yupo wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Orketeemi

    Yupo wapi Abdulhalim Hafidhi Ameir?

    Huyu mtu mtoto wa Rais Samia yupo wapi? Hasikiki kabisa. Yaliyoko kwenye korido za wanausalama wazalendo ni kwamba mratibu Mkuu wa matukio ya mauaji ya MO29 ni huyu mtu. Ndiye aliyekuwa mastermind na ndio maana serikali inakigugumi kizito kuchukua hatua yoyote kwani kila kitu kipo under his...
  2. Beira Boy

    Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi alipo rais wetu Asanten sana LONDON BOY
  3. B

    Yupo wapi Nabii Tumainiel wa JF?

    Wakuu najua hamko salama kutokana na madhila yanayoendelea kutuandama kama Taifa. Kama mwanachama wa JF, kuna "members" wengi ambao kwa kweli huwa ninawakubali sana kutokana na upeo wao mkubwa wa kuona mbali, akiwemo TumainiEl . Ukifuatilia michango yake mingi, na mabandiko yake, unaweza...
  4. M

    Tetesi hizi: Ester Bulaya yupo wapi?

    Taarifa kuhusu yeye si nzuri sana
  5. B

    Yupo wapi siku hizi Aggrey Marealle?

    Nakumbuka miaka hiyo Aggrey Marealle nilikuwa namuona sana kwenye media akiwa mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya TBL. Yupo wapi siku hizi huyu ndugu kwa anayefahamu.
  6. technically

    GE2025 Samia yupo wapi?

    Samia yupo wapi na yu Hali gani? Kampeni zimesitishwa? Hakuna uchaguzi mwaka huu Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo Tuendelee kuwepo!!
  7. Damaso

    Msanii Besta yupo wapi?

    Hapo zamani si sana, katika anga za burudani za Tanzania, kulikuwepo na dada mmoja ambaye jina lake likitajwa, kila mtu alikuwa na simulizi lake. Sio tu kuimba, bali hata alipokanyaga jukwaani kwa kucheza, watu walibaki mdomo wazi. Hakuwa kama hawa watoto wa 2000 ambao hurukaruka tu na bado...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    kwanini waumini wa Gwajima wanateseka, Mungu yupo wapi?

    Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa. Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee...
  9. Cannabis

    DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

    DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi. Pia soma ~ Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni
  10. Uponyaji na uzima

    Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

    Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona. Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani. Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

    Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
  12. Just Pray

    PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  13. O

    Kitima yupo wapi hatujazoea kimya hii

    Kapona? Au bado wenye data?
  14. E

    Yupo wapi Mh Mch Gwajima?

    Habari!! Sijamsikia kwa muda mrefu kidogo Mh Mch Gwajima, mbunge wa Jimbo la Kawe. Kuna mwenye taarifa alipo mheshimiwa huyu? Mbona kimya sana? au ni Mimi tu ndiye simsikii? Nitashukuru sana kwa taarifa za alipo. Ahsante
  15. C

    Yupo wapi Prof Sospeter Mhongo (PhD)?

    Huyu mwamba alikua hanaga kifua, 1. Aliwaponda wawekezaji wazawa kuwa hawana mitaji ya kuwekeza kwenye gesi zaidi ya Biashara za juice, maandazi na sasa energy drinks. 2. Alitaka kutaja hadharan matokeo ya kidato cha 4 ya Mbunge Christopher Ole Sendeka [bila Spika MAKINDA kuingilia Leo hii...
  16. Mpwayungu Village

    Yupo wapi James Mbatia ukimya wake unaleta sintofahamu

    Kwa sisi tunaomjua mbatia ni mwanasiasa Nguli na anapenda sana haki, mbona yupo kimya sana na haonekani kwenye media. Tulitarajia hili suala la Bandari na bajeti ya kipumbavu iliyopitishwa bungeni na wasiojitambua angekuwa kawapa vidonge vyao ila no any information about him Je, yu Wapi Mbatia...
  17. Minjingu Jingu

    Huyu mdau muhimu yupo wapi? Isije ikawa amepotezwa

    Yu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo. Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya. johnthebaptist upo wapi chifu?
  18. Komeo Lachuma

    Edibily Lunyamila - Moja ya wachezaji bora Nchi iliwahi Pata. Yupo wapi?

    Nenda kawaulize waganda wenye miaka kuanzia 45 kuja mbele. Wanamfahamu vizuri sana. Jamaa alikuwa na kipaji. Wakati tu haukuwa sahihi. Yanga miaka hiyo Yanga kweli kweli... Tuna wachezaji tunapiga mtu goals kiukweli kweli. Si masikhara.
  19. walikuyu

    Maisha ya msanii wa kikongo "Lady Isa" yupo wapi na anafanya nini kwa sasa

    Jamani wakulungwa hatujambo humu! Natumai wote mko powa kabisa, jamani kuna uyu mwanadada anaitwa Lady Isa nakumbuka kuna kibao chake kimoja nilikuwa nakipenda sana kama sikosei ni tamaa iliua fisi, kiukweli nikisikiliza hii Ngoma huwa napata hisia fulani hivi. Hivi uyu mdada kwa sasa yupo wapi...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Mungu yupo wapi?

    MUNGU YUKO WAPI? Mungu yuko kila mahali, mbinguni, duniani, na ndani ya waumini wake. Hii inaelezwa katika mafundisho mbalimbali ya Biblia: 1. Mungu yuko Mbinguni – Katika sala ya Bwana, Yesu anafundisha kusema: “Baba yetu uliye mbinguni…” (Mathayo 6:9), ikionyesha kuwa makao yake ya utukufu...
Back
Top Bottom