zanzibar

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini ngumu kusikia Mauaji ya wanandoa Zanzibar kama Bara

    Habari wadau,? Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana Zanzibar ama Pemba? Je, huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada.? Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi ila Zanzibar why hapana?
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

    Ndivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana. 1. Mkate wa Boflo ambao ndio mkate kila mzanzibar anakula sasa ni Tshs 250/- badala ya 200/= 2. Mchele ambao ndio chakula kikuu kwa maisha ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5

    Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao. Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
  4. JamiiForums Tanzania Zoezi la Yanga kuandikisha wanachama kigiditali limepigwa na kitu kizito Zanzibar

    Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake. Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh 29,000 kigiditali. Viongozi wa Yanga hawakuangalia alama za nyakati kwa kuzindua mfumo wa Klinet na...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua kiwanda cha kampuni ya Kenya kule Zanzibar

    Mama endelea kuboresha uhusiano kabla miaka kumi yako kuisha aje mchawi mwenye majungu na kuvuruga yote...... A Kenyan company is setting up a $51.3 million (about Sh115 billion) factory in Zanzibar as it targets to get a pie of the world’s $920 billion textile market. The global textile...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hotuba yako imejitoshela ila naomba nikosoe maeneo mawili Kwa kesho nzuri ya Tanzania

    Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna tunavyohitaji mahusiano yakimataita kujenga uchumi Pamoja na hotuba nzuri nimejisikia vibaya kusikia...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ndiye mkuu wa dola la Tanzania kwanini Rais wa Zanzibar amekuwa wa kwanza kutoka uwanjani baada ya sherehe za Mapinduzi kuisha?

    Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson umepotosha umma: Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi ya Tanganyika, Zanzibar wana mkuu wa nchi yao

    Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi. Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar. Kwa hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kitendawili cha John Okello

    Leo January 12, 2022 ni sikukuu ya kitaifa ijulikanayo kama Mapinduzi ya Zanzinar ikiwa ni miaka 58 toka mapinduzi hayo yafanyike January 12, 1964 ili kuuondoa utawala wa Kisultan uliokuwa chini ya waarabu kutoka Oman. Ikiwa imepita miongo mitano toka mapinduzi hayo yafanyike bado kumekuwa ni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

    Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu! Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna Klabu ya Tanzania Bara imerejea leo imeacha Zanzibar 'Kashfa' ya Wachezaji kuchafua Maliwato, Kuiba Mito, Mashuka na Sabuni zao

    Na ole Wenu Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio nchini Tanzania Kesho Jumatano tarehe 12 January, 2022 ( Mapinduzi Day ) misiwasikie mkiizugumzia hii kwani imeshaenea na Kusambaa mno huko Isles ( Zanzibar ) Na yawezekana Wachezaji wake wengi ( hiyo Klabu ambayo GENTAMYCINE bado...
  12. JamiiForums Tanzania Safi sana Kipa Johora kwa kuwakomesha leo Wanafiki Wakubwa Yanga SC na Kukubali Kufungwa Kiulaini zile Goli 9 za Penati Zanzibar

    Yaani wameshakudharau kwa kukuletea Kipa Mwenzako Msheli ambayo Kwako bado ni Kinda na hata hakufikii Kiuzoefu halafu muda mwingi huwa hudaki na leo wasivyo na hata na aibu wakata ukawabebe katika Mikwaju ya Penati na Wewe ukawa unaruka Ushahidi tu. Johora Mola kakulipia Machungu yako.
  13. JamiiForums Tanzania Bernard Morrison ameshare Video fupi ikimwonesha alivyokuwa akistarehe visiwani Zanzibar

    Bernard Morrison (Amezaliwa 20 May 1993) Ni Mchezaji maarufu wa Ghana anaechezea timu ya Simba SC kwenye Ligi ya Vodacom Premier Bernard Morrison Personal information Club information Senior career* National team‡ Date of birth 20 May 1993 Place of birth...
  14. JamiiForums Tanzania Simba Vs Namungo| Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2022| Zanzibar

    Leo majira ya saa mbili na robo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba Vs Namungo katika nusu fainali ya pili ya Mapinduzi Cup. Tujumuike wote hapa muda ukifika
  15. JamiiForums Tanzania Kauli za kibaguzi za Lukuvi dhidi ya Zanzibar ndio ziliyofanya aondolewe uwaziri,

    Hotuba yake hii ya kanisani aliingiza siasa ambazo ziliibua mjadala wa ubaguzi kwa kusema "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hisia za wananchi mtaani: Kilichomfukuzisha Ndugai ni kuhoji kwake kwa nini Pesa nyingi za mkopo kupelekwa Zanzibar licha ya idadi ndogo ya watu

    Kujiuzulu kwa Ndugai kumeambatana na hisia tofauti za wananchi. Lipo kundi la wananchi libalooamini kuwa kilichomfanya Samia akasirike, kuwa mbogo na kukunjua makucha dhidi ya Ndugai kinyume cha haiba yake ya upole ambayo wananchi wameizoea ni. kutokana na Ndugai kuonyesha mshangao bungeni wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu nimemwona Jana 'Zanzibar' akiwa na 'Ulinzi Mkali' sana' tatizo ni nini wakati kule ndiko anakotoka?

    Ina maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Zanzibar kuna wachezaji wengi wenye vipaji

    Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji. Mechi za KMKM na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana. Kiukweli Zanzibar kungekuwa na udhamini kama Bara, timu zao zingekuwa mbali sana. Akina Yanga na Simba huko Bara ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mpasuko ndani ya chama, Rais Samia awaomba vijana wasitoe fursa

    Akiongea na vijana wa UVCCM Pemba leo mama amewatahadharisha vijana kukataa kutumika na watu wenye nia ovu ndani ya chama wanaotaka kukipasua chama vipande vipande. Vijana hao ambao wamekunywa na kugida maji ya bendera walionyesha kumuelewa mama huku wakisikiliza kwa hisia kubwa hotuba hiyo na...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia" Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…