youtube

  1. J

    Naomba msaada wa kupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa Zawadi

    Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
  2. Nafasi ya kazi, kuendesha youtube

    Anahitajika mtu wa habari za mitandaoni hasa hasa YouTube. Kama una Ujuzi wa kazi hiyo tutafute kupitia 0767019326
  3. YouTube inalipa ila sio hapa Bongo

    Wakuu mambo vipi? Ni muda mwingine tumekutana tukiwa salama kabisa, ila poleni sana kwa wale mnaopitia changamoto kinamna yoyote ile na ninawaombea muweze kurudi katika utimamu. Wakuu, uzi huu leo naupitisha katika sindano ya YouTube. Mimi nimekuwa YouTube Creator it's about 10yrs now, and I...
  4. Shakira avunja rekodi Youtube kwa wimbo aliomchana Ex wake (Gerard Pique)

    Wimbo wa Shakira kuhusu mpenzi wake wa zamani Gerard Pique kwa kumdanganya umevunja rekodi ya kutazamwa zaidi kupitia YouTube. Video ya Out of Your League imetazamwa zaidi ya mara milioni 63 ndani ya saa 24, na kuifanya kuwa wimbo wa Kilatini uliotazamwa zaidi katika kipindi hicho. Shakira...
  5. Naomba kujuzwa kuhusu aina za channel za YouTube zinazotakiwa kusajiliwa TCRA

    Natoa salam kwa wana jamvi wa Jf kwa ujumla, specifically nazitoa salam kwa wana jukwaa wa Tech. Tukiachana na salam, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Naomba kuuliza je, ni aina gani za channel za YouTube zinahitajika kusajiliwa na TCRA?. Je, ni kila aina ya channel inahitaji...
  6. Nahitaji channel ya Youtube

    Wakuu, mambo vipi nahitaji Youtube channel yenye Adsense yake mwenye nayo tuwasiliane pesa ipo nichek kwa namba 0767893175
  7. Wenzangu wa Blogs na Youtube

    Nawasilisha Ndugu kutoka Katika Majukwaa Flani Flani Ya Kwamba Mwezi huu Adsense Hawalipi Mtonyo Mpaka Mwezi Ujao. Kuna Ukweli Wowote wa Hii Taarifa Wanajamvi?
  8. Naomba msaada wa jinsi ya kulipia YouTube videos promotion ads Kwa Mpesa

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu. Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
  9. Aliyetumia chaneli yake katika YouTube kumzushia kifo Dkt. Harrison Mwakyembe, akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli. Katika chaneli hiyo ya mtandao...
  10. Influencers wa Tanzania kwenye Youtube wapo wapi?

    Wadau! Nimekaa na ku-observe kwa muda sasa huu upande wa Youtube ukiachana na wasanii na chaneli maarufu za habari na udaku kupata views nyingi Youtube na hata watu hawa kutumika kama mabalozi wa makampuni kadhaa - hii huwaingizia pesa. Youtubers wapi wengine ambao wapo tunawaona kweli...
  11. Muongozo Kamili wa kuanzisha na kuendesha Youtube Channel

    Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza pesa. Kati ya wote ambao hupatwa na hili wazo, karibia asilimia 60% huendelea na kufungua channel...
  12. Wimbo wa Rayvanny "Tetema" waondolewa YouTube

    Wimbo wa msanii wa WCB Wasafi ambaye afanyi vizuri kwa sasa Rayvanny umeondolewa YouTube na producer wa wimbo huo S2kizzy. NB: wasanii watambue muziki ni biashara waache kukosa shukrani pale inapofikia zamu yao nao kutoa kipato kwa muwekezaji. Utetezi wa kusema mimi ni mtoto nimekuwa nataka...
  13. Msaada: Nikiingia YouTube sioni sehemu ya kutolea maoni

    Wakuu habari za muda huu poleni kwa mihangaiko ya kila siku katika jukumu la kujenga familia na taifa kwa ujumla. Moja kwa moja niende kwenye swali langu naombeni msaada najua hapa kuna manguli walioiva kwenye techs sasa ni siku ya 7. Kila siku nikiingia youtube sioni option ya kutoa maoni au...
  14. D

    Msaada wa kusolve tatizo la youtube adsense

    Naomba msaada wa mtu anayeweza kusolve ilo tatizo kila nikijiunga inakataa wanajibu hivyo kama nilivyotuma. Asanteni
  15. Views za YouTube zinahesabiwaje? Video ina Views Billion 10 na Dunia ina watu 7.9B

    Duniani tupo watu 7.9B lakini Baby Shark Ina views Billion 10 (10B) Hawa watu billion 1.2 wametoka wapi[emoji848] ni wakina nani hao wame view? Hili swala limegawa watu kwenye makundi mawili na kila kundi likiamini wao ndio wako sahihi na wanachokiongea na hadi Sasa Mimi Binafsi sijajua jibu...
  16. D

    Uza youtube channel yako ambayo hutumii

    Kama una youtube channel yako yenye subscribers wengi na hutumii tuwasiliane,nitainunua
  17. Msaada: Siwezi kutazama video za YouTube kwenye kivinjari cha Firefox

    Habari marafiki. Hii ni post yangu ya kwanza hapa. Ninatuma hii kwa suala na kivinjari changu cha Firefox. Kwanza kabisa, ningependa kueleza kuwa mimi ni mwanafunzi wa usimamizi wa biashara ambaye hutumia muda wake mwingi kusoma mtandaoni. Kama matokeo, itabidi nitazame mafunzo ya youtube...
  18. Youtube Adsense inahitajika

    Habari wakuu, ninatafuta Youtube adsense,mwenye nayo tuwasiliane PM
  19. Account za Wasanii YouTube bongo zinasemekana kudukuliwa, kwanini Sio kweli ?

    Kumekuwa na ongezo la account youtube kusemekana zimedukuliwa , hii inatokana na kuwa. Wasanii wanashare logins zao na website za boosters, na ndipo Hao jamaa at the end wanapodai wanadeliver hiyo service, wao wanashare contents zao kama streaming za crypto. Ndio mwisho wa siku account...
  20. Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

    Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo. Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…