yesu

  1. Marcy

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutambua kwamba mfumo uleule uliomuuwa Yesu ndio uleule uliotengeneza dini ya kuzungumzia juu yake

    Viongozi waliopo katika mfumo walimuuwa Yesu, kisha wakaanzisha dini ili watu waendelee kumzungumzia tu badala ya kuishi kama alivyofundisha. Yesu hakuja ili aabudiwe, alikuja kufunua kitu—njia ya kuendesha na kuunda uhalisia. Lengo lake lilikuwa kutufundisha “code” au kanuni za jinsi ulimwengu...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Damu ndio sarafu pekee ya kulipia huduma zote zinazotolewa katika ulimwengu wa roho (Damu ya Yesu ilifanya kazi hiyo)

    Mathayo 26:26–29 Walipokuwa wanakula, Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, “Twaeni mle; huu ndio mwili wangu.” Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, “Nyweni nyote katika hiki; kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?

    Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo? Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu kuzaliwa kwake. Je, Ni kweli Yesu kampiga gap la Miaka zadi ya 500 Mtume Mohamad? Kwa Ufupi Mohamad ni...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Twende zetu kwa Yesu mnafanya wizi kuuza neno la Mungu

    Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilitheri halikupaswa kutoza viingilio kwani neno la Mungu linatolewa bure na haliuzwi. Hebu tuangalie baadhi ya mistari:- Isaya 55:1-2 [1] Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Yesu pekee inatosha au haitoshi?

    Kumuamini Yesu pekee inatosha au haitoshi? Swali: Je kuna haja ya kutafuta jambo lingine tena baada ya kumwamini YESU? Katika kitabu cha Yohana 3:18 na 3:36, Neno la Mungu linasema: ".... amwaminiye mwana anao uzima wa milele, asiyemwamini hana uzima? Jibu: Yapo maandiko katika biblia...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bila Yuda hakuna ukombozi wa Dunia. Bila Yuda, Yesu asingekuwa Shujaa

    Hamjambo Wote! 1. Katika siasa za kiroho, Spiritual politics, Yuda iskariote, ambaye amebeba uhusika wa kumsaliti Yesu Mnazaethi, nje ya sifa zake nyingine. 2. Dhima ya Yuda duniani ilikuwa kuhakikisha ukombozi wa Dunia kupitia Yesu unakamilika. 3. Kumbuka Yesu ndiye alimchagua Yuda ili awe...
  7. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Je, Unamwona Yesu Kama Nani Kwako?

    Mk 8:27 SUV [27] Akatoka Yesu na wanafunzi wake, wakaenda kwenye vijiji vya Kaisaria-Filipi; na njiani akawauliza wanafunzi wake, akasema, Watu huninena mimi kuwa ni nani? Swali hili waliloulizwa wanafunzi linatuhusu mimi na wewe leo, kwa sababu tunaweza tukawa tunasema tumeokoka ila tukawa...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Paulo alisema kila mtu atabeba mzigo wake (dhambi zake) kama ni hivyo yesu alikuwa kwa dhambi za nani?

    Yesu alituhakikishia dhambi zetu alizifia msalabani je nani mkweli? Karibuni
  9. J

    JamiiForums Tanzania Yesu aliwezaje kuchukuliwa na shetani juu ya kinara cha hekalu kujaribiwa

    Yesu aliwezaje kuchukuliwa na shetani juu ya kinara cha hekalu kujaribiwa Wakati shetani anamjaribu Yesu, biblia inasema alimchukua na kumpandisha kwenye kinara cha hekalu. Swali ni je! alikuwa anachukuliwaje mahali pale, ni njia gani ilikuwa inatumika? Ni muhimu kufahamu kuwa Bwana Yesu...
  10. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Safina ya Nuhu ni mfano bora wa ukombozi kupitia kwa Yesu Kristo

    Wanadamu wote wametenda dhambi na wanastahili hukumu ya Mungu. Katika Mwanzo 6:5-7 twasoma "BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote. BWANA akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo. BWANA...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Yesu na ancestors wetu ni nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu?

    Hivi kati ya our ancestors ambao, walifanywa watumwa na wakauawa wakipinga utumwa na ukoloni kwa miaka na miaka Na yesu, aliyeuawa msalabani ndani ya jioni moja tu Nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu Kwa nini hatuwaenzi ancestors wetu the way tunavyomuenzi Yesu?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yesu Alipopanda Mlimani Kuomba kwa Nini Alitokewa na Musa na Eliya?

    Yesu Alipopanda Mlimani Kuomba kwa Nini Alitokewa na Musa na Eliya? Katika ule mlima mrefu, aliopanda Yesu na wanafunzi wake kuomba, kwa nini atokewe na Musa na Eliya na siyo manabii wengine, kama vile Isaya au Samweli? au Ezekieli? Kutokewa na wale watu halikuwa kwa lengo lake. Bali lilikuwa...
  13. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Yesu anasema hatokunywa Pombe ya Duniani anasubiri pombe ya peponi

    Mathayo 26:29 Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu. Yesu anasema hataki pombe ya duniani anasubiri pombe ya peponi Au Kuna mgalatia yoyote anayepinga kuwa uzao wa mizabibu sio pombe?
  14. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Yesu anasema watakao mafuta watapata mabikira 100 peponi

    Mathayo 19:29 Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele. Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi Neno Nyumba hapo linawakilisha mke Kama ulikuwa...
  15. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Picha ya Trump akijifananisha na Yesu yapata ukusoaji mkubwa mitandaoni

    Moja kwa Moja.. Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu . Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa mitandaoni baadhi wakisema anafanya kufuru kwa kuleta mzaha kwenye dini , kujipa nafasi ya Mungu na...
  16. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Dini haiokoi ila Yesu. Mtafute na kumshika Yesu na siyo dini

    Dini ni utaratibu aliouanzisha mwanadamu katika kumtafuta na kumuabudu Mungu wake.. ila YESU ni Mungu aliyejinyenyekeza kujishusha kuvaa mwili wa mwanadamu,kuzaliwa kimasikini katika zizi la ng'ombe,kaishi maisha ya duniani na kuwa rafiki na kukaa pamoja na wanadamu wenye dhambi(Emmanuel) ili...
  17. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Usaliti kumchomesha kumchoresha, kumuuza ndugu yako; Yuda Eskareote alimchomesha Yesu auawe

    Mtu akishakuwa msaliti once a coward always a coward,hafai kuaminika popote hata kwa familia yake hashindwi kumchomesha hata mwanafamilia yake hata kumuuza mke wake. Dhambi ya usaliti ni kama kula nyama ya mtu, ina laana ni roho ..inayokupelekea kusaliti tena ni roho chafu sana ya shetani ya...
  18. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kila mwaka Mungu Yesu anakufa na kufufuka?

    Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
  19. U

    JamiiForums Tanzania Swali kwa ndugu zenu Waislamu Sawa Yesu hakufa msalabani , Je yule aliyekuwa msalaba badala yake hatima ya mwili wake ilikuwaje? Aliz Alifufuka?

    Wenye elimu kubwa na Wanazuoni naomba majibu
Back
Top Bottom