zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Chadema huwezi kuiweka pembeni ni watu zaidi ya 9 M

    Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa.
  2. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anadai watu 80 wamekamatwa na wapo vituo vya polisi. Kama wana hatia kwa nini zaidi ya masaa 24 hawajapelekwa mahakamani?

    Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi. Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa sheria? Kama hawana hatia waaachiwe.
  3. JamiiForums Tanzania Makamanda zaidi ya 14 waangamizwa huko Zanjan-Iran!!

    Wanachama 14 wa IRGC waliuawa na wengine 2 walijeruhiwa katika mlipuko wakati wa kubomolewa kwa mabaki ya mashambulio ya Marekani na Israeli katika Mkoa wa Zanjan. Mmoja wa waliouawa ni kamanda mkuu wa IRGC Ali Mousavi-Havaei. Watetezi wa magaidi njooni mkanushe hii habari tuone kama mna ubavu...
  4. JamiiForums Tanzania Prof. Nagu: Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuboresha Huduma za Afya Msingi

    Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa, Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuleta mageuzi katika utoaji wa huduma za afya msingi ndani ya kipindi cha miaka minne iliyopita ya uongozi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: AZAKI ndiye mpangaji na mfadhili mkuu wa matukio ya kigaidi na vurugu za Okt. 29.2025

    Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030. Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa pesa za kujikimu zaidi ya miezi 10 sasa Halmashauri ya manispaa ya Geita

    Ni zaidi ya miezi 10 sasa tangu tuajiriwe katik halmashauri ya manispaa ya geita. Kila tukiuliza wanasema hela hazijatolewa kutoka serikali kuu. Muda mwengine tukiuliza wanatujibu kikejeli sana kwamba "kwani mshahara si mnapata?, kama mnashida na hela mkakope si vigezo mnavyo" Hii ni kuonesha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Said Mwema: Tulibaini zilipangwa mbinu zaidi ya 16 ili jambo hili (maandamano) liweze kufanikiwa

    IGP mstaafu Said Mwema ameyasema hayo wakati tume ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa Aprili 23, 2026
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

    Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kutokana na vifo zaidi ya 500, baadhi ya viongozi wa juu wa serikali na vyombo vya ulinzi walipaswa kujiuzulu.

    Haijalishi nani mhusika au nani mwenye makosa; kitendo cha viongozi wa juu wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kujiuzulu kufuatia vifo vya Watanzania zaidi ya 500 kinaweka mfano hatari sana kwa siku zijazo linapokuja suala la uwajibikaji katika kulinda uhai wa raia.
  10. JamiiForums Tanzania Sheria ya kunyongwa mpaka kifo na kifungo zaidi ya miaka 20 visiwepo

    Habari Tanzania !. Nawaomba watanzania wenzangu tuamue kwa pamoja kuwa katika Sheria zetu hasa upande wa Jinai; tuondoe vifungo vya zaidi ya miaka 20 pamoja na kufuta kifungo cha maisha jela au kunyongwa mpaka kufa. Uhalisia ni kuwa; hakuna aliyemkamilifu isipokuwa ni Mungu pekee. Ikumbukwe...
  11. JamiiForums Tanzania Israel yaangamiza Zaidi ya wanamgambo 250 huko Lebanon

    Kufuatia ufuatiliaji endelevu wa kijasusi wa IDF tangu shambulio kubwa zaidi nchini Lebanon wakati wa Operesheni ya Kunguruma Simba - Operesheni ya Eternak Darkness, mnamo Aprili 8, 2026, IDF sasa inathibitisha kwamba zaidi ya magaidi 250 wa Hezbollah waliangamizwa wakati wa shambulio hilo kote...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

    Ndoa si Biashara: Kujibu Hoja za Wanaokimbia Ndoa kwa Hofu ya Kiuchumi Katika miaka ya hivi karibuni, kumezuka Wimbi jipya la wanaume wanaopania kukaa mbali na ndoa. Hoja yao kuu? "Wanawake wanatumia ndoa kama mradi wa kujitajirisha." Ingawa ni kweli kuwa kuna visa vya watu kutumia vibaya mfumo...
  13. JamiiForums Tanzania Artemis ii Capsule, inatarajiwa kutua leo ambapo itashuka kwa kasi kubwa mara 10 zaidi ya kasi ya risasi katika re-entry

    Leo siku ya 10 ya safari ya Artemis II inatarajiwa kuwa moja ya siku hatari zaidi kwa wanaanga waliomo ndani ya kapsuli ya Orion. Baada ya siku kadhaa wakisafiri mbali na Dunia na kuizunguka njia ya Mwezi, sasa watakuwa katika hatua ya mwisho ya kurudi nyumbani. Lakini kurudi kutoka anga za...
  14. JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 65, unajenga nyumba ya nini?

    Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke anamtafsiri Mwanaume kawaida kisia ndiyo sababu anaweza kuishi zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi

    Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Heshima uliyojijengea kwa miaka zaidi ya 50, usiiharibu kwa vipande 30 vya fedha

    Una heshima kubwa as one of the respected Chief Justice. Sasa kwa nini unataka kuharibu CV yako kwa upuuzi wa mtu mwenye uchu wa madaraka.. Jiangalie umebakiza miaka mingapi duniani? Achana na upuuzi huo , mtafute MUNGU sasa na si kuwafurahisha wenye uchu wa kuinyakua Tanganyika!
  18. R

    JamiiForums Tanzania BURKINA FASO: Serikali yakana ripoti ya zaidi ya raia 1,800 kuuawa kipindi cha uongozi wa Traore

    Burkina Faso imekanusha taarifa inayodai kuwa zaidi ya raia 1,800 wameuawa katika matukio yanayochukuliwa kama “uhalifu dhidi ya ubinadamu” tangu Ibrahim Traoré alipochukua madaraka kwa nguvu miaka mitatu iliyopita. Shirika la Human Rights Watch, lililotoa ripoti hiyo, linasema kuwa mauaji...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Bima za afya za watumishi wanyonge NHIF standard hazilipii gharama nyingi za matibabu zaidi ya matibabu madogo madogo tu

    BIMA ya standard ni ya kizushi gharama za huduma nyingi unaambiwa hii haipo kwenye bima ya NHIF. Yani mtoto alimeza coin nikampeleka hospitali imatolewe RIGID BRONCHISCOPY.. nikalazimika kulipia laki tatu na nusu 350,000/= huku mimi baba wa mtoto na mama wa mtoto wote ni watumishi wa serikali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaweza kukaa peke yao siku nzima bila kuchoka, wanapenda wageni ila mgeni ukikaa zaidi ya saa unawaboa

    Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake, Anapenda company lakini iwe ya muda mfupi tu, ukienda kumtembelea kaa nusu saa tembea, ukizidisha unamuona jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…