Mbunge wa Jimbo la Bumbwini Unguja, Zanzibar Mwinyi Jamal Ramadhani ameuliza swali la Nyongeza kwa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo juu ya mpango wa serikali kuunganisha Ligi kuu Bara na Zanzibar kuwa Ligi Moja.
Akijibu Swali hilo Naibu Waziri Hamisi Mwinjuma amesema kuwa Serikali...