Nauza viti hivi vipo zaidi ya 4000

Nauza viti hivi vipo zaidi ya 4000

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,208
Reaction score
28,906
Kuna hivyo vya aina kama blue bahari 9500/= alafu Sina hiyo nyingine kama blue iliyokolea 8500/=
Ni hasara but inabidi nifanye hivyo.

Njoo inbox

USSR

IMG-20240817-WA0014.jpg
IMG-20240817-WA0013.jpg
IMG-20240817-WA0012.jpg
 
Mkuu USSR ngoja nivirushe kwenye group fulani la whatsapp nikipata wateja nitaku PM
 
Hutaki tena kuendelea na Ibada mkuu?
 
Dar kubwa sehemu gani? Na namba ya simu? Hata useme upo sehemu gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom