zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Chuo Kikuu cha Mzumbe chakiri Wanafunzi zaidi ya 500 wanadai malipo ya 'refund' chuoni hapo

    Baada ya malalamiko kutoka kwa memba wa JamiiForums kuwa kuna Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe ambao walijilipia Ada wakati wa kujisajili kabla Bodi ya Mkopo kuingiza malipo ya mkopo wao, hivyo wakaahidiwa kurejeshewa kiasi cha fedha kilichozidi lakini hali imekuwa tofauti, ufafanuzi...
  2. U

    Kwa mujibu wa injili ya Barnaba mbwa ni bora zaidi ya mwanaume asiyetahiriwa

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu bali ni kwa mujibu wa kitabu cha injili ya Barnaba inayoeleza kuwa mnyama mbwa yu bora zaidi ya Mwanaume asiyetahiriwa! Nimekuwekea nukuu yote hapo chini: Miserable condition of the uncircumcised in that a dog is better than they "The disciples...
  3. Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  4. Nimeghairi kula tunda baada tu ya kuniambia ameishi njombe zaidi ya mwaka

    Kuna demu nimemtongoza akaeleweka lakini aliponiambia tu amewahi kuishi njombe zaidi ya mwaka mmoja, stimu zimekata kabisaa, hii ni kutokana na story ninazozisomaga humu jf kuhusu njombe Asanteni
  5. Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume: 1. Mwanaume Anaelewa, na kutambua shida za Single Mom. 2. Mwanaume aliye simama Kimaisha. 3. Mwanaume mwenye Fedha. 4. Mwanaume anayeweza kumlinda kihisia, mwanaume aliye kamili kihisia. 5. Mwanaume anayeleta Usalama...
  6. Kituo cha Afya Mundindi Tarafa ya Liganga Kinachokwenda Kuhudumia Wakazi Zaidi ya 40,000 Wilaya ya Ludewa

    TIZAMA PICHA ZA KITUO CHA AFYA MUNDINDI AMBACHO KINAENDA KUHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 40,000 TARAFA YA LIGANGA- KATA YA MUNDINDI, WILAYA YA LUDEWA Wakazi zaidi ya 40,000 wa Tarafa ya Liganga wilayani Ludewa mkoani Njombe wameondokana na adha ya kutembea umbali wa zaidi ya Km. 50 kufuata huduma ya...
  7. Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

    Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu. Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa, Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa. Yaani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto. Ana nguvu ya kutoa kauli...
  8. Inakuwaje CHADEMA wanakuwa smart zaidi ya CCM?

    Kuna Mambo ukiangalia utagundua Chadema ni werevu zaidi ya CCM. Masikitiko ni kwamba CCM ni chama kikongwe kina wataalamu wa kila aina lakini mipango yao ni ya hovyo sana. Je wataalamu na wanazuoni hawataki kukiambia ukweli hiki chama. Au wenye chama hawataki kusikiliza ushauri wa wataalamu...
  9. Ni dhairi waarabu wanatudharau sana, sana zaidi ya nya

    Peace, Hebu imagine Ngorongoro tumewapa, bandari tumewapa tena kwa adabu na unyenyekevu lakini wao wanajivunia, wanaringa na kutamba na mafuta yao ni bei juu kila kukicha hawajawahi kutugawia hata kijiko. Na bei yao hua iko juu na hawapunguzi kuna kipindi tulishindanwa nao tukamua kuwa...
  10. T

    Kuna uwezekano mkubwa Uchaguzi Mkuu 2025 zaidi ya wabunge 20 wa CCM wakapita bila kupingwa. Niko pale nakula popcorn

    Huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu hali ya kisasa nchini sijui ni nini kimetokea kwenye taifa letu. Hilo jambo litatokea si Kwa sababu watu wanamapenzi mema na CCM na wala si kwa sababu watu wana Imani na CCM na sera zake, bali itatokea Kwa sababu ya watanzania kukosa mwamko wa kisiasa...
  11. Dakika 60 za Kuvuta Shisha ni zaidi ya Kuvuta Sigara 100 hadi 200

    Kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya American Lung Association (ALA), vijana wenye kati ya miaka 18 hadi 24 duniani wanazidi kuingia katika matumizi ya 'Shisha' licha ya Kilevi hicho kuwa na madhara ya Kiafya. Tafiti za ALA za mwaka 2020 zinaonesha 52.1% ya Watumiaji wa Shisha duniani...
  12. M

    Tetesi: Mkandarasi barabara ya Itoni- Lusitu (Njombe) adaiwa kuwa na mpango kutahatarisha mito na maisha ya wananchi

    Kwa habari nilizozipata nikuwa ili kupunguza ghrama za ujenzi mkandarasi anayejenga barabara ya ITONI- LUSITU kwenye eneo la Kitulila anafanya MPANGO wa Kuchepusha Barabara ambako ni karibu sana na vyanzo vya maji na kuacha barabara kuu ambayo Haina shina kwa kigezo cha kupunguza ghrama za...
  13. U

    Mbeya umeme unakatika kila siku zaidi ya masaa matano, mnatuumiza

    Habari wana jukwaa, Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana. Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu...
  14. Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi MBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Katavi Martha Mariki anechangia mifuko 30 ya Simenti na fedha shilingi milioni Moja kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Mlele Mkoa wa...
  15. Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

    Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa. ====== Videos quickly...
  16. M

    Ukute Hafiz Konkoni analipwa zaidi ya DIKSON JOB

    Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye tulisema TUISILA KISINDA KITU GANI BWANA, yule tuliyeamini kuwa ni mbadala wa FISTON KALALA MAYELE...
  17. Waziri Dkt. Ndumbaro - Zaidi ya Asilimia 50 ya Watanzania Hawaifahamu Katiba

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - ZAIDI YA ASILIMIA 50 YA WATANZANIA HAWAIFAHAMU KATIBA, ELIMU YA KATIBA KUTOLEWA KWA MIAKA MITATU "Kuna tafiti kadhaa zimefanyika na kubaini zaidi ya asilimia 50 ya Watanzania hawaifahamu katiba na wengine wanasema hata hawajawahi kuiona hiyo katiba, hatari yake ni...
  18. Waziri Dkt. Ndumbaro - Zaidi ya Wananchi 250,000 Wamefikiwa na Mama Samia Legal Aid Campaign

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - ZAIDI YA WANANCHI 250,000 WAMEFIKIWA NA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika utekelezaji wa kampeni inayolenga kutoa msaada na elimu ya kisheria kwa wananchi hasa waishio pembezoni, zaidi ya wananchi 250,000...
  19. S

    Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

    Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Kashifa...
  20. S

    Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja? Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…