Karibuni sana wadau tuweze kujuzana na kufahamishana waliko watu hawa. Pengine waliwahi kuvuma na kuwa watu maarufu katika jamii yetu, ila Kwa sasa hawasikiki tena, na hata kutofahamika wako wapi. Kwa mwenye kujua taarifa zao tuje hapa tujuzane. Mimi naanza na mwanadada wa enzi hizo Stara...
Hakunaga mwanamke anaecheat kwa bahati mbaya wote huwa wamedhamiria,thus ukimsamehe ataendelea tu kucheat kwa sababu wao utanguliza nyege mbele akili nyuma,wakishachika ukimbilia kwa mwamposa kukanyaga mafuta ya urejesho wa mume.
Kama mwanaume, ukimkamata mke wako akiwa na uhusiano wa kimapenzi...
LUHAGA MPINA yuko wapi? tangu amezungumza na watanzania hotuba ya masaa 7 kuhusu mambo ya Kodi na kuibua madudu kila sekta hajaonekana hadharani hadi sasa Je yuko wapi?
Mpenzi wako au mume wako au mke wako, tabia yake iko vile vile kama ulivyomkuta na kumpenda au kabadilika?
Vipi bebi wako mbususu na rungu anakupa kwa spidi ile ile kama mlivyoanza au siku hizi unapimiwa?
Mwisho kabisa, Je bebi wako muonekano wa kimaumbile yuko vile vile kama mlivyokutana au...
Mwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka.
Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae.
Pang Fung Mi
Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana...
https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq
Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s.
Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko.
Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc...
Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu.
Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.
Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela
Leo nilikuwa nausikiliza wimbo ya Bahati bukuku KAMPENI, na humo ndani anasema kwamba shetani Yuko kwenye kampeni.
Hajakosea Ni kweli shetani Yuko kwenye kampeni lakini je katika hiyo kampeni anashindana na Nani?
Hapa jibu Wala halihitaji elimu ya...
Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko...
Wakuu Chama ni mmoja wa viungo washambuliaji hatari wanaotajwa kuwahi kutokea katika historia ya ligi yetu.
Huyu mwamba amepotekea wapi? Kipaji chake kilifanya wafau wa michezo na mashabiki wa Simba sc wamuimbe kila uchwao.
Je! Nini kimemkuta? Ligi inaelekea mzunguko wa pili sasa hasikiki...
Wakuu,
Huyu rafiki yetu tumwite G , ni mtu mzima around 54, yaliyomkuta hapa anahadithia kama Hana akili.
Ndoa zote tatu chali cha mende lakini anacholalamikia ni mambo kadhaa
1. Kasema wanawake wote hao Wana usaliti wa chinichini na wazi
2. Tamaa kwa wanawake zake wote alioachana nao
3...
Hello..
Nilikua kwenye pitapita zangu nikakuta sehemu zinapigwa ngoma za zamani za bongo fleva..
Ghafla ikapigwa ngoma ya namuimbia ya Pasha aiseeh ilinisafirisha mbali sana kihisia huyu mwamba yuko wapi kwa sasa?..
Alikua amekamilika kuanzia vocal mpaka uandishi..
Kwenye hii ngoma ilipigwa biti...
TAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti.
Na ndio maana unakuta TAL kama anakitu kinafukuta moyoni. Kama ni kuleta mabadiliko atayaleta hata akiwa mjumbe au...
Wasalamu
Kama uzi unavyouliza yuko wapi huyu bwana sioi sumary mkwe wa marehemu lowassa maana siku hizi haonekani na wala kwenye msiba wa mkwewe sikumuona kwenye familia ya wafiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.