zanzibar

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza. MY TAKE; Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au washajiunga Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa siri?
  2. O

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Samia: Ngorongoro tumewapa Ndugu zetu waarabu wawekeze

    Samia anasema tuna undugu na Waarabu; lakini ni tangu lini tumekuwa na undugu na Waarabu? Kwahiyo hapa anataka kusema kwamba amewapa waarabu wawekeze kwasababu ni ndugu zake!? Kwanini Rais wa hii nchi akili zake zimejaa undugu na nepotism kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya nchi !? Hafai kuwa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku Zanzibar?

    Ni wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ili kukuza muungano tugawane sawa kwa sawa na Zanzibar

    Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika. Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu. Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu. Hii itaimarisha muungano wetu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Zanzibar wananunua mchanga wa Tanzania Bara halafu mapato ya mauzo yanarudi upya Zanzibar kujenga miradi mipya ya Muungano?

    Serikali ya Zanzibar imepanga kuanza kunuuna mchanga kutoka Tanzania Bara kwajili ya miradi. Kwa hio mapato haya yanarudi upya Zanzibar kujenga barabara, shule, hospitali, madaraja, n.k. kwajili ya maendeleo ya muungano? Taarifa ndefu ipo hapa >>> Zanzibar kuanza kuagiza mchanga kutoka...
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 7. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Shutuma mpya kwa CHADEMA, wanachama wa Zanzibar wanadai Ruzuku pamoja na kupinga ubaguzi wa Dini, Ukabila & Muungano

    Shutuma mpya kutoka kwa CHADEMA Zanzibar wanadia kuwa CHADEMA haipeleki Ruzuku Zanzibar Wanachama wa Zanzibar hawaishii hapo vilevile wanadai kuwa CHADEMA imekithiri ubaguzi wa dini wakidai kuwa tangu kuanzishwa kwake haijawahi kumpa nafasi ya uenyekiti mwanachama wake wa dini ya Kiislamu...
  8. Eswa

    JamiiForums Tanzania Azam Marine Zanzibar wekeni huduma ya Lipa namba

    Habari za asubuhi. Imenishangaza sana alfajiri hii, nafika kwenye ofisi za Azam Marine hapa Zanzibar kukata tiketi eti hawana huduma za Lipa namba na kuna mlinzi ana huduma za wakala so unatakiwa utoe kwake kisha ulipie tiketi. Cha ajabu Zan Fast Fery wao Lipa namba. Kilichoniponza ni kataka...
  9. D

    JamiiForums Tanzania B2B Trading Zanzibar

    Nataka kufanya trading Zanzibar. B2B Trading. Wajuzi naomba mnisaidie idea za bidhaa ambazo ni nzuri kwa B2B na ni scalable. Kwa kuanzia nataka kutoa bidhaa Tanganyika na kupeleka Zanzibar. Ninaombeni ushauri kwa wajuzi wa Zanzibar.
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Zanzibar watoa Tamko, Wasikitishwa na madai ya Said Issa Mohamed kuwa aliishtaki CHADEMA kwa niaba yao

    Kufuatia madai ya aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Mohamed, kwamba amefungua kesi kwa niaba ya chama hicho kuhusu mgawanyo wa mali, CHADEMA Zanzibar imesema kesi hiyo ni yake binafsi pamoja na watu wanaomshawishi au kumtuma. Chama hicho kimefafanua kuwa Said Mohamed...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar anazungumza na Wanahabari, Machi 2, 2026

    https://www.youtube.com/live/FUTYjcwovgA Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Mohame : Ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Mwinyi tumekusanya mapato ya 192,997,450 yanayotokana na Makosa ya usafiri wa ardhini Lengo letu si kukusanya mapato tunataka kudhiti makosa Waziri Dkt...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Endapo Muungano utavunjika, mali za Wazanzibar wanazomiliki Tanganyika zitataifishwa au zitaendelea kuwa mali halali za nchi nyingine iitwayo Zanzibar

    Uhai wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unakaribia kufika ukingoni. Kuna manung’uniko makubwa sasa kutoka pande zote mbili za Muungano; mwanzoni yalikuwa zaidi upande wa Zanzibar, lakini hivi karibuni Watanganyika wameanza kuona hasara za Muungano huu. Waliotufikisha katika hali hii si...
  13. Mtumishi 19

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kufutwa kwa usajiri wa Meli ya Zanzibar ilyokamatwa na ngada huko

    Hivi wakuu kwanini Meli ya Zanzibar iliyokamatwa 19 juzijuzi na cocaine wamesema ilifutiwa usajiri 18/02 hili jambo lina ukweli gani?
  14. PAYE

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yafuta usajili wa Meli ya EAGLE baada ya kukamatwa El Salvador kwa tuhuma za Dawa za Kulevya

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuifuta usajili wake mara moja meli ya EAGLE (IMO No. 8203074) kufuatia taarifa za kukamatwa kwa chombo hicho nchini El Salvador kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya. Kulingana na taarifa iliyotolewa Februari 27, 2026 na Mamlaka ya...
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mechi ya Yanga na Simba huko Zanzibar

    Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
  17. Bhizabhityo BB

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Dhahabu Halisi ya Utalii Tanzania

    Kila mwaka, Tanzania inajitangaza kama moja ya vivutio vikubwa vya utalii barani Afrika. Watu wengi wanakimbilia Serengeti, Ngorongoro, au kupanda Kilimanjaro. Lakini ukweli ambao takwimu zinaonyesha wazi ni huu: Zanzibar ndiyo dhahabu halisi, na bado haijatumika kikamilifu. Nenda Serengeti...
  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wakuu vigae vya kuezekea Zanzibar ni nafuu? Huku bara bei kali sana 40,000?!

    Yaani kigae kimoja 40,000? Kwamba nikihitaji vigae 2,000 nalipa almost 80,000,000?! Nilitaka nimshauri huyu jamaa aagize China ila nikaona kwanini aende mbali. Mwenye kufahamu Zanzibar bei ya kigae cha bati sand coated bei gani.
  19. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 9. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  20. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kiwanja Zanzibar

    Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani. Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
Back
Top Bottom