Mwanamke yeyote ambae ni mke wa mtu anapoamua kuchepuka ni Ishara kuwa yuko kwenye hatua za Kufubaa

Uchepukaji wa siku hizi ni wa kutaka hela tu. Inatia huruma sana mke wa mtu kushobokea mwanaume asiye wake ili apate hela. Kuna majamaa hawawapi hela wake zao, hawawanunulii simu nzuri wake zao wanazipata nje kwa kuchepuka
 
Back
Top Bottom