zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Hills Nungwi New Apartments For Sale at Zanzibar

    We are pleased to introduce The Hills Nungwi by Majestic Luxury Suites, a premium residential development located just 50 meters from the beach in Nungwi, Zanzibar. Pricing: • One-bedroom apartments: USD 148,500–198,000 (77sqm) • Two-bedroom apartments: USD 165,000–220,000 (89sqm) •...
  2. JamiiForums Tanzania Wakazi Jaws Corner: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una manufaa mapana

    Wakazi wa eneo la Jaws Corner, Mji Mkongwe Zanzibar, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ziara yake katika eneo hilo, wakisema imewapa faraja na kuthibitisha kuwa ni kiongozi anayewathamini na kuwajali wananchi wa Zanzibar. Wakazi hao...
  3. JamiiForums Tanzania Amenaswa na maneno ya kinywa chake mwenyewe; Asema - Zanzibar hakuna "aliyenyukuliwa". Watanganyika "Tulinyukuliwa" kwelikweli...!!

    ================= Tumuulize Bwana Kamusi tujue exactly maana ya neno "nyukua" na mnyambuliko wake... Na hii ndiyo maana yake... NYUKUA: Ni kitenzi cha Kiswahili kinachomaanisha kufinya, kunyofoa, au kung'oa kwa ghafla kwa kutumia vidole, na kitu chenye ncha kali: Mnyambuliko wa Maana na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar watu mil 1 wabunge 50, kila mmoja mshahara Mil 500 kwa mwaka sawa na Bil 25, Dar watu Mil 7-8 wabunge 10 tu!

    Zanzibar inatunyonya sana jaribu kufikiria eti wabunge 10 wanawakilisha watu milioni 7 hadi 8 na wazanzibari wapatao 50 wako bunge la Dodoma kuwakilisha wazanzibari wapatao milioni 1. Hapa nimeongelea wabunge tu lakini kama tujuavyo mbali ya wabunge tuna watendaji wengi wa ngazi mbalimbali za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Zanzibar na ukoloni

    Yaniuwia vigumu kukaa kimya napoitazama Zanzibar ya leo. Kuna hali ya kibaguzi kwa baadhi ya Viongozi wa vyama vya Siasa na Serikali ya Zanzibar ambao kama kwamba bado wanaishi karne ya 15. Nasema haya kwa sababu sielewi sababu ya wao kusifia Utawala wa kifalme wa Sultan kama kwamba Zanzibar...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe Zanzibar hawana mchango wowote kwenye pato la Taifa. Inaumiza sana.

    https://sw.wikipedia.org/wiki/Orodha_ya_mikoa_ya_Tanzania_kwa_Pato_la_Taifa
  7. JamiiForums Tanzania Kufariki na kuzikwa nchi ya Tanganyika rasmi 1964 sio makosa ya Zanzibar na Wazanzibar ni makosa Mwl Nyerere

    Kufariki na kuzikwa nchi ya Tanganyika rasmi 1964 sio makosa ya Zanzibar na Wazanzibar ni makosa ya Baba yenu,Mtakatifu wenu,Mwenyeheri Nyerere. Daima Wazanzibar wapo sahihi kujivunia Uzanzibari wao hata pale unapotaka kujaribiwa kuzikwa kwa tamaa za siasa za kimabavu. Wazanzibar wanayo haki...
  8. JamiiForums Tanzania Operator watano wa backhoe wanahitajika Iris Zanzibar

    Ndugu wana JF habari ndo hii wano ndugu zao au wewe mwenyewe operator wanahitajika haraka sanaa Mimi nakuunganisha moja kwa moja na boss
  9. K

    JamiiForums Tanzania Usalama wa wageni waimarishwa Zanzibar, je ni chanzo cha ongezeko la watalii?

    Naibu Waziri,Ofisi ya Waziri mkuu kazi,vijana,na ajira pia mbunge wa chama cha mapinduzi jimbo la Shinyanga mjini Mh Paschal Katambi ametembelea katika uwanja wa ndege wa Shekh Abeid Amani Karume Zanzibar kwaajili ya ukaguzi wa mifumo ya usalama na utoaji huduma kwa wageni wanaoingia nchini na...
  10. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/=. Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565. @radhiyastore @prathrealestate
  11. JamiiForums Tanzania Waarabu Zanzibar na Watutsi maziwa makuu wote walikuwa walowezi wakoloni

    Ukoloni Zanzibar haukuanzia kwa waingereza bali kwa walowezi waarabu wa Omani ambao walihamia zanzibar pamoja na ndugu ya sultani wao ambapo walimuweka akawa sultani wa zanzibar na kuanzisha utawala wa ukoloni wa kilowezi wa kiarabu. Waomani hao wakatawala eneo la zanzibar na pwani ya afrika...
  12. JamiiForums Tanzania Looking for angel investors for bar business in Zanzibar

    We have an idea in which we open a bar with imported beer in Zanzibar. The bar will have a classy central European style, designed to deliver an unforgettable social experience in one of East Africa's most iconic tourist destinations. The bar will attract both international visitors and local...
  13. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar Zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/=. Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565. @radhiyastore @prathrealestate
  14. JamiiForums Tanzania ACT: Tunaitaka SMZ, itoe ufafanuzi kuhusu usahihi wa gharama za Miundombinu ya AFCON Zanzibar

    Prof. Omar Fakih Hamad, Mnadhimu wa ACT Wazalendo, Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ndugu Wanahabari! Hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu, aliyetujaalia uhai na uzima na kutuwezesha leo hii tukajumuika pamoja hapa katika ukumbi wetu wa Chama kwa ajili ya kuzungumza nanyi masuala yaihusuyo nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Samia Aongoza Kamati Kuu ya CCM Zanzibar

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika mapema leo mjini Zanzibar.
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Zanzibar, Julai 2, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar Jumatano tarehe 29 Julai, 2026.
  17. JamiiForums Tanzania Nyerere alishauriana na nani kuunganisha Tanganyika na Zanzibar?

    Suala la muungano sio suala la hitaji binafsi la mtu maana ni suala ambalo linagusa taifa vizazi na vizazi. Ninadhani mpaka kufika suala la kuungana au kutoungana ilibidi maoni yakusanywe kutoka kwa wananchi wa pande zote mbili . Yani kama ilivyo utaratibu wa kupiga kura za rais ilibidi iwe...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu bodaboda mkazi wa chakani unguja zanzibar kafariki ndugu zake hawajulikani

    Yeyote atae mfahamu awasiliane na jeshi la polisi, au afike hospitali ya jitimai, ambapo mwili wake umewekwa. Wapambanaji tunaondoka makwetu tunakuja ugenini tunapitia mengi sana, lakini ni muhimu pale tunapo pata viridhiki kidogo tujitahidi kuanzisha familia, vuta demu ghetto WA kuishi nae...
  19. JamiiForums Tanzania Sawa Kikwete waweza kuwa huongozi nchi kwa remote ya Zanzibar lakini vetting ya 2015 itakutafuna

    Kikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza, Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe KINGI, mnaocheza draft mnaelewa kete ya KINGI ina nguvu gani, kila kete ikaayo njiani inapita nayo...
  20. JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano usilolijua usiku wa kiza

    Baadhi ya vitabu vya historia ya Zanzibar vilivyopo Maktaba Huwa nasoma nyuzi hapa JF mtu anaandika kuwa John Okello ni Baba wa Taifa la Zanzibar. Anaishia hapo. Ukimuuliiza kama anajua historia ya mapinduzi ni ubishi tu na mjadala kurefuka bila ya sababu. Ukimuuliza kama anaijua kambi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…