yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  2. JamiiForums Tanzania Nachukia Nchi yangu - Serikali ijirekebishe

    Kwa kweli nachukia mambo yanayoendelea kwenye nchi yangu na uonevu mkubwa wa mifumo yetu. Niwape pole sana kwa report mbaya ya CAG, ila pia niseme kisa changu kinachoula moyo wangu. Nilikuwa nina safari ya Mbeya ya kikazi na gari langu, kweli ni my dream car na nimelinunua kwa gharama na...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania

    Habari wanajf? Ifikie hatua hii nchi iweke namna ya kudili watu wanaoihujumu nchi yetu siyo Kila Mara ripoti ya CAG iwe inasononesha watu mitima yao. Kuna watanzania wana matatizo mengi Ila wanajitoa kuchangia Kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yao alafu wajanja wachache ambao wameaminiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nipe hela yangu

  5. JamiiForums Tanzania Simu yangu ilivyonusurika kuibiwa leo asubuhi

    Leo asubuhi majira ya saa kumi na moja na nusu asubuhi, nikiwa na familia safarini kutembelea shamba maeneo ya Kisarawe, muda huo ndugu yangu x akiwa anadrive maeneo ya Malamba Mawili kwa ndodi, baada ya kufika maeneo hayo ndugu yangu dereva aliniambia nishike usukani. Yeye sio mzoefu sana wa...
  6. JamiiForums Tanzania BAKWATA mnayajua mateso ya mwanamke akiolewa katika umri mdogo?

    Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake. Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwako rafiki yangu na Dada yangu

    Kwako Dada yangu na rafiki yangu humu JF especialy jukwaa letu pendwa la MMU. Nimeamua kukuandikia huu ujumbe jukwaani badala ya kukutumia PM.. Rafiki yangu nilichokigundua ni kwamba unataka kupendwa, ndiyo maana moyo wako ni rahisi kupenda. Watu wengi huwa wanalipenda tu wazo la kupenda na...
  8. JamiiForums Tanzania Laptop nzuri ya Programming budget yangu 2.2M

    Wakuuu za sahizi nipo Dar nilikuwa natafuta PC Au laptop nzuri ya 2.2M kama budget yangu Nilikuwa naomba muongozo wa sehemu nzuri ya kuipatia na pia specifications zake Napendelea kampuni ya dell Nipo chuo 1st year napiga IS Shukrani 👍☺️
  9. JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Hii simulizi, kwa namna moja au nyingine, ina link na simulizi yangu ya kwanza kabisa hapa jukwaani Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha... Maswali mengi ambayo hamkuyapatia majibu kwenye simulizi ile, basi mtayapata kwenye hii ya sasa. Na mengine ambayo hamtoyapata humu, pengine...
  10. JamiiForums Tanzania Serekali yangu pendwa mkulima ni yule aliyepo shambani.

    Nimestaajqbishwa mno na serekali yetu pendwa kuokota vijana mijini na kuwafundisha kilimo, badala ya kumfuata mkulima shambani na kumuongezea nguvu endapo kama ana ekari 2 muwezesheni afikie kumi, na anayelima ekari kumi muwezesheni alime 30 ekari, lakini kuokota vijana mijini na kuwapeleka...
  11. JamiiForums Tanzania Experience yangu na cat converter (masega) ya kichina

    Kwanza kabla sijaanza kueleza kisa changu naomba niongee kitu kimoja. Huwa nashangaa sana unakuta mtu ana IST old model, passo, harrier old, Noah Sr40/sr50, Noah voxy za mwanzoni, Harrier chogo matoleo ya mwanzo, raum, spacio, n.k. anapagawa gari yake ikitolewa masega. Tena kibaya zaidi kama...
  12. JamiiForums Tanzania Nawatakia Waislam wote Ramadhan njema, haya ni yangu machache

    NAWATAKIA WAISLAM WOTE RAMADHAN NJEMA, HAYA NI YANGU MACHACHE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ninapenda kuwatakia Waislam wote Ramadhan njema. Mwezi huu ni muhimu katika dini ya kiislam kwani inaaminiwa kuwa ndio mwezi ambao Quran tukufu ilishushwa Kwa mara ya Kwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Nimemla shemeji mke wa kaka yangu baada ya kaka kwenda London

    Nilimuambia brother huyu mke wako nitamla ILa brother alikuwa mbishi na kiburi kwa sababu anasema mke ni mwaminifu nikasema bwana mke wako mbona ananitega? Kwasababu akienda bafuni anaenda na kanga moko halafu anitingishia matakro ila sijajua kwanini ananitega kwasbabu mimi nina akili au nini...
  14. JamiiForums Tanzania Nimezoea Reggae na Hip Hop leo nimeiongeza Gospel kwenye orodha yangu

    Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo nikaamua nisikilize Gospel. Dah, siku yangu imeisha vizuri mnoo. Hawa wamehusika kuniburudisha...
  15. JamiiForums Tanzania Jirani yangu ni mganga, anatufanya tusilale usiku

    Ni mwaka na miezi 2 tokea nimeanza kuishi maeneo haya mwazoni tulikuwa tunaishi vizuri, sababu Mimi napenda maeneo yanayotulia makelele sipendagi kabisa. Miezi 2 nyuma Jirani yangu aliuza nyumba, yake mtu alionunua Ile nyumba hatumfahamu shida imeanza wiki ya pili sasa usiku hatulali, ni...
  16. JamiiForums Tanzania Wazazi tuwafundishe watoto wetu upendo

    Mtu mmoja aliniuliza kitu gani miongoni mwa vitu ambavyo najutia maishani..nilimjibu kitu fulani lakini leo napenda kujibu hapa kushare na wengine labda inaweza kusaidia kubadili mitazamo yetu kuhusu maisha. Binafsi najutia tabia yangu fulani ya utotoni...tabia yangu na ya baadhi ya rafiki...
  17. JamiiForums Tanzania Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

    Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu. Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
  18. JamiiForums Tanzania Maoni yangu

    Jana nimekaa nimewaza sana tu . WANAUME humu wanaume wanaona kila anayetrend Kwa kucomment ,Kwa posts ni anajiuza ndio mindset yao, so mie nimeona siwezi kuendelea kupretend na kuishi mahali ili hali unaonekana tofauti. WANAWAKE Humu wanawake wengine ni wapo Kwa shughuli Moja tu kupendwa ...
  19. JamiiForums Tanzania Nimenyimwa kukopeshwa mkate wa buku nikanywe chai na familia yangu

    Huyu muuza duka nimejuana nae miezi 3 iliyopita na toka hapo nakopaga ila nampa pesa yake jioni nikifeli saana kesho asubuhi nampati. Sasa Jana asubuhi nimepitia hapo asubuhi baada ya kutoka kwenye ofisi yangu nikamwambia anipe mkate wa buku hela nampitishia jioni, akagoma kunipatia akidai...
  20. JamiiForums Tanzania Birthday yangu inakaribia, sina amani wala furaha, na sifurahii kitu

    Sina mke licha ya kwamba nina watoto wawili kwa mama wawili. Nina madeni kila idara, biashara haziendi kabisa na sikopesheki tena. Nadaiwa NMB, NBC na Benki ya Maendeleo Bank Bank ya kanisa. Nina msongo mkali sana wa mawazo maana mpaka sasa malI zangu zimepotea kwa kuziweka kama collateral...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…