yesu

  1. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?

    Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wayahudi Hawakuogopa Kumuua Yesu Kristo Mtoto wa Mungu Wataogopa Kumuua Khamenei?

    https://youtu.be/II2yPs0OKOs?si=-69y8t4mAwPS6JVN
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unajua ili katika betting, Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa

    Kuna kitu nimekitafakari katika betting Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa na wengine tunatumia ushabiki mkubwa Wengine record za timu na wengine matokeo ya timu Lakini ukweli ni kuwa tukitaka kufanikiwa katika beating Haya ndo mambo muhimu ya kuangalia sana kwenye...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Yesu sio nabii issa, issa ni character iliotengenezwa iendane na itikadi yao na pia ipunguzwe nguvu ili mwanzilishi wao asionekane ni wa chini sana

    Fikra pevu sio ya kila mtu. Fikra huru ni ya kila mtu na ina makando kando. Nyie mna fikra huru, sisi tuna fikra pevu. Haiwezekani uje karne na makarne baadae ubadirishe mstakabari wa mtu kisa unataka kushindana nae.
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tunao wajibu wa kumtangaza KRISTO waigizaji wa move za Nigeria ni mabalozi wa YESU

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nawasalim salam Sisi sote kama wakristo tunao wajibu mkubwa sana juu ya kumuishi na kumtangaza KRISTO katika kazi na maisha na matendo yetu KRISTO YESU ni mwana wa MUNGU aliye hai mathayo 16:15-16 Baba wa mbingun ndo katufunulia hayo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema, “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
  7. hamis77

    JamiiForums Tanzania Simoni wa Zelote, mwanasiasa wa upinzani aliyemfuata Yesu

    Katika kipindi cha karne ya kwanza BK, kulikuwa na harakati ya Kiyahudi iliyoitwa Zealots Hawa walikuwa kama chama cha upinzani dhidi ya utawala wa Roma katika Yudea. Mimi nawafananisha kama chadema ya sasa dhidi ya ma ccm Walikuwa na misimamo ifuatayo Walikataa kutawaliwa na Roman Empire...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu na Muhammad walikuwapo, kwanini wanazua ugomvi na utata?

    Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Walokole, tangu muanze kumkanyaga Shetani kwa jina la Yesu mmefikia wapi?

    Awali ya yote Lissu sio Muhaini. Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina. Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga. Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
  10. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Yesu ni muongo au wapambe ndo waongo?

    Shalom shalom Je, Kuna Uthibitisho wa Kihistoria au Kisayansi kwamba Yesu Alijaribiwa na Shetani? Simulizi la Yesu kujaribiwa na Shetani jangwani ni moja ya hadithi maarufu katika Ukristo. Linaonekana katika vitabu vya Mathayo, Marko, na Luka ndani ya Biblia. Hata hivyo, tukilitazama tukio...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nje ya Biblia, Wataalam Wasomi wa Wakati wa Yesu Walivyomwelezea Yesu Kristu:

    Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo. Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea maelezo yanayotoka...
  12. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Nilivyomuona Yesu nachanganyikiwa, nashindwa kuelezea, lakini leo ngoja niseme liwalo na liwe

    Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani. Yesu hakuwa mzungu. Kihistoria na...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilisema wapinzani hawa wa kudandia kila jambo hawataingia Ikulu mpaka Yesu atarudi. Washahamishia majeshi kwenye dhahabu

    Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu. Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu. . Hawajui Tanzania tuna reserve ya dhahabu kiasi gani. .Hawajui malengo ya Tanzania kuhifadhi dhahabu ni yapi. .Hawajui kuwa...
  14. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

    Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema Quran 3 :52 "Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu. Sasa...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana

    Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Unyakuo wa Trump hauchelewi kama wa Yesu

    Trump ametangaza unyakuo dhidi ya viongozi madikteta wanao ibania Marekani kuchota rasilimali, lakini hata wale wanaotesa raia wao huku wakishirikiana na serikali ya Uchina wanaweza kufikiwa na unyakuo. Maduro wa Venezuela amekwisha nyakuliwa na baba Trump na sasa Yuko mawinguni huko USA. Hofu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Yesu alimwita Herode kuwa Mbweha. Unang’aka kuitwa Lofa?

    Wakuu Askofu Kalikawe Bagoza anasema; Yesu alimwita Herode kuwa ni Mbweha (Luka 13:32). Unang'ka kuitwa Lofa? Mimi nimeitwa fala nikanenepa 🤣🤣
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwani Yesu kwenye Quran inamtambuaje kwanini mnawapinga wakristo na sikukuu ya kuzaliwa

    Kwenye imani yenu mnasherekea sikukuu ya kuzaliwa mtume wenu Muhammad wala hakuna kosa lolote wakristo walisema ni kosa kwao. Huku kwenu mumekuwa na makatazo sana kwamba kusherekea happy birthday ya yesu ni haramu. Naomba kuuliza kwenu kwani Quruan ina yesu gani maana mliyemtaja kwa jina lenu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo

    Amani ya YESU KRISTO iwe nanyi ndugu Watanzania wenzangu Naomba kutumia fursa hii kumtambulisha kwenu Yesu Kristo MFALME WA AMANI ISAYA 9:6 "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania YESU aliyezaliwa, hana baba wala mama, Ni Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu

    Salaam ,shalom! Hii ni habari njema!! GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊 Asomaye na afahamu, Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi. Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim. Mathew 1:16. Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam...
Back
Top Bottom