Alihamdulilah tumeshinda
Kipindi cha kwanza nilishindwa kuelewa hata kidogo game plan ya mwalimu ya pale kati kuwepo Camara tu mbaya zaidi akichezeshwa kama no 6 binafsi mi ni muumini wa traits binafsi za mchezaji then ndo yafuate maelekezo ya mwalimu Camara ni mzuri zaidi kwenye kuchezesha timu...