yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa dua kali na ya aina yake iliyofanywa Al Hilal asubuhi hii, wakifungwa nawapa hawara yangu mhangaike naye

    Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal. Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ana siku ya nne sasa hajatoka ndani; fedha ya sensa ameimalizia katika uchaguzi wa ndani wa chama na amekosa. Nimsaidie vipi huyu?

    Amemaliza chuo si miaka mingi sana, hajabahatika kuajiriwa bado. Mungu alimuona na kumjaalia ajira ya muda mfupi ya sensa iliyofanyika hivi punde, si haba, kamilioni hivi alikashika na kwa hakika ilikuwa pesa nyingi sana kwake kwani alikuwa hajawahi kufanya dili lolote la kufikia kiwango hicho...
  3. JamiiForums Tanzania Nitamjuza vipi rafiki yangu bila kumkwaza, kwamba akivua viatu chumba kinajaa harufu mbaya?

    Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma! Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
  4. JamiiForums Tanzania Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

    Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73. Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo. Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi. Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nauponda sana upinzani ila nikitaka kuisifu CCM nafsi yangu inanisuta

    Ukweli ni kwamba tuna aina ya upinzani dhaifu sana katika nchi yetu, upinzani ambao huoni mwelekeo wake katika siku za hivi karibuni ama siku nyingi zijazo. Jambo hili linaniumiza sana moyo wangu kama mtanzania mzalendo mpenda nchi, kwani naamini kwamba bila upinzani madhubuti ni nadra kufikia...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu iliyonifanya hata nikienda kumtembelea ndugu yangu sibebi zawadi

    Za usiku siku imeendaje? Ilikuwa hivi nilikuwaga nakaa mkoani basi nikaenda kumtembelea binamu yangu nilikuwa natokea Mtwara nikanunua korosho nimpeleke zawadi nikampa nilipo fika sasa nikiwa najianda kwenda kuoga nikasia wanaongea itakuwa kanunua buku buku wana lahisisha mamb basi nikapotezea...
  7. JamiiForums Tanzania Nimemwambia jamaa yangu hili suala akae alitafakari. Hajaelewa. Hajiulizi kwa nini Iwe hivi kwa Wakwe na Mashemeji zake.

    Yaani kajitambulisha week mbili ago. Wakwe zake watarajiwa wanamsumbua kuwa atamwoa mtoto wao lini? Hazipiti siku mbili wanampigia au kumtumia msg kuwa asimsahau mwenzie pale kwao. Mashemeji zake nao wanamwambia shem mchukue dada yetu muanze furahia maisha. Yaani huyu mchumba kifupi pale kwao...
  8. JamiiForums Tanzania Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

    Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
  9. JamiiForums Tanzania Jana ndo nimegundua tatizo lililompata jamaa yangu. Ndo tunampoteza hivi hivi. Inasikitisha sana kwa kweli

    Huyu jamaa zamani alikuwa serious mtu kazi. Mnapeana kazi kila mtu anamaliza kwa wakati mnafanya majumuisho mnasonga mbele. Hapa katikati amebadilika sana.mnaweza peana majukumu nyie mkamaliza yeye mkakuta anasua sua na kuwakwamisha sometimes. Ukimpigia anasema yupo busy sana mara sijui nini...
  10. JamiiForums Tanzania Nilipokosa cha kufanya kwa simu yangu nikaamua kutongoza customer care

    Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂 Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi? Nikamjibu...
  11. JamiiForums Tanzania Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Done
  12. JamiiForums Tanzania Kusah: Diamond sio msanii / Ruby ana mabwana wengi / ep yangu imetumia milioni 10

    Baada ya kuachia EP yake Kusa kasema haya
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji (Investor) wa App yangu ya Online Casino

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ninatamani na ninapambana sana kuwa mjasiriamali upande wa mtandaoni (online au e-entrepreneur). Miaka kadhaa iliyopita nilipata idea ya App ya Online casino (ambayo ni tofauti na online casino zilizoeleka kwa kila kitu),ila kwasababu idea kama idea haitoshi...
  14. JamiiForums Tanzania Stori yangu, Niliacha shule form 4 nyumbani nilidharaulika, nilichekwa nilipoenda kujifunza useremala ambao leo umerudisha heshima yangu

    kwangu niliona shule siwezi tena maana uwezo wangu wa kujifunza ulikuwa mdogo, walimu darasani walikuwa wanafundisha kwa spidi kubwa kuzidi uwezo wangu, vitabu hakuna, sina hela za kwenda tuishen, n.k. Form 4 matokeo yalitoka nina division 4 mbaya sana lakini waziri wa elimu wakati huo...
  15. JamiiForums Tanzania Sijui na London pia kutatokea Fursa ya 'Kupaishwa' kama ya Nairobi ili 'niwarembulie' zaidi na 'Macho Kungu' yangu..!!!!

    Ikitokea nitaamini kuwa kweli Wasukuma wana Dawa Kali ya Mvuto mbele ya Wageni wanazowapa Wageni wao hasa hasa Wasio Wasukuma japo Dawa ya Kutuliza Hasira ya Tozo Kali kwa Watanzania mpaka hii leo wameikosa.
  16. JamiiForums Tanzania Namtafuta huyu ndugu yangu member wa JF

    Namtafuta ndugu yangu jidu la mabambasi au jidu reli popote ulipo...ukiupata ujumbe huu popote pale nitafute
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania yangu, mazingira yangu

    Tanzania, Tanzania nchi nzuri na inayovutia kila upande ikiwa na watu wenye upendo, furaha na amani. Asubui ndege uimba kwa sauti mubashara, kaskazini wanyama na milima ya vutia, vilima na bahari vyenye ubaridi na upepo mwanana vya pendeza mbele za macho ya watu. Tanzania nchi yenye milima...
  18. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Makosa ni Yangu

    Makosa ni Yangu Majira ya kiangazi nchi Tanzania katika viunga vya jiji la kitalii Arusha ,Nikiwa katika mitaa ya Njiro ambako wenyeji wanapaita ni mitaa ya kishua nami nikiwa nimekaa katika kibaraza cha mzee wa kipemba nikipigwa na vumbi ambalo tunaishi nalo kila siku maana barabara za mtaani...
  19. JamiiForums Tanzania Ni ukweli unaoniuma ila acha tu niuseme Roho yangu ipoe

    Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE. Namkubali mno na Ninampenda.
  20. JamiiForums Tanzania Nalazimika kuwa adui wa rafiki wa rafiki yangu

    Iko hivi, nina mshkaji wangu peace sana tunaelewana mtu wa kazi kazi. Nayeye ana mshkaji wake sasa ilitokea wakagombana kisa mikopo maana mwana alienda kopa na mwana ndio alimdhamini. Sasa kwenye marejesho mwana kala chocho, hivyo msala ikabidi mshkaji ausolve ukaisha. Ghafla mwamba huyu hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…