yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CCM kimeanza kuumana

    Bandari, bandari Bandari ===== Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World
  2. JamiiForums Tanzania Experience yangu JF miaka 10 iliyopita

    Habari za usiku waungwana. Nimekumbuka experience yangu humu JF 10 years ago, nilikutana na a nice guy, ngoja nishee nanyi. Ilikuwa ndo nimegraduate chuo kikuu, nikaajiriwa kampuni X jijini Arusha, ilikuwa kampuni yenye projects nyingi, halafu za kusafiri almost every week kuna trip. Mimi ndo...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

    Habari za jumapili wakuu, hope mko vizuri. Nipo vizuri pia ingawa nipo njia panda kwa hili jambo. Kuna jamaa zangu wawili mapacha wanyaturu huwa wana mdogo wao wa kike, ni mrembo Pro Max. Katika ile familia, naweza kumpa credit mama yao kwa kufyatua watoto wazuri kupita maelezo pale mtaani...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Rejeta yangu inamwaga maji kwa presha

    Wakuu Habari za weekend Jana nimedrive gari Kwa umbali kama wa kilometres 2, Nikafungua mfuniko wa rejeta, kilichotokea ni maji kuruka Kwa nguvu Sana kama video inavyoonyesha, Maswali yangu ni kama ifuatavyo 1 shida ni Rejeta 2 shida ni engine 3 shida ni gasket 4 au shida ni feni zile za...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Serikali kuruhusu rasmi Mabasi Kusafiri 24hrs haya ndiyo Maombi yangu Makuu kwa Wahusika

    1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti. Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz 2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria...
  6. JamiiForums Tanzania Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

    Wakuu hii haki kweli? Nimemuajiri kijana wa miaka 24 kama dereva wa gari yangu inayotoa huduma ya usafiri chini ya kampuni ya Bolt imepita miezi nane tangu nimkabizi. Nilimpa maelekezo kuwa afunge kazi saa tano kamili usiku na baada ya hapo alete gari nyumbani. Alifuata maelekezo yangu lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu kuku, namla peke yangu! Wageni sitaki!!

    Nikiwa ketu huku usukumani, nikija likizo mjomba huwa ananiwekea li kuku king size ili nile nishibe. Sasa nyie wa mjini ati vi fried chicken vya Chick King au Mary Brown, najua hamshibi. Nataka watu wengine twende karibuni wote Bariadi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

    Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
  9. JamiiForums Tanzania Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

    Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?! Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?! Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Taifa langu Jamii yangu

    Utawala bora na Uwajibikaji! Hivi ni vitu gani? Nani hawajibiki? Je utawala siyo bora? Nani ni mtawala? Mtawala ndiye hawajibiki? Au anayetawaliwa hawajibiki? Kipi kinaathirika zaidi ikiwa mtawala na mtawaliwa hawawajibiki katika nafasi zao? Tunaona sawa ila tunatazama tofauti.Ndiyo,mitazamo...
  11. JamiiForums Tanzania Niliyokutana nayo katika safari yangu ya jahazi kutoka Wete(Pemba) mpaka Tanga, vimbwanga vya mabaharia

    Habari waungwana? Yah, juzi nikiwa natoka Pemba Kaskazini (Wete) nikielekea Tanga nilipanda jahazi kutokana na ufinyu wa usafiri wa meli za kutoka Pemba kuelekea bara, lakini pia si unajua bajeti maana uchumi mgumu bado sijatengamaa. Basi bwana nikafika bandarini pale Wete asubuhi ya saa tatu...
  12. JamiiForums Tanzania Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

    Uongozi wa Simba SC hakuna ulazima kila Yanga SC ikitoa Ripoti yake hasa ya Mapato au Mafanikio fulani basi nanyi pia haraka sana mje na yenu ya Kubumba (Kupika) na kufanya Kwenu hivi ni Kutudhalilisha wana Simba SC wengi wenye akili kubwa kuliko hata nyie mlioko uongozini. Ni Mwendawazimu tu...
  13. JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, anamuimba Manzi yangu

    Iko hivi, nina Manzi yupo grocery, anauza vinywaji.. sasa huyu Manzi mimi kanitunuka fresh fresh, na najua manzi ananielewa sana Sasa ninefika location hapa nakutana na mwamba tumejuana juzi juzi tu, kaniona tu Nimepigwa ofa za bia.. huyu jamaa anafanya kazi na bro angu. Sasa anamuimba Manzi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

    Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa.. Yaani kila...
  15. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote. Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha...
  16. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Yangu majuto

    Karatasi nalivuta, Natamani kuandika, Mambo yaliyonikuta, mwili unatetemeka, Nani wa kuyafuta, Machozi yananitoka, Ninaishia kujuta, Kila ninapokumbuka, Nilikua mgomvi, Makundi kutengeneza, Nilikua ajizi, mazuri kuyapoteza, Nilikua jambazi , wanyonge kuwaumiza, Nilikua bazazi , uongo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

    Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!! Swali langu : Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Nimejaribu kusoma na kuisikiliza mijadala juu ya hili sakata la DP World. Kwa kweli mpaka Sasa kama taifa bado tunarumbana juu ya sisi Kwa sisi Cha kushangaza zaidi hata hao wasomi wa Sheria katika nchi hii wameshindwa kuwa na tafsiri ya pamoja katika mkaba huu. Tofauti na ilivyotarajiwa sasa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

    Habari zenu, Nina jambo ambalo linanitatiza jamani. Mimi ni mkazi wa Dar na asili yangu ni mkoa fulani ukanda wa pwani. Nimetokea kwenye familia za kiswahili, baadhi wamenielewa familia za namna gani. Naomba niende straight to the point ni hivi nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina yan...
  20. JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Namnyofoaje baba yangu kwenye Shirika kabla Rais Samia hajamuwajibisha?

    Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida. Mzee anadai hawezi nyofoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…