zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Zanzibar Na uchumi wa buluu (Blue Economy)

    Zanzibar ianze na lipi kuelekea uchumi wa buluu wenye tija ? Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye Dira yake ya maendeleo ya mwaka 2050 miongoni mwa yaliyopewa kupaombele ni pamoja na sera ya uchumi wa buluu. Katika Dira ya maendeleo ya mwaka 2020 ambayo ilitekelezwa ndani ya miaka 20...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa dakatari zanzibar

    Ni kweli kuwa mshahara wa medical doctor mwenye degree katika hospitali za serikali zanzibar ni 800k?
  3. JamiiForums Tanzania Naomba tujifunze kwa pamoja kwa wenzetu wa Zanzibar ongezeko la Mshahara lipoje?

    Nawasalimu wakulungwa. Naomba tujifunze kwa pamoja kwa wenzetu wa Zanzibar ongezeko la Mshahara lipoje maana wakati wa May Mosi, Rais Mwinyi aliahidi kuongeza asilimia 17. Sasa naomba tujifunze, je nyongeza ipo na kama ipo imekaaje? Maana huku Tanganyika Chief Hangaya kafanya yake.
  4. JamiiForums Tanzania Forodhani Zanzibar

    Moja ya maeneo yanayokusanya watu wengi, hasa nyakati za jioni visiwani Zanzibar, ni Forodhani Garden, ukubwa wake si zaidi ya kilomita moja za mraba, lakini hubeba melfu ya wageni wa ndani na wa nje ya Tanzania. Upekee wa bustani hii ni uwepo wa vyakula vya aina mbalimbali, vikiwemo vya asili...
  5. JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

    Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19" Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je, ipo siku Taifa la Tanganyika litafufuka? Je, itakuwaje? Je, Zanzibar itakuwepo ama?

    Taifa la watu wa Tanganyika. Taifa alilopewa baba wa Taifa hili hayati Mwl Julius Nyerere. Ilakutokana na vita baridi moja ya mashirika ya kijasusi yakaipa taarifa tanganyika kile siku za mbele kitatokea na kwa nn kile kisiwa lazima kiwe kama Taifa moja. Well nisiandike zaidi yahiki nimepata...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

    Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija. Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
  8. JamiiForums Tanzania Hapa Zanzibar tunapiga "mnyama" kama kawa japokuwa adimu

    Chanzo: NBS
  9. J

    JamiiForums Tanzania Masultani wa Zanzibar Ali Bin Hamud, na Khalifa bin Harub, walikuwa Waafrika

    Ali Bin Hamud Khalifa Bin Haroub
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid Mohammed: CCM haina uwezo wa kushinda uchaguzi ulio huru Zanzibar

    ..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukodishia visiwa 52 wawekezaji

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametema nyongo kuhusu mambo saba aliyosema yamekuwa yakipotoshwa kwa makusudi ili kumkatisha tamaa, lakini akasisitiza kuwa hatarudi nyuma hata hatua moja. Dk Mwinyi alitoa kauli hiyo jana, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika utaratibu wake wa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
  13. JamiiForums Tanzania Wazungu wamechafukwa, lango la Kilimanjaro na Zanzibar hapa Bole ni kufuru

    Wakuu nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza. Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi. Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa. Ngongo kwa sasa Addis Ababa Bole International Airport
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kwanini sakata la Loliondo huwa linaibuka tunapokuwa na marais wanaokuwa wanatokea Zanzibar? Je, ni sababu ya vinasaba vya Oman?

    Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi. Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha. Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la...
  15. JamiiForums Tanzania Biashara kati ya Zanzibar na Dar

    Habari za asubuhi wapendwa Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar Niko interested sana na biashara za Electronics. Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela...
  16. JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maswali Mengi Majibu Machache

    Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu Othman Masoud Othman amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kung’olewa kwa kile kinachosemwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tukimalizana na wamasai wapemba wajiandae Kwa Zanzibar ya Buluu

    Kisiwa Cha pemba ni fursa kubwa Kwa utalii japo Kwa Sasa maeneo mengi yamehodhiwa na wazawa na wameshindwa kuyaendeleza. Nadhani katika kukuza pato la Taifa upo umuhimu wa kujenga maghorofa kama aliyojenga Karume Unguja then familia za wakaazi wa Pemba wakae kwenye makazi hayo nadhifu kuruhusu...
  18. JamiiForums Tanzania Kutoka Zanzibar: Singida Big Stars tumefanya mazungumzo na Avran Grant, Fadiga

    Watu wa Soka, Leo Singida Big Stars tumeshiriki kongamano la mpira wa miguu maarufu kwa jina la Tanzania Football Summit 2022 linaloendelea hapa visiwani Zanzibar. Pamoja na mambo mengine muhimu, tumefanya mazungumzo na kocha mstaafu wa klabu ya Chelsea Avram Grant, mchezaji wa zamani wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar wanaweza Tanganyika mshindwe mna nini ?

    Nauliza tu, inakuwaje Upinzani Zanzibar wanaweza kuisakama Serikali tu maximum na tunaona mpaka Raisi Hussein inabidi aonekane kwenye vyombo vya habari kujielezea mwenendo wa serikali yake? Ukija kwenye Muungano WaZanzibari wanarapu kwa sauti kuu na hueleza kila kitu kwa weledi na mwenye kutaka...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

    Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii. Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika! Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…