yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Gwajima yuko sahihi na ninasimama nae

    Inatosha nasema tena inatosha. Ni mda sasa watanzania kuacha kushabikia ulimbukeni na kukemea hiki serekali inachokifanya. Democracy maana yake ni mtu kuwa na uhuru wa kutoa maoni bila kujali anatoa dhidi ya nani. Gwajima kuongea suala la utekaji hayo ni maoni yake na hajavunja sheria yoyote ya...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Wadau salaam, Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute. Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mungu?

    Ninajiuliza kila siku bila kupata jibu Yuko wapi Mungu, wakati watoto wanalala njaa? Yuko wapi Mungu, wakati watu wanapoteza wapendwa wao kwa magonjwa wasiyoweza kutibu? Mbona dunia imejaa vilio, lakini mbingu zimejaa kimya? Wanasema Mungu ni mwenye huruma, lakini mateso haya yanaongezeka kila...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Waungwana, Mzee Wangu na Swahiba Wangu Steven Wassira Yuko Wapi? Mbona Kimya?

    Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau. Sasa anayejua yuko wapi...
  6. dorge

    JamiiForums Tanzania Uingereza sio wajinga

    Ndg kwa ufupi niliachaga kitambo mambo ya siasa za nchi hii. Kwa nini. 1. Siasa ni kwa ajili ya viongozi na familia zao. 2. Siasa ni kwa ajili ya matajiri vs wanasiasa. 3. Maskini kaa sibiri mwisho wa uhai wako. 4. Waliotimkia majuu wanabahati maana wameepuka dhahma. 5. Ahadi nyingi za wanasiasa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mzizimkavu?

    Mda mrefu sana sijamuona huyu mzee humu ndani. Alikuwa mtaalamu sana wa mambo ya elimu ya gizani yeye na pacha wake mshana jr, ila kwa sasa sijui yuko wapi. Je kabadili id au naye alipewa lift na ile bombadia ya covid-19.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Dkt. W. Slaa?

    Ndio, sijamsikia kwa muda mrefu Sasa. Kipindi tunachopitia, mazingira tuliyomo, matukio yanayotokea yeye Yuko wapi?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Maono: Tundu Lissu yuko jela ili awe salama na kisha aje achukue uongozi wa nchi hii kutoka jela

    Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE). Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka. Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko. Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Hilda Newton bado hajapatikana, Tunachofahamu alichukuliwa na polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Daktari wa kweli Philip Isdori Mpango?

    Ni kitambo kirefu sasa tangu makamu wa rais asikike. Je yuko wapi na anafanya nini mbona haonekani wala kusika?
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Masingle Mothers wakimjua Mubabazi Ambae yuko vizuri na hajaoa au haishi na familia wanatamani kunasa kwenye Jimbo

    Sina mengi ya kusema ila sisi wakataa ndoa na kuoa wanaume ambao Age yetu ni level ya Mubabazi basi huku mtaani patashika ukiwa mtu wa gusa achia tumepachikwa Cheo Cha Ubahili. Wewe huyo bahili ndiomana anatabia ya kumalizana yaani Gusa Achia, hataki kugandana huyo yeye anakupa chako usepe...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Alipoona yuko mbali na haikutosha, hatimae Benjamin Netanyahu alikwenda Gaza na kupiga makele haya

    Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu visited northern Gaza on Tuesday, accompanied by the country's defense minister, head of the military and other senior officials, his office said. A statement released by the prime minister's office said Netanyahu received a security briefing in...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la Mbunge aliyesema Yuko tayari kuua ili apate Ubunge

    Nimesahau jina la Mbunge, naombeni Sana anayemkumbuka.....kama sio bunge la 2015-2020 basi ni hili la sasa ila Magufuli alikua hajavuta bado. Alikuwa Mbunge wa kike na aliyatamka Maneno kuwa "kwa namna Ubunge ulivyomtamu, Yuko tayari kuua ili apate/asikose Ubunge". Tafadhali mwenye ako nayo...
  15. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Umghaka yuko wapi?

    Kifupi.... Huyu jamaa alikuwa hataki umchoshe wala yeye hakutaka kutuchosha....Huyu jamaa yuko wapi siku hizi!? ...alikuwa anatuburudisha sana stori zake hapa JF... Ni miaka mingi imepita sijamsikia ama kuona stori yake mpya ya 2024 au 2025 hapa....kwani alikua anahadithia kwa kusisimua na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!

    Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki. Yule...
  17. blogger

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa yuko Wapi!? Sasa hivi angepiga hela

    Na huenda angefanikiwa. 😂😂😂✍️✍️✍️
  18. S

    JamiiForums Tanzania TBC acheni kujipendekeza Zanzibar ina chombo chake cha habari ZBC; Rais wa Tanzania yuko Dodoma nyie mwafanya nini Zanzibar?

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
  19. hp4510

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

    Wakuu mambo vipi? Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua Possibly wakaja...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Namuulizia aliyekuwa Waziri wa mkapa, Basili Mramba yuko wapi?

    Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe, Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na uhaba wa chakula
Back
Top Bottom