zanzibar

  1. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu: Nauli ya ndege Zanzibar to Mwanza. Hasa nikifanya booking ya siku 21 mbele inaweza kuwa sh ngapi?

    Wakuu nauliza huenda mwaka huu kabla ya pasaka nikawa visiwani kwa wala urojo mimi na wife hivyo nahitaji kujua nauli ya mtu mmoja mwanza to Zanzibar ama Zanzibar to Mwanza nauli ni sh ngapi? Nakadiria kufanya booking mapema zaidi kati ya siku 21 hadi mwezi. Mwenye Taarifa za uhakika anipe...
  3. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Heri ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar

  4. M

    JamiiForums Tanzania Kodi za Watanganyika zinajenga shule Zanzibar ambazo hapa Tanganyika hazipo

    Hii sio haki kabisa. Tunawajengea Wazanzibari mbona hapa Tanganyika hakuna shule kama hii?👇
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Enyi watanganyika, Samia hukaa Zanzibar kuchangamsha uchumi wa huko.

    GT Samia anachofanya wakati ninyi mkiamini amejificha lakini yeye anapeleka serikali huko na kuongeza mzunguko wa fedha. Ikulu inapohamia mahali pilikapilika zinakuwa nyingi. Hotels na migahawa hufurika.magari yanakuwa na movement za hapa na pale. In short huyo bi kidude anaipenda Zanzibar...
  6. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Naona kidogodogo Ikulu ya JMT inahamia Zenji. (Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar)

    Tunaelekea mwezi wa 3 sasa. Mambo ya nchi mengi yanafanyikia huko Zenji Ikulu ndogo🤔
  7. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore @prathrealestate...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole Wapatiwa zawadi za motisha kwa kufanya vizuri Michepuoni

    Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole waliofaulu mitihani ya Michepuo wamepatiwa zawadi za motisha zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Seif Hamad Suleiman, katika hafla iliyofanyika Januari 4 Skuli ya Sekondari Ole. Akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi hizo, Mwakilishi huyo aliwapongeza...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi Zanzibar wajitokeza uchaguzi mdogo Fuoni

    Wananchi wa Jimbo la Fuoni lililopo wilaya ya Magharibi B mkoa wa Mjini Mgaharibi, Zanzibar wameendelea kujitokeza kushiriki katika uchaguzi mdogo wa Mbunge katika jimbo hilo. Uchaguzi huo unafanyika hii leo Desemba 30, 2025 kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Abbas Ali...
  10. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi Zanzibar ni jeuri, dharau au kutojielewa kwa waandaaji?

    Waliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida. Tukasema sawa, akaitwa Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi japo wengine walilikataa wakajitoa, haya likafanyika, Zanzibar heroes sijui ni nchi ya...
  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama Kuu Pemba kusikiliza kesi ya uchaguzi ya wagombea 8 wa ACT Wazalendo leo Desemba 16

    Mahakama Kuu ya Zanzibar Kanda ya Pemba leo Desemba 16,2025 inatarajiwa kusikiliza kesi ya walalamikaji wa Uchaguzi, wakiwemo waliokuwa wagombea wanane wa Chama cha ACT Wazalendo, dhidi ya wasimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Walalamikaji wanadai ukiukwaji wa sheria za...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kichocho unaofadhiliwa na Wachina waongeza uelewa miongoni mwa watoto wa Zanzibar

    Katika onesho la rangi, ubunifu, na kujifunza, mamia ya watoto wa shule katika Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar, walishiriki katika shindano la kunakili bango kwa mkono lililoandaliwa ili kuongeza uelewa wa kichocho, ugonjwa wa vimelea ambao unaendelea kuwa changamoto ya afya ya umma katika maeneo...
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwa Taarifa Yako: Zanzibar Kutakuwa na Maandamano.!

    Anasema wana zunguka na magari ya kijeshi usiku huu kimya kimya. Taarifa zaidi ni kuwa hawapigi ving'ora kama huku bara ila wanazunguka kila eneo kutoa taarifa kuwa huko napo wapo. Niliposoma juu ya habari ya watalii kupungua Zanzibar nilijua hii nayo itakuwa sehemu ya kuwakimbiza, anauliza...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar Bolt ipo ya Bodaboda tu? Na kwanini ni gharama sana kuliko bara?

    Nisiwachoshe. Zanzibar pia kuna bolt, ila ipo ya boda tu hawana ya gari. Ila ni bei kubwa saaaaaaaana karibia mara 3 bei ya huku bara. Mfano, nime request kutoka Stone Town hadi Aman Abeid Karume Airport, karibia kilometa 8 bei inasema Elfu 8. Nikisema ni request Ubungo hadi Morroco Bus...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Walivyojipanga yale maeneo ambayo wanaona ndio chanzo kumbe yanaweza maandamano yakawa Zanzibar

    Sehemu zote zilizotokea October 29 Polisi, wanajeshi na TISS wamejazana wakiwa teyari kumwaga damu. Sasa wasicho kijua kinaweza kuwa yani walipo pangwa sio hapo. Mtakuja kushangaa kesho yakawa sehemu ambayo uwezi tegemea kabisa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wengi wakimbilia Zanzibar kuogopa Desemba 9?

    Kuna taarifa kwamba hivi sasa kupata boti ya Zanzibar imekua shida. Watanganyika wengi inasemekana wamekimbilia kwa ndugu zao na wengine mahoteli ili kukimbia December 9. Zanzibar inasemekana imekua kimbilio kubwa kwa watu wa upande wa pili Quran “Je, mnadhani kuwa mtaachwa bila kujaribiwa?…”...
  17. Rev.Kishoka

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo langu si...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna Media inakumbushia yaliyowahi tokea Zanzibar. Ina maana gani?

    Kuna mada hapa niliweka Moderator unaweza kurudisha kichwa cha habari kina sema inawezekana ni kulipa kisasi. Kuna media hipo Facebook inakazania matukio yaliyotokea Zanzibar mfano la kupinduliwa na wale waliohukumiwa kifo mbele ya wananchi. Maandamano ya kupinga uchaguzi kipindi cha mkapa...
  19. SNAP J

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha tatizo (root cause) ni Samia na genge lake; mkitaka kuamini hilo, Dr. Mwinyi aje huku na Samia aende Zanzibar, nchi itatulia

    Ikitokea samia aende kuwa raisi wa Zanzibar halafu Dr. Mwinyi aje kuwa raisi wa JMT, naamini Taifa litarudi kwenye utulivu wake immediately. Ndio!. Ila najua kuna wengine watabisha. Do you know WHY?.. THE ANSWER IS VERY SIMPLE...
  20. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Umafia wa Zanzibar una historia!

    hawa watu ni shida, na wala hatukupaswa kuungana nao kabisa, angalia jinsi walivyowaua wapinzani wao huko Zanzibar, damu damu, damu. https://www.youtube.com/watch?v=Ss-lfLLzV-k
Back
Top Bottom