Kwanini ngumu kusikia Mauaji ya wanandoa Zanzibar kama Bara

Wakina yaheee huwa hawanaga maamuzi, alafu nyororo sana

Kupiga mtu shoka la kichwa
au
kumbanika mke kwenye gunia la mkaa

Inahitaji ujasiri, ukomavu wa hali ya juu sana
 
Wanawake wa zenji wamefundwa kulea mume,sio kuwa mjasiriamali ndani ya ndoa.Huku bara kawaida Sana mume kufika nyumbani na kukuta mke hayupo,yupo kwa ujasiriamali,lakini kilasiku anadai fedha ya matumizi nyumbani.
 
Kwakuwa Taraka Rejea inatolewa kirahisi tu bila hata kugawana mali.
Huku bara kwa wasio waislamu hata msipo elewana kuachana kunashindikana kwakuwa kuna mashati magumu sana kwa wanandoa wote.
Kufundishwa kanuni za kuishi na mume vizuri kwa waislamu wa Pwani ya Bahari Hindi pia kumesaidia sana.
Mwanamke hakwaruzani na mumewe ovyo ovyo.

Elimu ya shule pia ni kikwazo. Baadhi ya wanawake waliosoma hawawaheshimu waume zao ikama inavyopaswa.
 
Cha kwanza ni mfumo dume,pili ni ukosefu wa elimu na tatu ACHA UDINI maana nchi zinazoongoza kwa kustaraabika,maendeleo,tech etc sio za kiislam
Hizo nchi zilizoendelea kila kukicha watu wanaachana kama upupu.

Ndoa zao ni za mkataba
Miaka mitatu mkataba ikiexpire
wanakaa chini kuona kama wanaweza kurenew ndoa yao.

Mmoja wapo asiposhawishika kuendelea na ndoa ndio inavunjika hapo hapo na hakuna tena mazungumzo kila mtu anachukua hamsini zake.
 
Habari wadau,?

Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana zanzibar ama pemba?

Je huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada...

Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi.. ila zanzibar why hapana?
1. Kwa sababu idadi ya waPemba ni sehemu ndogo sanaaaaa ya population ya Jamuhuri ya Tz 2) Wapemba wanauana kwa majini/mashetani kuliko silaha.
 
Habari wadau,?

Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana zanzibar ama pemba?

Je huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada...

Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi.. ila zanzibar why hapana?
Mwaka jana tukio lilitokea znz jamaa kamchinja mkewe chumbani, ila znz matukio machache sababu ni
1. Population yao ndogo ukilinganisha na bara
2. Tamaduni zao za mke kuwa chini ya mme kwa kilakitu
 
Pwani unatupiwa jini likusumbue mpaka ufe unasikia mtu kaanguka chooni kafa ndo tayari

Kila sehemu wana utaratibu wao wao wa kuua mule mule
 
Talaka zipo, mnaachana kila mtu anaenda kutafuta tatizo lingine ahangaike nalo, Upate dhambi ya mauaji kisa nini? Ya huyo unayemuua ina asali, piga chini tafuta mwingine....Akkaaaaaa.
 
Back
Top Bottom