zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Palestina imeshatambuliwa na mataifa 147 zamani na haijasaidia chochote.Huu utambuzi wa nchi za Ulaya na Canada ni ujanja mwengine basi, wa maangamizi

    Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu. Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana. Habari hizo...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake zamani VS. Wanawake Sasa

    1. Zamani : Mwanamke anakutana na mwanaume kakonda hana mwili, kimoyomoyo " huyu mwanaume hana mtu anayemtunza hadi ana dhoofu afya nipambane niolewe nae nimtunze hadi apendeze" Sasa : Mmmmhmn MUNGU aniepushe na hiki kikombe, mtu kakondeana kama mti wa dawa afu anajiamini kunitongoza, usikute...
  3. JamiiForums Tanzania Mpenzi Wako Wa Zamani kaja kukuomba msamaha Utamsamehe?

    Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
  4. JamiiForums Tanzania Zamani ilikuonesha mapenzi, unapiga picha unampa mtu anaweka kwenye album, akiiangalia anafurahi. Sasa hivi mnapeana nini?

    Ilikua ukipewa picha na mtu ni zawadi kubwa sana na ushahidi kua huyo mtu ni wako, je sasa hivi mnapeana nini ?
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

    Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980). Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Taarifa ya mabaki ya viungo vya binadamu Mpiji Magoe ni ya zamani

  7. JamiiForums Tanzania Zamani ukitaka mchumba lazima utongoze lakini siku hizi ukimuita "MY" tu tayari

    Hii nimetoa FB, je Kuna ukweli? My wangu haszu
  8. JamiiForums Tanzania Kampeni Ya Kataa Ndoa Ilitabiriwa Zamani Itakuja Nyakati Za Mwisho

    Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo. Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu. Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia...
  9. JamiiForums Tanzania Tofauti ya zamani na sasa katika ujenzi wa Nyumba za kuishi!

    Ukiishi nchi za wenzetu, hakuna mafensi makuubwa ya nyumba labda kama ni nje ya mji. ila hapa kwetu na south, mtu anajenga nyumba na fensi ambayo hadi uingie unapata shida. mara aweke waya za umeme, filimbi za sauti kali ambazo ukipiga mtaa mzima watashtuka kujua kuna hatari kwako iandae na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama wangekuwa wanapitia CCM basi chama kingekuwa kilishakufa zamani

    Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani. Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama kukomaa kimekomaa zaidi ya CCM ni vile tu serikali haitaki kuruhusu uchaguzi huru maana hata wanachama wa...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, afariki dunia

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu. Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
  12. JamiiForums Tanzania Salim Kikeke anapitia Spana kwenye mtandao wa X

    Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter. Kwenye Moja Kati ya Chapisho Lake Ameandika Kuwa ........................ Sometimes change has to be fought from within. Albert Einstein once said “Doing the same thing over and over again and expecting different...
  13. JamiiForums Tanzania Tajiri Sina BAYA nimefilisika kwa sasa ni kijana Masikini kama zamani

    Ilikuwa ni taarifa tu nisiwachoshe wapambanaji, endeleeni na Threads za msingi zenye mustakabali wa kulijenga taifa letu. Niwatakie jioni njema. dosho12 Harmful Mama Ndege Intelligent businessman
  14. U

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu' - Makamu Rais wa zamani wa Burundi

    Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida ya kuichangamsha serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau. Habari kamili: Katika mkutano na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Zamani ztukumbushe Hili kuelekea Uchaguzi,2025!

    Utavuna ulichopanda ×2 Kiitikio Ulichopanda×2,Utavuna! Wananchi tusidanganyike na vitenge, vyakula,pesa nk Kama mmbunge aliyopo madarakani,hajafanya lolote kwenye Jimbo lake mbali na msukumo wa serikali,asirudi Bungeni. Kama ni mgombea wa mara ya kwanza,tumuulize huko alikuwa amefanya Nini Cha...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha, ajitosa kusaka ridhaa, ubunge Nyamagana

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza. Masha amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana, Deogratias Nakei.
  17. JamiiForums Tanzania Chid Benzi kawa kama zamani big up kwake

    Watanzania wafarijika baada ya kuona muonekano mpya wa chid benzi, you know what? GOD DID. Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Chid Benz, aliyewahi kuwa mraibu wa dawa za kulevya, anatarajiwa kushiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupinga Biashara na Matumizi ya Dawa za Kulevya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Simu ya zamani Samsung galaxy grand prime + Inasumbua

    Nimekua nikitumia simu hii kwa muda mrefu tangu mwaka 2019 hadi nilipopata changamoto ya kugoma kuwaka baada ya kuinstal App ya kudownload content mtandaoni ambayo niliitoa nje ya playstore. Baada ya kuipeleka kwa fundi aliniuliza kama naweza kukumbuka email na password za google akaunti yangu...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe mzabzab ni SIMP toka zamani

    mzabzab usiniulize nimepata picha yako wapi 🤣🤣 -Jasusi Cohen🚀
  20. W

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tukinunua betri jipya mafundi huunganisha kwanza betri la zamani au used kuwasha gari halafu ndio wanaweka jipya ?

    Mara kadhaa nimeona hili, mtu akinunua battery, fundi anaenda kutafuta battery lingine aje kuwashia gari, gari likiwaka anachomoa battery, akichomoa battery bado gari linaendelea kufanya kazi ndipo anaweka battery jipya. kwanini huwa hawaweki moja kwa moja battery jipya ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…