani.
Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar.
Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata yote.
Kwanini mtu atokae Tanganyika asipewe?? Mtu atoke mbeya, Mwanza, Mara afuate mafao Zanzibar...
MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO
John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon Etuku. Wazazi wake walifariki Akiwa bado mdogo na kulazimika kwenda...
Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu!
Uchungu wa madaraka ya haraka badala ya kupigania mifumo unaweza kudhani inasaidia chama kumbe ni bora uagalie mbali na kupigania mifumo kwanza. Hili ndiyo sababu ya kifo kijacho cha ACT wazalendo.
Upinzania wa...
Upo msemo wa Kiingereza ambao tafsiri yake inasema; “kurudia kufanya jambo lile lile, kwa namna ile ile, huku ukitarajia matokeo tofauti, ni uendawazimu.”
Sitaki kusema kuwa Zanzibar imefikia hatua hiyo linapokuja suala la muafaka. Lakini imefika wakati sasa tujiulize hii miafaka (sijui kama...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9.
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery...
Nina kero kuhusu Wizara ya Afya Zanzibar:
-Haijawapa wanafunzi wa Postgraduate posho za kujikimu na za Research kwa wale Wanafunzi wa Mwaka wa mwisho kwa mpaka muda huu.
-Licha ya semester kuwa inaenda kumalizika wengine hata hiyo tuition fee pia bado haijalipwa.
-Majibu ya Wizara pesa...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9.
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery...
Mpo radhi muweke matches za huko Uk kwenye TV zenu kuliko ya ndugu zenu hapa hapa nchini? Sehemu nyingi za Public tumeona mkiwa mnaweka ligi ya Uingereza kuliko match yetu tunayochezs tena kwenu? Yanga tunajaribu kuiheshimisha Zanzibar ila yenyewe naona kama inakaza fuvu kubazi kabisa
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa amerejea kishujaa ,amerejea na ushindi wa kidiplomasia mkononi ,amerejea akiwa ameacha historia huko Addis Ababa Ethiopia,amerejea akiwa na nguvu ,ari na morali ya kuwatumikia watanzania,amerejea akiwa na kiu ya kulipeleka mbele Taifa letu na kuinua...
Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara maeneo ya Kwahani Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini, Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetoa ufafanuzi kuhusu hali hiyo.
Hoja ya awali iko hapa ~ Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata...
Guantanamo bay ambacho ni kituo cha jeshi la Marekani katika ardhi ya Cuba pwani kilijipatia umaarafu sana baada ya vita vya ugaidi kuanzia mwaka 2001.
Hapo Guantanamo bay ndipo walipokuwa wanashikiliwa kama mahabusu watu waliokamatwa na vyombo vya US kutoka nchi nyingine wakituhumiwa kama...
Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9.
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.