zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. elite wastes

    JamiiForums Tanzania kataa mashimo ya zamani

    Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌ Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua...
  2. elite wastes

    JamiiForums Tanzania Kataa mashimo ya zamani ya choo

    Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌ Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua...
  3. elite wastes

    JamiiForums Tanzania kataa mashimo ya zamani

    Mifumo ya Zamani ya Mashimo Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua...
  4. elite wastes

    JamiiForums Tanzania Kataa mifumo ya zamani ya majitaka

    Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌ Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua...
  5. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Part three: Burudika na Instrumental beats za nyimbo za zamani (zilipendwa)

    PART THREE: Hizi hapa 15 INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo za zamani (zilipendwa). 1. DULLY SYKES - Salome 2. BABALEVO - Kama kawa 3. SPACK - Ombi langu. 4. JAYDEE - Mambo matano. 5. ANJELLA - Toroka. 6. SUMALEE - Chukua time. 7. TIMBULO - Sina hali. 8. OFFISIDE - Kidudu mtu. 9. MIRROR - Nibembeleze...
  6. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Part one: Burudika na Instrumental Beats za nyimbo za zamani

    PART ONE: Hizi hapa 15 INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo za zamani; 1. GK - Piga manati. 2. CHID BENZI - Muda. 3. MEZ B - Kikuku. 4. BRENDA FASSIE - Thola. 5. MARIOO - Beer tamu. 6. BANANA ZORO - Ningependa. 7. CHEMICAL - Asali. 8. ALIKIBA - Sabrina. 9. WAGOSI WA KAYA - Trafiki. 10. ALIKIBA - Far a...
  7. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye uzi wa "Instrumental Beats" za nyimbo za zamani

    Burudani: Je, unapenda kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo mbalimbali? Nyimbo nyingi za sasahivi ukitaka kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS utazikuta wameweka huko YouTube, Google, n.k. Lakini nyimbo za zamani zile za enzi ya producers akina P-Funk majani, Master J, Mika Mwamba, Said Comolien...
  8. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli sarafu za zamani zina thamani kubwa sasa?

    Naomba kuuliza ukweli kuhusu sarafu za Kitanzania na nchi zinginezo kama kweli zina thamani kubwa sasa. Mtaani wengi wanazitafuta kwa matumizi mbalimbali. Upi ukweli?
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa Temeke

    Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa. Mahali: Temeke karibu na shule ya Yemen, Mtaa wa Mganda. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Chang'ombe. Ukubwa wa Eneo: SQM 548. Bei: Tzs Milioni 400. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano...
  10. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Zamani nilipoifahamu JamiiForums, Nilijua ni mtandao wa CHADEMA.

    Mwishoni mwa utawala wa Jk awamu ya pili, ndio nipo o level nilijua JF ni ya chadema. Kipindi hicho hoja nasikia zilikuwa za moto ile mbaya. Mpaka maafisa wa serikali nasikia walikuwa hawataki kuusikia kutokana na uozo wao kuanikwa humu. Sasa automatically nikajua this forum na belongs to...
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Hazina wa Marekani, Summers, asema huenda Marekani inaelekea kwenye "mgogoro mkubwa wa kifedha."

    JUST IN: 🇺🇸 Former Treasury Secretary Summers says US might be headed for a "serious financial crisis." https://x.com/WatcherGuru/status/1909929351207940320?t=aqkE5sHJW7RJL35lYk_xtg&s=19
  12. W

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Ubadilishaji wa Noti za Zamani Mwisho Kesho

    Zoezi la ubadilishwaji wa noti za zamani lililoanza tarehe 06 Januari 2025 linatarajiwa kumalizika tarehe 05 Aprili 2025 ambapo matumizi ya noti hizo yatafikia ukomo wa kuwa fedha halali za Tanzania. Baada ya tarehe hiyo, mtu yeyote au taasisi yoyote inayomiliki fedha hizo haitaruhusiwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuna boss wangu wa zamani aliwahi kunifukuza kazi, leo kanicheck kuniomba connection

    Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana. Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss...
  14. Money Penny

    JamiiForums Tanzania The Bar was Low - vitu gani ulivumilia kwenye mapenzi zamani ambavyo ukikumbuka unajilaumu sana kujishusha thamani

    Haya walioko kwenye mapenzi The bar was soo low ndio habari ya kuulizana Tuambie kama uzi unavyouliza
  15. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka zamani

    Habari za siku nyingi wanajukwaa…. Leo nimekaa nimejiwazia nikajikuta tu naona watoto wa sikuizi hawaenjoy kama ambavyo sisi zamani tulikuwa tunaenjoy,. Watoto wa saizi hawajui hata raha za kwenda likizo kwa bibi Kwanza niseme tu kuwa bibi yetu kama wajukuu kabarikiwa nao ,. Mpaka sasa nadhani...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je, zamani watu walipataje taarifa za misiba ya wapendwa wao pasipokuwa na simu , email wala kutumiwa barua?

    Zamani miaka ya nyuma Msiba ulikuwa unatumia Mwezi mzima . Ila jambo ambalo huwa nalitafakari ni kuhusu "the power of connectivity" Yaani kuna wale ndugu zetu walikuwa wakitoka Bukoba na kwenda kutafuta Maisha mikoa mbali mbali na wengine nje ya nchi . Ila ilikuwa ikitokea Msiba ndani ya huo...
  17. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Huyu ni mchezaji wa zamani, je ni nani?

    Lete majibu, huyu mwanasoka ni nani?
  18. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Uchumba wa zamani nani anaukumbuka? Wa miaka ya 80 mpaka 2000?

    Sis: " Mdogowangu, zamani sisi tukiwa kwenye uchumba, kuanzjq miaka ya 80 mwisho waliishia mwaka 2010. Wanaume walikuwa wana upendo sana, walikuwa wanahudumia wachumba zao wakike au girlfriend zao sana Tulikuwa tunapewa hela jaman, saluni, wengine mapaka magari, na nyumba unaonyeshwa hapa ndio...
  19. Dr Chi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Makosa Ambayo Watoto wa Zamani Tulikuwa Tukila Bakora.

    1. Usiposalimia wakubwa asubuhi, unapigwa. 2. Usiposalimia wageni, unapigwa. 3. Ukinawa kabla ya wageni, unapigwa. 4. Ukilia bila sababu, unapigwa. 5. Ukinyanyuka wakati wa kula kabla ya wakubwa kuinuka, unapigwa. 6. Wakubwa wakiwa wamekaa wewe ukaenda kusimana pembeni, unapigwa. 7. Ukikaa...
  20. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wanaume waleo vs wanaume wa zamani

    WAnaume wakileo. Mnaanza mahusiano anaanza kusema unafanya nini ?? Mko kwenye maongezi kidogo eti una teni hapo sasa kama mie mwanamke unataka hela yangu yanini kwasababu gani?? Dunia ilipoanza adam aliambiwa atatafuta kwa uchungu. Na hawa atazaa kwa uchungu na vitu vyote hadi kulea mwanaume...
Back
Top Bottom