youtube

  1. JamiiForums Tanzania Nimejaribu kufanya YouTube kama Side Hustle nipunguze kulalamika kwenye Uzi wa Mshahara wa January: Sio rahisi aisee!

    Wakuu, niaje? Mwaka Jana mwezi September, nilikua na road trip ya Dar - Kigoma - Dar, nilidrive na nilikua na vituo kila mkoa/mji njiani. Nikaleta mrejesho hapa: Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia Mafuta ya Tsh 230,000/= tu! Wengi wanaulizia maswali mbalimbali na...
  2. JamiiForums Tanzania Bongo Movies Youtube Mjifunze Production

    Leo nimeona niliseme na hili, Mimi ni mtu wa kushinda kazini na kurudi nyumbani jioni, sina mda kabisa wa kutazama TV. Hivi karibuni nilikuwa na likizo so nikaamua kuitumia kukaa na familia na mda mwingi nilikuwa nashinda home asubuhi mpaka jioni mda wa kulala. Katika kipindi hiki cha likizo...
  3. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Youtube account and Google AdSense account

    Pata Mwongozo wa Kitaalamu Kutatua Changamoto za Kimtandao #adsense #youtube NK
  5. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ง๐˜ƒ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ช๐—ถ๐—ณ๐—ถ

    Sio lazima Tena kutumia wifi moja kuweza kuunganisha simu na YouTube yako ๐Ÿ‘‹. YouTube imetambulisha kipengele kipya kinaitwa Companion View Device inachofanya simu yako kuwa kama Second skrini ikiwa unaangalia YouTube kupitia Smart Tv. Ukiangalia YouTube kwenye Smart TV, Companion View...
  6. JamiiForums Tanzania Mtengeneza maudhui maarufu - Youtube, aliyekuwa akibeza mambo ya dini, aamua kuokoka na kubatizwa katika maji mengi!

    Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho. Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania YouTube yaweka kodi ya 5% kwa Wabunifu wa maudhui Kenya, mapato kupungua kuanzia Septemba, 2026

    Wabunifu wa maudhui nchini Kenya wanaweza kuanza kupokea mapato ya chini kutoka YouTube baada ya Google kutangaza kuwa itakata asilimia 5 ya mapato ya YouTube kama kodi ya zuio kwa akaunti za AdSense za YouTube zilizosajiliwa nchini Kenya. Google iliwajulisha wabunifu wa maudhui mnamo Ijumaa...
  8. JamiiForums Tanzania YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

    Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube ๐Ÿ˜ƒ. China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! ๐ŸŽฅ๐Ÿ”ฅ Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo...
  9. JamiiForums Tanzania Natafsiri youtube video kuwa maandishi

    Kwa mwenye uhitaji wa kutafsiriwa video au kitabu au makala kutoka lugha ya kingereza kwenda kiswahili, whatsap/sms/piga 0756704145
  10. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—น๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜€๐˜„๐—ฎ

    Wanasema pesa ngumu ๐Ÿ˜ƒ hakuna Kuonga Aiseeh!!! YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. ๐Ÿ“ˆ Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Monetized YouTube Channel na Adsense Inauzwa

    Nauza channel ya YouTube Ina subscriber 1870 Ina matangazo ( Monetized ) Ina Adsense pia ( Id na pin vyote vipo verified ) Bei maelewano 0796759528
  12. JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
  13. JamiiForums Tanzania Harmonize ana wimbo kauweka YouTube, Siku Mbili haujafikisha views 600! Sio 600K. Mia Sita!

    Mkamsaport kijana mwezenu.
  14. JamiiForums Tanzania Walichofanyiwa YouTube na Duck Duck Go ni majanga balaa

    Hatimaye imewezekana bhana! program ya DuckDuck Go Sasa inaweza kuzuia Matangazo Ya YouTube bila kutumia Extension yoyote kama ilivyo Ublock origin. Ukifungua YouTube kupitia DuckDuckGo Browser, unaweza kutazama video nyingi bila matangazo ya kuudhi yanayokatiza kila dakika. Bila kuhitaji...
  15. JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niweze kupakua videos youtube kwa kutumia PC?

    Msaada wana JF. Nina siku ya pili mwenzenu nahanagika kupakua vitu kutoka youtube na kuvihifadhi kwenye PC yangu,nimehangaika sana lakini nimekwama kwa yeyote mwenye kujua namna na kupakua material kutoka youtube naomba msaada tafadhali.
  16. JamiiForums Tanzania Has YouTube changed the way you learn new skills or follow global news?

    Hi everyone, Iโ€™ve been thinking about how much time many of us spend on YouTube these days, not just for entertainment but also for learning and staying updated with whatโ€™s happening around the world. Personally, I find myself relying on it more than traditional sources, especially for quick...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali: Namna ya kufix issue ya Adsense YouTube

    Habari za uzima wana JF, Nina changamoto kidogo kwenye kufix Adsense kwenye YouTube Account Yangu, mwenye ujuzi kuhusu hili, Naomba msaada
  18. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku-verified number kwenye YouTube

    Wakuu salamu. Naombeni msaada namna rahisi ya ku-verify number kwenye YouTube channel kwa sasa, na ni namba ya mtandao gani inakubali kwa haraka? Asanteni.
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji muongozo namna ya kulipwa youtube

    Naombeni muongozo wa namna ya kuwa monetized youtube kwa kupost na kucreate content ,nahitaji muongozo kidogo
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa namna gani naweza kuwa monetized na youtube

    Nahitaji msaada wa kimawazo ili nijue namna ya kuingiza hela kupitia kupost na kucreate content youtube ,msaada wa kimawazo guys
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ