Huwa nasikia watu wakilalamika na kutuhumu wakoloni kwa kutuletea matatizo. Hata hivyo, tukiwa wakweli, mengi ya matatizo yetu yamesababishwa na watawala wetu uchwara na waroho. Wakoloni waliondoka miaka zaidi ya 60 iliyopita. Ajabu, bado tunawafuata na kuomba mikopo na misaada toka kwao...