zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Caesar Nero Alikuwa katili sana alimuua mama yake kwa kumcharanga mapanga, mke na akachoma maadui zake ili tu atawale kwa Raha

    Nero Claudius Caesar aliingia madarakani mwaka 54 BK akiwa na umri mdogo sana, takribani miaka 16. Hakuingia kwa bahati mbaya. Mama yake, Agrippina the Younger, alikuwa mwanamke mwenye ushawishi mkubwa ndani ya siasa za Roma na ndiye aliyepanga kila hatua ili mwanawe apate kiti cha ufalme...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi aliyemteua Mwigulu alichunguza changamoto,Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa

    Huwa simuelewi mwigulu. Nikimuelewa huwa sijui kama anajielewa au kuelewa asemacho. Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa. Anaongea kana kwamba mdomo na ubongo havina mawasiliano. Wakati mwingine inakuwa vigumu kumtofautisha na hamnazoo aongeapo. Anaongea sana kuliko bosi wake. Anaongea kama...
  3. JamiiForums Tanzania Ukisikia habari ya Kambona, ukimuangalia Warioba, ukiona walivyofanyiwa na Chama cha Mapinduzi na Serikali zake utaelewa kwanini Tanzania ni masikini

    Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili. 1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. 2. Rushwa na Ubinafsi. Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili. Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bucha: Faida na changamoto zake

    Naomba kujua nini changamoto ya biashara ya bucha la nyama,samaki na dagaa kwa dar es salaam.faida inayopatikana na kama kuna chochote cha kujifunza
  5. JamiiForums Tanzania 14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Kitu pekee kinachoonyesha serikali ipo salama ni Siri zake kutokuvuja

    Hamjambo wote! 1. Kutokuvuja kwa Siri za serikali hasa vikao vya ndani vya wakuu wa nchi ni kiashiria pekee ambacho kinaonyesha bado serikali inanguvu na haijapasuka. 2. Siku zote nasemaga adui mwenye nguvu ni yule aliyepo ndani kuliko wa nje. 3. Kadiri Siri zinavyolindwa ndivyo nguvu...
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba ya mwisho ya mwanaharakati aliyetekwa mbele ya watekaji. Dunia husau haraka

    HOTUBA YA MWISHO YA MWANAHARAKATI ALIYETEKWA MBELE YA WATEKAJI; DUNIA HUSAHAU HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kabla sijasimulia haya yote mimi Mtibeli nikakumbuka wakati Fulani nilipokuwa Msanii wa muziki. Najua utajiuliza ni lini TaikonMaster aliwahi kuwa mwanamuziki. Lakini...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 MV Kazi yasitisha kutoa huduma leo Desemba 9

    Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December 09 kutokana na Kupata hitilafu kwenye mifumo yake ya Uendeshaji. TAMESA imeshauri watumia wa kivuko...
  9. JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Wananchi inalinda wanafamilia pamoja na mali zake sababu kubwa iliyopelekea kupuuzwa kwa maandamano

    Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano, idadi kubwa inasema haitaki kupoteza urithi wake wa watu na mali uliotafutwa miaka kenda iliyopita...
  10. JamiiForums Tanzania Tuisusie META na platforms zake. Wanashirikiana na Samia kuminya demokrasia

    Ndugu Watanzania, Wakenya, Waganda na Waafrika wenzangu Kitendo cha kampuni ya META kushirikiana na serikali ya Samia kuminya uhuru wa maoni na kuzuia umma na dunia kufahamu matukio ya mauaji ya kutisha kuanzia Oktoba 29 na kuendelea, ni ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa maoni na haki ya kupata...
  11. JamiiForums Tanzania Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

    Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia: 1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality). 2. First...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee wa Mawe hana hata mwezi mmoja tangu achaguliwe kuwa bosi eti kashawamisi jirani zake, Michezo

    Huyu hata wiki tatu hana ofisini. Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii. Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake. Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
  13. A

    JamiiForums Tanzania Revolution za hatari zilizowahi kutokea duniani na faida zake

    1. French Revolution (1789–1799) – Ufaransa Faida zake: Iliangusha utawala wa kifalme wa kidikteta.Ilileta haki za kiraia, uhuru wa watu, na misingi ya demokrasia.Ilianza mfumo wa serikali ya wananchi (Republic). Vifo: Zaidi ya 300,000 (makadirio), ikijumuisha “Reign of Terror”. 2...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dr. Chakwera aliwahi kukosolewa kwa kujaza ndugu zake kwenye Baraza la Mawaziri. Je, anafaa kwa mazungumzo ya Maridhiano?

    Huyu ndiye anakuja kutusuluhisha. Birds of the same feather flock together. Mwaka 2020 lipoteuliwa kuwa rais kwenye baraza lake la Mawaziri aliwajaza ndugu zake huku akimteua Mtu na Mke wake kuwa mawaziri ambao walikuwa ni ndugu zake. Aliyekuwa mgombea mwenza wake Sidik Mia, alichaguliwa kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kila nchi Duniani inapigana na Changamoto zake

    Ni ukweli usiopingika, Kila nchi kwa sasa inapigana na shida na Changamoto zake kuanzia za kisiasa na zile za kijamii. Kwa mfano , sasahivi kuanzia Mexico hadi kule Nepal au Indonesia Changamoto za kisiasa na za kijamii viongozi wanahaha kuzikabili. Mbaya zaidi kinachonyima Watawala na...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenye Dhambi Zake za Kuua Atahutubia Lini Bunge la 13?

    Ni ajabu, lakini si geni, kwamba dunia ya leo imejaa watu wanaotaka heshima bila toba, madaraka bila maadili, na sifa bila uhalali. Kila siku tunashuhudia wenye dhambi zao wale walioua kwa mikono yao au kwa maamuzi yao wakijitokeza mbele ya umma kama watakatifu wa kisiasa. Wamevaa suti safi...
  17. JamiiForums Tanzania Mwandambo: Diamond, huwezi kuwaita wasanii wenzio "kenge", haka ka kijana ni laana!

  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuzoea kushinda kwa kulazimisha ushindi kuna hasara zake, na zaidi ushindi wa kishindo athari zake kwa mshindi huwa ni kuogopa vishindo

    Hakika ya ushindi wa namna hii ni kwamba, ushindi huo hauwezi kumwondolea mshindi huyo hofu ya kwamba naye anaweza kuondolewa kwa kishindo Hofu ya kulazimisha ushindi huwapokonya washindi bandia waliopo madarakani imani ya wapiga kura. Hivyo basi, washindi bandia hujitahidi kujijengea imani kwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Je analipiza kisasi kwa ndugu zake wa Zanzibar waliouwa katika utawala wa Mkapa.?

    Lakini maoni yao tumeyakataa .!! Haya yalikua maneno ya Mkapa baada ya machafuko ya mwaka 2000 huko Zanzibar Nimejaribu kutafakari labda kuna ndugu zake wengi waliuwa kipindi kile, na akaapa endapo akipata nafasi ya kuongoza Tanzania atalipiza kwa wabara kile kiliwatokea ndugu zake Zanzibar...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuwahi kuapishwa mbele ya anaowaongoza. Awamu zake zote aliapishwa uchochoroni

    Mara ya kwanza aliapishwa baada ya kuokota dodo mchangani. Mara ya pili aliapishwa kwenye uwanja ukubwa wa netball. Rejected.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…