Ni miaka mingi kama 15 iliyopita, mimi, dada zangu 2 na waume zao na kaka zangu 3 na wake zao,tulienda zanzibar kwa mwaliko wa rafiki wetu wa familia,ni mtu mkubwa serikalini hivyo siwezi kumtaja hapa.Kiongozi huyo alitualika chakula cha usiku kwenye hoteli moja hapo unguja.Kulikuwa na live band...