Wamiliki wa Kagoda wamekamatwa ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamiliki wa Kagoda wamekamatwa ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nguluvisonzo, Sep 7, 2011.

 1. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani habari za mchana,habari ya KAGODA imeshia wapi? sijasikia serikali kuwakamata watuhumia zaidi ya kusikia mtoa ushahidi kuhojiwa,je kuna progress yoyote katika hii kesi?naomba kujua maana hakuna kitu kilichonifurahisha kama alichokifanya MSEMAKWELI
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,060
  Trophy Points: 280
  wakamatwe nanani wakati wao wameiweka serikali kibindoni?
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  kagoda wakamatwe na serikali ipi, utakuwa unachekesha hata ukiwapelekea ushahidi wa video hakamatwi mtu labda chama kingine kitawale siyo CCM na matawi yake....
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,998
  Likes Received: 12,561
  Trophy Points: 280
  wakamatwe kwa kosa gani?.
   
Loading...