zanzibar

  1. zachariano alexido

    Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Kwa macho yangu Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka. Nina muomba kiongozi mwenye dhamana ya USALAMA ZANZIBAR awajibike ziende fenda za polisi kukamata wale vijana WOTE wenye tattoo na wanao vuta...
  2. F

    Nataka nipande ndege niende Zanzibar niushtue umasikini kidogo, Kwani lazima niwe na passport?

    Wakuu kwema, Naombeni kuuliza nyie wakishua nataka nipande ndege niende Zanzibar niushtue umasikini kidogo, Kwani lazima niwe na passport au?🤔
  3. loose Nut

    Kwanini FIFA inawanyima uwana chama Zanzibar na Catalonia

    Licha ya Zanzibar (Tanzania) na Catalonia (Uhispania) kuomba sana uwana chama FIFA zimekataliwa kabisa. Cha kushangaza FIFA imewapa membership Nothern Ireland, Wales, Scotland (UK), Greenland na Faroe Islands (Denmark), Taiwan na Macau (China), New Caledonian, Tahiti (France), Guam, American...
  4. zachariano alexido

    Sikukuu ya mwaka huu Forodhani Zanzibar imepoa sana

    Mwaka juzi na mwaka Jana, hapakua na pakukanyaga, yani ilikua balaa hupiti mpaka upenyeze ila mwaka HUU HATA sarakasi unapiga VIZURI TU je, Watu hawana hela au matamko tata ya viongozi wa dini kupishana mitazamo ya siku husika au ndo basi tu
  5. K

    Mh. Rais sema neno Watanganyika Tupone: Tunaomba Jumatatu ya Tarehe 23 Machi 2026 iwe Sikukuu ya Idd kama Zanzibar

    Kwako Mheshimiwa, Kipenzi cha Watanzania Mkuu wetu wa nchi ikukupendeza Tunaomba utoe neno watanganyika tupone, Jumatatu iwe Sikukuu ya Mapunziko kusherehekea Idd Tatu (3). Ni Mimi Mtanzania Mzalendo wa Kinondoni Chama hapa. Nawasilisha
  6. figganigga

    Bila Suzan S. Kaganda kuwa IGP, tugomee maridhiano Samia Suluhu na Watanganyika. Wambura ni Pandikizi

    Jana nimekutana na balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Suzan S. Kaganda hazina ya Taifa. Baada ya kumsikiliza vizuri, nimeamini kumbe Nchi yetu bado ina Wazalendo. Tatizo Wazalendo CCM hawataki wakae karibu na Wananchi. Mfano Balozi Polepole alipelekwa Cuba, Balozi Suzan kapelekwa and Zimbabwe...
  7. Idugunde

    Iweje Mtanganyika akiagiza mafuata ya kupikia kutoka Zanzibar alipe ushuru na kodi?

    Tanganyika na Zanzibar ni nchi moja. Huwezi kufanya mapinduzi Zanzibar Sababu Zanzibar zio dola huru. Iweje Mtanganyika akiagiza mafuata ya kupikia kutoka Zanzibar alipe ushuru na kodi?
  8. fimboyaukwaju

    Nilivyoimba Zanzibar

    Ni miaka mingi kama 15 iliyopita, mimi, dada zangu 2 na waume zao na kaka zangu 3 na wake zao,tulienda zanzibar kwa mwaliko wa rafiki wetu wa familia,ni mtu mkubwa serikalini hivyo siwezi kumtaja hapa.Kiongozi huyo alitualika chakula cha usiku kwenye hoteli moja hapo unguja.Kulikuwa na live band...
  9. The Burning Spear

    Hii vita ya mtandaoni Tanganyika na Zanzibar mbona kama imepamba moto

    Hello Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa. Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga
  10. Mhaya

    Kwa Zanzibar ni nchi ya kidini, kwa nini wapiga urabu kwenye Ramadhani wakamatwe?

    Zanzibar ni nchi yenye watu wenye Tamaduni na Imani mbalimbali ikiwemo Waislamu na Wakristo. Kuweka katazo la unywaji pombe au uuzwaji pombe ni kuingilia faragha za watu. Kama biashara ya mtu haikubuguzi au unywaji wa mtu hausumbui watu wengine kwa nini mtu anayekunywa pombe Ramadhani akamatwe...
  11. figganigga

    Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza. MY TAKE; Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au washajiunga Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa siri?
  12. O

    POTOSHI Samia: Ngorongoro tumewapa Ndugu zetu waarabu wawekeze

    Samia anasema tuna undugu na Waarabu; lakini ni tangu lini tumekuwa na undugu na Waarabu? Kwahiyo hapa anataka kusema kwamba amewapa waarabu wawekeze kwasababu ni ndugu zake!? Kwanini Rais wa hii nchi akili zake zimejaa undugu na nepotism kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya nchi !? Hafai kuwa...
  13. F

    Ni wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku Zanzibar?

    Ni wapi naweza pata chumba cha kulala na tsh 60,000 kwa usiku
  14. Allen Kilewella

    Ili kukuza muungano tugawane sawa kwa sawa na Zanzibar

    Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika. Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu. Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu. Hii itaimarisha muungano wetu.
  15. M

    Kwa hiyo Zanzibar wananunua mchanga wa Tanzania Bara halafu mapato ya mauzo yanarudi upya Zanzibar kujenga miradi mipya ya Muungano?

    Serikali ya Zanzibar imepanga kuanza kunuuna mchanga kutoka Tanzania Bara kwajili ya miradi. Kwa hio mapato haya yanarudi upya Zanzibar kujenga barabara, shule, hospitali, madaraja, n.k. kwajili ya maendeleo ya muungano? Taarifa ndefu ipo hapa >>> Zanzibar kuanza kuagiza mchanga kutoka...
  16. radhiya

    Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 7. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery...
  17. Pakome

    Shutuma mpya kwa CHADEMA, wanachama wa Zanzibar wanadai Ruzuku pamoja na kupinga ubaguzi wa Dini, Ukabila & Muungano

    Shutuma mpya kutoka kwa CHADEMA Zanzibar wanadia kuwa CHADEMA haipeleki Ruzuku Zanzibar Wanachama wa Zanzibar hawaishii hapo vilevile wanadai kuwa CHADEMA imekithiri ubaguzi wa dini wakidai kuwa tangu kuanzishwa kwake haijawahi kumpa nafasi ya uenyekiti mwanachama wake wa dini ya Kiislamu...
  18. Eswa

    Azam Marine Zanzibar wekeni huduma ya Lipa namba

    Habari za asubuhi. Imenishangaza sana alfajiri hii, nafika kwenye ofisi za Azam Marine hapa Zanzibar kukata tiketi eti hawana huduma za Lipa namba na kuna mlinzi ana huduma za wakala so unatakiwa utoe kwake kisha ulipie tiketi. Cha ajabu Zan Fast Fery wao Lipa namba. Kilichoniponza ni kataka...
  19. D

    B2B Trading Zanzibar

    Nataka kufanya trading Zanzibar. B2B Trading. Wajuzi naomba mnisaidie idea za bidhaa ambazo ni nzuri kwa B2B na ni scalable. Kwa kuanzia nataka kutoa bidhaa Tanganyika na kupeleka Zanzibar. Ninaombeni ushauri kwa wajuzi wa Zanzibar.
  20. M

    CHADEMA Zanzibar watoa Tamko, Wasikitishwa na madai ya Said Issa Mohamed kuwa aliishtaki CHADEMA kwa niaba yao

    Kufuatia madai ya aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Mohamed, kwamba amefungua kesi kwa niaba ya chama hicho kuhusu mgawanyo wa mali, CHADEMA Zanzibar imesema kesi hiyo ni yake binafsi pamoja na watu wanaomshawishi au kumtuma. Chama hicho kimefafanua kuwa Said Mohamed...
Back
Top Bottom