zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Tulipe kodi kwa maendeleo ya Zanzibar

    TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA ZANZIBAR Na Waheed Muhammad Ibrahim Sanya, Msajili wa Hazina Zanzibar Maendeleo ya mtu, jamii na taifa hayawezi kutenganishwa na uwepo wa rasilimali za kutosha za kugharamia mipango na huduma zinazohitajika na wananchi. Miongoni mwa nyenzo muhimu zaidi katika...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Maridhiano Zanzibar yatalainishwa na donge nono toka Tanganyika!!

    Mara zote wapemba na waunguja msuguano mkubwa na tofauti za kimisimamo huwa zinahusu muungano na maslahi yake kwa Zanzibar, na sio Siri kwamba kila wazanzibari wakija juu kuhusu Zanzibar wamekuwa wakipozwa na bakshishi na marupurupu kedekede toka Tanganyika. Katika muktadha wa sasa ambapo rais...
  3. JamiiForums Tanzania Off plan hills Nungwi Apartments For Sale in Nungwi Zanzibar

    We are pleased to introduce The Hills Nungwi by Majestic Luxury Suites, a premium residential development located just 50 meters from the beach in Nungwi, Zanzibar. Pricing: • One-bedroom apartments: USD 148,500–198,000 (77sqm) • Two-bedroom apartments: USD 165,000–220,000 (89sqm) •...
  4. JamiiForums Tanzania Kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kwa udongo bado haitoshi, kuna la kufanya zaidi

    Ili kuwakatisha tamaa wale viherehere waisoutakia mema muungano wetu ipo haja ya dhati na thabiti ya kuona ni jinsi gani tutafanya ili muungano huu,tuupigilie msumari wa mwisho ili nia na akili za wale wachache wasioutakia mema muungano,nia zao za hovyo zisiweze kufikirika kwa namna yoyote ile...
  5. JamiiForums Tanzania Inapotajwa Mwanza, Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Tanga, Mbeya nk Zanzibar hakuna jiji?

    Ni ubaguzi ulioje.
  6. JamiiForums Tanzania New Constructed Villas on Sale at Zanzibar KiombaMvua

    Turu villas is an exclusive collection of 12 private luxury located in the prestigious Kiombamvua area of Zanzibar. 40min from ferry, 35-40min from airport, 10min walk to the beach, 10min walk to the 9-hole golf course. Features: •2 bedrooms villas. •Boutique 12 villa development. •Private pool...
  7. M

    JamiiForums Tanzania G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa na Warioba vs Kikwete ilishindikana kupata Tanganyika au Zanzibar huru. Je, kipindi cha Samia tutatoboa ?

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo tunajiuliza swali lilelile: Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa? Je, tutafika kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar imepata jembe, Dkt Mwinyi anavunja hadi Ofisi za CCM zilizo barabarani kupisha ujenzi wa barabara safi kabisa kazi iendelee

    Barabara ya kutoka mwembe ladu mataaa kupanda mwembe mimba, kulikua na majengo mawili ya wazee wa ccm, yana maduka na maskani ya kuangalia mpira na habari, amani fry over majengo ya ccm zaidi ya maduka kumi na kitu, aseee yamekula nyundo sio poa alafu ni ile ya shwaa yani fumba fumbua...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe hakuwahi kwenda hata mara moja kumjulia hali Mwenyekiti wake Lissu ila ameenda Zanzibar kumpa pole Samia , hii imekaaje?

    Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake ila cha ajabu amesafiri mpaka zanzibari kumpa pole samia . Hii imekaaje? Je mbona samia hakutuma...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari acheni kelele. Zanzibar sio dola huru. Pambaneni kuwe na serikali tatu.

    Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
  11. JamiiForums Tanzania Mume wa Rais Samia azikwa Kizimkazi, Zanzibar

    Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezikwa jioni ya leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Wafanyabiashara pamoja na Waombolezaji wengine, wamejitokeza...
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

    Leo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar. Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo. Ikumbukwe, hiyo ni hospital maalum kwajili ya viongozi waandamizi wa Serikali na ile iliyozoeleka huwa ipo hapa Dar.
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar ianzishe shirika la ndege kuchochea Utalii!

    Zanziba si tu ni nchi iliyoungana na Tanganyika kuunda Tanzania, bali ni utalii. Zanzibar inapaswa sasa kuunda shirika lake la ndege na kuchochea utalii. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Khalid Salum Mohamed amesema Serikali imeanza mazungumzo na EgyptAir kwa ajili ya kushirikiana katika...
  14. JamiiForums Tanzania HOTELI YA BILIONI 132, YAFUNGULIWA ZANZIBAR ALAFU WEWE KUWEKEZA 5M UNAJIITA MFANYABIASHARA NA UNACHOMEKEA KABISA

    Siwatishi ndugu zangu ndio hali halisi ilivyo, Leo majira ya saa tisa nimekutana na msafara wa dkt mwinyi mtoni mess sikujua anaenda wapi kumbe alikua ana pelekea pwani mchangani kufungua hiyo hotel, bilioni 132 imetupwa hapo, alafu mtu UNAJIITA una hela umewekeza 10m una hela una heleni ?
  15. JamiiForums Tanzania Yuda Fever: Nyumba nyeupe haikaliki analala Zanzibar

    Usimchokoze jirani wakati nyumba yako ya kioo,atakupiga mawe avunje nyumba yako.
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar aahidi Tsh. Milioni 1 kwa kila goli, Tsh. Milioni 5 kwa kila ushindi wa KMKM na KVZ CAF

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Rais Mwinyi ameahidi kila timu kupata shilingi milioni tano (TSh...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia habinafsishi wala kuuza bandari ya Zanzibar na Uwanja wa ndege wa Zanzibar?

    Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳. Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai. Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na...
  18. JamiiForums Tanzania Nukuu Za Rais Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar

  19. JamiiForums Tanzania Fei Toto na Jeuri ya Zanzibar

    KUHUSU MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI TANZANIA: MIUNDO NA MIKAKATI YA MSHAHARA Feisal Salum (Fei Toto) analipwa mshahara mkubwa zaidi kwa sasa nchini akipokea kiasi cha Shilingi milioni 100 kwa mwezi, huku mkataba mpya wa Stephane Aziz Ki Yanga ukimwingizia kiasi kinachokadiriwa kufikia Dola...
  20. JamiiForums Tanzania Fei Toto na Jeuri ya Zanzibar

    KUHUSU MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI TANZANIA: MIUNDO NA MIKAKATI YA MSHAHARA Feisal Salum (Fei Toto) analipwa mshahara mkubwa zaidi kwa sasa nchini akipokea kiasi cha Shilingi milioni 100 kwa mwezi, huku mkataba mpya wa Stephane Aziz Ki Yanga ukimwingizia kiasi kinachokadiriwa kufikia Dola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…