yapiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    Iran yapiga kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Israeli HAIFA

    Wanaukumbi. Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa, https://x.com/aryjeay/status/2035001330511569060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  2. M

    Mahakama yapiga marufuku mashahidi fiche. Sasa Lissu kupambana nao uso kwa uso. Habari ya kujificha kwenye maboksi kama kuku kwisha

    Ni kinyume na katiba ya JMT shahidi fiche kufichwa kwenye boksi kama kuku.
  3. Parabolic

    Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wafanya ziara nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanya ziara ya kikazi nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi la Comoro, ikiwa ni hatua ya awali ya kuanzisha ushirikiano wa kimkakati katika kuboresha huduma za afya visiwani humo, hususan hospitali ya jeshi. Ziara hiyo iliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
  4. Waufukweni

    BASATA: Ma-DJ na MC wasio na kibali kutozwa faini hadi Tsh. 3 Milioni au Kufungiwa

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) wote wasio na vibali halali vya BASATA hawataruhusiwa kujishughulisha na kazi hizo hapa nchini. BASATA imesema yeyote atakayekiuka agizo hilo atatozwa...
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Chalamila: Nimeona watu wanaenda mikoani,huu ni msimu wa sikukuu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine. “Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
  6. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya Disemba 9

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku “maandamano ya amani yasiyo na kikomo,” yaliyotangazwa kufanyika Desemba 9, 2025, likisema yamekosa sifa za kisheria na yanaashiria mipango ya uhalifu unaoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Katika taarifa iliyotolewa Desemba 5, 2025 na Msemaji wa Jeshi...
  7. Mstahiki Mea

    India Yapiga marufuku kampuni za Betting

    India imepiga marufuku kampuni zote za michezo ya kubahatisha mtandaoni zinazohusisha pesa halisi, kuanzia tarehe 21 Agosti 2025 baada ya kupitishwa kwa Sheria ya Kukuza na Kudhibiti Michezo ya Mtandaoni, 2025. Muhtasari wa Sheria Mpya Kimepigwa Marufuku Michezo yote ya mtandaoni yenye...
  8. Roving Journalist

    Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Shule nyumba"

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku shule ambazo zilo ndani ya nyumba (skuli nyumba) na kuwataka wamiliki kujenga majengo yanayokidhi utoaji wa huduma kwa wanafunzi wao Akizungumza na Walimu katika Mkutano Mkuu wa tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) katika Ukumbi wa Taasisi...
  9. Kichuguu

    URUSI Yapiga Mrufuku Malori ya Kichina kwa kukosa Ubora

    Iwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi? https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
  10. R

    Tetemeko Kuu lapiga Mashariki mwa Urusi, Tahadhari ya Tsunami yatolewa Japan, Hawaii na Visiwa vya Pasifiki

    Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
  11. The Zanzibar Echo

    Vita nchini Ukraine: Droni yapiga jengo la orofa nyingi Odessa

    Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi. Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani ya Urusi ilipogonga - jengo la ghorofa nyingi, Meya wa Odessa Gennady Trukhanov aliripoti...
  12. MwananchiOG

    Hatimaye Simba yapiga treble ya kukosa makombe

    Msimamo wa makombe msimu huu kwa kilabu ya 5imba mpaka sasa Ngao ya jamii ❌ Cafcc ❌ Muungano ❌ CRDB cc ❌ NBC Premier League ❌
  13. evangelical

    Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
  14. M

    China yapiga marufuku 'Chip' za NVIDIA kutoka Marekani, sasa kujitegemea kabisa katika teknolojia

    China imechukua hatua kwa kupiga marufuku rasmi matumizi ya chips (vipuri vya kielektroniki) kutoka kampuni ya Marekani, NVIDIA. Hatua hii inaonesha wazi kuwa China haiko tena tayari kutegemea teknolojia kutoka Marekani. Badala yake, China imeamua kujiamini na kuanza kujenga teknolojia zake...
  15. U

    Mamlaka ya usalama Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao

    Wadau hamjamboni nyote, Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao Leo, saa 2:00 usiku Mamlaka ya usalama wa mtandao ya Iran imepiga marufuku maafisa kutumia vifaa vinavyounganishwa kwenye mtandao, ikionekana kuhofia kufuatiliwa au kudukuliwa na Israel. Kwa...
  16. MK254

    Israel yapiga makao makuu ya kijeshi Iran pamoja vituo vya kuzalisha mafuta

    Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu.... The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
  17. Waufukweni

    DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  18. Waufukweni

    Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) lapiga marufuku Vijora Uwanjani

    Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao. ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua...
  19. Mr Why

    Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
  20. gallow bird

    Maroketi ya Hamas yapiga shabaha ashkelon Israel

    Leo,usiku huu, Hamas walirusha maroketi kumi,mengi zaidi katika miezi kadhaa,habari toka israel zinadai wateule watatu walipata majeraha mepesi kama kawaida yao, isipokua magari tu yaliyotengenezwa na kwa malighafi laini kuliko mifupa na minofu ya binadam ndiyo yaliharibiwa vibaya...
Back
Top Bottom