zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Uchambuzi Urais Zanzibar 2020: Nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad

    Historia ya siasa za Zanzibar haiwezi kuandikwa ikakamilika bila kulitaja jina la Seif Sharif Hamad. Maalim ni mtu mmoja mwenye sehemu kubwa katika historia hiyo na kamwe hapuuziki. Maalim alizaliwa tarehe 22 Oktoba mwaka 1943 huko Mtambwe Nyali kisiwani Pemba. Yeye ni mtoto wa pekee kwa mama...
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar ya sasa inahitaji Viongozi nje ya hawa Watoto wa waliowahi kuwa Marais; akina Mwinyi, Jumbe na Karume

    CCM Watu wanaowaheshimu japo kuna muda wanawakosoa wameshayachoka sasa haya Majina ya sijui akina Mwinyi, Jumbe na Karume na badala yake wanataka Kuziona Sura mpya kama si ngeni ambazo nazo zitaiongoza Zanzibar kwa Mafanikio makubwa mno na yenye Tija. Ninawaombeni CCM Mrithi wa Dkt. Ali...
  3. JamiiForums Tanzania Namba 30: Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya CCM kuwania Urais wa Zanzibar

    Mussa Aboud Jumbe, Mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe amechukua fomu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Jumbe amekuwa mgombea wa 30 katika mbio hizo za Urais. Vile vile Mussa ni Mkurugenzi katika Idara ya Maendeleo ya Uvuvi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Labour Tanzania chakanusha kushiriki kikao cha vyama 11 kumtaka Msajili achukue hatua dhidi ACT-Wazalendo kwa Uchochezi visiwani Zanzibar

    WanaJF wasalaam, Mambo ni mengi muda hakuna. Naanza kuuona Uzalendo na Umakini wa TLP hasa kwenye hili, TLP naombeni kadi yenu.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Urais Zanzibar: Kwanini nampa nafasi Mhandisi Hamad Yusuf Masauni

    Habari JF Siasa, Humu ndani kumekuwa na maoni au chapuo mbalimbali juu ya wagombea Urais Zanzibar. Kuna mmoja wetu humu jukwaani amekuwa wazi kwa kuwapa chapuo Dr Hussein Mwinyi na Prof Makame Mbarawa. Naomba nami niseme ama kutoa maoni yangu kutoka moyoni Kama walivyofanya wengine. Kwanza...
  6. JamiiForums Tanzania Je, bado Zanzibar mmechoka Mgombea Urais kuchaguliwa Dodoma? Na kupokezana Urais wa Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika Je?

    Bendera ya Tanganyika Kabla ya Uchaguzi wa Mwaka 2015, CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, kilieleza nia yake ya kutaka kuachiwa mamlaka ya kumchagua mgombea Urais wa Visiwa hivyo, badala ya utaratibu wa sasa unaoshirikisha wenzao wa Tanzania Bara. Pamoja na hatua hiyo, chama hicho pia...
  7. JamiiForums Tanzania Namba 29: Shaame Simai Mcha achukua fomu kuwania kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM

    Shaame Simai Mcha ambaye ni Mwandishi wa Habari, ameingia katika mbio za Urais wa Zanzibar kwa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.
  8. JamiiForums Tanzania Namba 28: Idd Hamad Idd achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Kada wa CCM, Idd hamad Idd amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombe Urais wa Zanzibar kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 - Idd Hamad anakuwa mwanachama wa 28 wa chama hicho kuchukua fomu hiyo ambapo tayari Wanawake 3 na Wanaume 24 wameshachukua
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuna demokrasia pana wagombea 29 wachukua fomu kugombea Urais wa Zanzibar hadi sasa, CHADEMA ni 3

    Hadi sasa jumla ya wagombea 29 wamechukua fomu xa kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais Zanzibar kupitia CCM. Kwa upande wa wapinzani CHADEMA ina wagombea 3 na NCCR Mageuzi 1 CCM ni baba wa demokrasia Maendeleo hayana vyama!
  10. JamiiForums Tanzania Urais Zanzibar 2020: Mfahamu kiundani Khamis Mussa Omar

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Khamis Mussa Omar amejitosa kwenye mbio za Urais Zanzibar 2020 na kuchukua fomu kuomba ridhaa ya CCM. Khamis Mussa ndiye mshika funguo za hazina ya visiwa hivi, sehemu nyeti ambayo ili ukae lazima ama kuaminiwa ama kuwa sehemu ya ulaji...
  11. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Nafasi ya Profesa Makame Mbarawa kwenye Urais Zanzibar

    Mengi yamesemwa kuhusu nia ya Profesa Makame Mbarawa kugombea Urais Zanzibar 2020. Wapo waloandika makala zenye uwiano bora, wapo walomponda na kusema hana nafasi lakini pia wapo walomsifia. Makala hii inachambua pande mbili za mjadala na kumpa msomaji ama uwanja mpana wa kuwa na hitimisho lake...
  12. JamiiForums Tanzania Ambari Khamis achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Urais Zanzibar kupitia NCCR Mageuzi

    Ambari Haji khamis ni wa 1 kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama Cha NCCR Mageuzi kugombea nafasi ya urais Zanzibar. Ambari Haji Khamis ni Makamo Mwenyekiti Tanzania Zanzibar Chama Cha NCCR Mageuzi amesema endapo chama kitampa ridhaa ya kuwa mgombea na hatimae kushinda urais Zanzibar...
  13. JamiiForums Tanzania Namba 26: Mwanamke wa tatu, Fatma Kombo Masoud achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo ------ Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Namba 25: Mwamamke wa pili, Hasna Attai Masoud achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM. Arudisha fomu

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hasna Attai Masoud amekuwa mwanamke wa pili kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar. Hasna anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 25 visiwani humo CURRICULUM VITAE. Personal Particulars Surname...
  15. JamiiForums Tanzania Namba 24: Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA), Hashim Salum Hashim amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kuwa mgombea urais kupitia CCM Hashim amekuwa mwanachama wa 24 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu hizo za Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020...
  16. JamiiForums Tanzania Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

    Wakuu kwema. Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala. Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wagombea Urais Zanzibar wanapaswa kumlazimisha Bashiru awaambie nani kati yao ametumwa na "mabeberu" la sivyo akiri kauli yake ni potofu sana kisiasa

    Mara nyingi nimesema sana humu JF kwamba kuna wakati nazishangaa sana kauli za wanasiasa wetu zinazotolewa kama vile hawana uwezo wa kufikiri. Sasa hili la Bashiru, Katibu Mkuu wa CCM kupiga kelele mbele ya jumuiya kwamba haelewi kwa nini hadi wakati huo wanachama 12 wajitokeze kugombea uraisi...
  18. JamiiForums Tanzania Urais wa Zanzibar na dhana ya usulutani

    Sio ajabu kesho kumuona mtoto wa Dr. Sheni nae akichukua fomu ya kuomba kuwa Rais wa Zanzibar Kama vile Urais Ni haki kamili ya kurithi. Ukishakuwa na akina"Jecha" Zanzibar na Dodoma kila kitu kinawezekana.
  19. JamiiForums Tanzania Wakristo kwenye Siasa za Zanzibar mnakwama wapi?

    Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar. Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA... Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi? Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa naye ana timu...!!! #YNWA
  20. JamiiForums Tanzania Namba 23: Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohamed Mahmud achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmud amekuwa mgombea wa 23 kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…