yapanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM UNAVYOZIDI KUWAUMBUA WALIOPOTOSHA KWAMBA HAUTAKUA NA TIJA, MAPATO YAPANDA KARIBU MARA MBILI.

    UCHAMBUZI KWENYE GAZETI LA UHURU, GAZETI NAMBA MOJA KWA UKUBWA NA UKONGWE TANZANIA. 📌Baada ya uwekezaji huu sasa Bandari ya Dar yatajwa na Benki ya Dunia kuwa Namba moja kwa ubora na ufanisi Afrika Mashariki na Kati hadi Kusini ikizishinda Bandari zingine kama Lamu, Mombasa, Durban, Beira...
  2. JamiiForums Tanzania BANDARI YA DAR ES SALAAM YAPANDA KIMATAIFA, YAIACHA MOMBASA NA DURBAN

    Bandari ya Dar es Salaam imeorodheshwa nafasi ya 255 duniani katika Container Port Performance Index (CPPI) 2025, ikiwa mbele ya Mombasa (396), Durban (398) na Cape Town (400). Tathmini ya Benki ya Dunia na S&P Global hupima ufanisi wa bandari kwa kuangalia muda ambao meli hutumia bandarini...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Gas Yapanda: Wakenya Kujiandaa Kulipa Zaidi Kuanzia Oktoba

    Bei ya kupikia kwa kutumia gesi ya LPG inatarajiwa kupanda nchini kuanzia Oktoba 2026, huku ongezeko hilo likihusishwa na kupanda kwa bei za kimataifa za propane na butane—gesi kuu zinazotumika kutengeneza LPG. Kwa mujibu wa data ya Saudi Aramco, bei ya butane ilipanda kwa 25.8%, kutoka...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tozo Mpya: Bei Ya Umeme Yapanda Τena Kenya

    Gharama ya umeme inatarajiwa kupanda tena kwa mara nyingine kwa watumiaji wa majumbani na viwandani. EPRA imezindua tozo mpya zitakazoongeza bei kwa takriban Sh4.16 kwa kila uniti (kWh) kwa mita zote zitakazosomwa Septemba 2026. Ongezeko linachangiwa na tozo ya mafuta (KSh 3) na mabadiliko ya...
  5. JamiiForums Tanzania Bajeti ya maji yapanda hadi Tsh. Trilioni 1.12

    ONGEZEKO LA BAJETI YA WIZARA YA MAJI Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuipa kipaumbele sekta ya maji kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Maji kutoka Shilingi bilioni 898.28 mwaka 2025/2026 hadi kufikia Shilingi trilioni 1.12 mwaka 2026/2027, hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa huduma...
  6. JamiiForums Tanzania Duh! Bei ya mafuta yapanda nchini Marekani!

    Safari hii yawezekana kabisa kuwa Trump kayakanyaga. Hii vita inaanza kuonekana kwenda vile labda ambavyo hawakutarajia. Tayari wanajeshi wa Marekani washakufa na huenda wakaendelea kufa. Marekani ishapoteza ndege kadhaa. Wao Marekani wanadai zimetunguliwa na Kuwait kwa bahati mbaya lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu: Pato la Taifa (GDP) lakua hadi 5.5% mwaka 2024, mfumuko wa bei wabaki imara

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022. Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha mwaka 2025/26 Bungeni leo...
  8. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Michezo, Utamaduni na Sanaa 2025/26 yapaa kwa 82.2% hadi TSh Bilioni 519.66 kwa maandalizi ya CHAN na AFCON

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi bilioni 285.3. Pia, Soma: Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66...
  9. JamiiForums Tanzania Simba SC yatikisa kwa ubora Afrika, yapanda hadi nafasi ya 4

    My Take Lipokuja swala la kuiheshimisha Nchi na Ligi ya Tanzania Kimataifa,Simba ni Timu ipewe maua yake.
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yapanda miti mingine zaidi ya 1500 eneo la Milala (Mpanda - Katavi) baada ile ya awali kunyauka

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine. Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Simba yapanda kuwa klabu ya tano kwa ubora Africa michuano ya Caf,

  12. JamiiForums Tanzania Kanda ya Nyasa: Homa ya Oparesheni 255 yapanda, yasubiriwa kwa hamu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba kituo kinachofuata kwa ile Oparesheni kabambe ya 255 KATIBA MPYA , OKOA BANDARI ZETU ni Kanda ya Nyasa . Bado haikupangwa ratiba ya Oparesheni hiyo kwenye kanda hiyo , lakini tayari mizuka ishawapanda wananchi , kila mtu anasubiri ujio wa Jambo hilo Taarifa...
  13. JamiiForums Tanzania Bill ya maji Arusha yapanda kwa asilimia 50%. Kuna nini?

    Wandugu, hivi mmepitia bili zenu za maji mwezi huu, hasa wa Arusha. Naona imepanda kwa karibu asilimia 50. Kuna nini kinaendelea. Ni hitilafu au ndiyo gharama ya maji imeongezeka? Inatisha.
  14. JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga yapanda nafasi ya 6 kwa ubora Afrika

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika. Africa Club Ranking by IFFHS (Ist June 2022 - 31st May 2023) 1. Al Ahly 🇪🇬 2. Wydad 🇲🇦 3. Zamalek 🇪🇬 4. Pyramids 🇪🇬 5. Sundowns 🇿🇦...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
  17. JamiiForums Tanzania Timu ya jeshi yapanda Ligi Kuu NBC

    JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya Kuichapa Timu ya African Sports Magoli Mawili Kwa Bila kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chumvi kupanda bei kuanzia kesho, Aprili 15, 2023

    Tukiwa tumebakiza Juma moja kuelekea sikukuu za Eid,sasa kuanzia kesho bei ya Chumvi inakwenda kupanda bei Wanapoelekea majirani zetu sasa hata sindano za kushomea zitapanda bei ===== The price of salt is set to increase from tomorrow, April 15 as indicated in a memo by a salt manufacturing...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga yapanda viwango vya Afrika, yaingia 30 Bora

    CAF's TOP 5️⃣0️⃣ Ranked Clubs in Africa after the group stage of the 2022/23 CAF interclub competitions: Based on the 5-year RANKING! 1. 🇪🇬 Al Ahly 2. 🇲🇦 Wydad Casablanca 3. 🇲🇦 Raja Casablanca 4. 🇹🇳 Espérance 5. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 6. 🇪🇬 Zamalek 7. 🇲🇦 RS Berkane 8. 🇩🇿 CR Belouizdad 9. 🇹🇿...
  20. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Bei ya mafuta yapanda ghafla kataka soko la dunia baada ya uzalishaji kupungua

    Bei ya mafuta imepanda baada ya wauzaji kadhaa wakubwa wa mafuta duniani kutangaza kupunguza uzalishaji kwa ghafla. Bei ya mafuta yasiyosafishwa ya Brent ilipanda kwa zaidi ya $5 kwa pipa, au 7%, hadi zaidi ya $85 biashara ilipoanza. Ongezeko hilo limekuja baada ya Saudi Arabia, Iraq na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…