yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hahaha.... Basi kama maono yangu yatatimia, big up FAM na TAL + CDM

    Picha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule. Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai

    Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa. CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ghafla laptop yangu inakataa kufungua website

    Habari wataalamu. Nina laptop yangu HP touch screen. Mwanzoni mpaka juzi nilikuwa naingia vizuri tu katika website mbalimbali. Cha kushangaza kuanzia juzi inakataa. Ila wifi inaunga vizuri tu. Je nini tatizo? na Suluhisho? Ahsante sana kwa msaada wenu.
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  5. JamiiForums Tanzania AFANDE SELE FT 20% - MBELE YAKO NYUMA YANGU.

    AFANDE SELE FT 20% MBELE YAKO NYUMA YANGU.. Intro. Yah..hahahaha mj Record sio Afande sele, asilimia na Marco chali Hahahaha chorus.. 20% . Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu mie/ Usinichukie Weee..!!/ Ndugu yangu/ Uuuh.. Mbele yako / Mbele yako/ Nyuma yangu/ Nyuma yangu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania STORI YANGU; Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na Mama yake!

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi, maoni yangu ni haya

    Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:- 1. Kiundwe chombo cha kitaifa kitakachoongoza na kuratibu hii movement. - Chombo hiki kitokane na angalau Watanzania wa makundi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya wakinga kukataa mahari yangu niliamua haya yafuatayo

    Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3 Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani mawazo yakachange roho ikasita nikawaza hivi nigharimike hela nyingi ambapo unaweza oa na wengine...
  9. N

    JamiiForums Tanzania NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
  10. JamiiForums Tanzania Nasikitika Kura yangu 2020 nilimpigia Lissu

    Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato. Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya. Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi...
  11. JamiiForums Tanzania Mwamposa anauwezo wa kuombea mikeka yangu ikatiki?

    Kuna mikeka nimesuka mitatu ikitiki tu hiyo baasi. Wale mashabiki wa mwamposa hivi huyu bwana anaweza kuiombea kwa makubaliano kuwa ikitiki nitamlipa 5%?
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu hajibiwi message wala kupokelewa simu zaidi ya kukatiwa tu

    Ni baada ya jana kugombana kidogo na mpenzi wake siku nzima anakatiwa simu mara akipiga anakuta inatumika ila akipiga yeye simu haishikwi Anaomba ushauri mzuri Cha kufanya
  13. JamiiForums Tanzania App ya Dstv stream ina tatizo au ni simu yangu tu?!

    Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza. Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Binamu yangu na safari hadi ya kuwa mtendaji

    Mawasilino na binamu Mimi....Hongereni binamu kwa uchaguzi huko nyumbani. Binamu....Asante ndugu yangu ,nilikuambia hatuwezi kukubali kutangaza mpizani hata kama ameshinda. Binamu....Zengwe tulianza mapema hata kabla ya uchaguzi au huangali taarifa ya habari huko mjini. Mimi....Nimewaona...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimeweza kuzishinda hisia, nipeni maua yangu

    Mli bwanji? Kuna manzi ukiachana na yule nurse nilowapa story yake, huyu manzi anafanya kazi kama manager restaurant flani kubwa hapa mjini. Huyu manzi tumuite Kokugonza, baada ya kuzoea kupata chakula pale mara Kwa mara tukazoeana. Imeenda mwisho wa siku tukabadilishana namba. Kwa uzuri huyu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Application yangu hii hapa kwa sasa ni ya android ipo testing naomba ushauri wako..

    Hello wakuu nimetengeneza application ya simu inayohusiana na Real estate jisajili tumia weka comments...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
  18. JamiiForums Tanzania Nauza computer yangu HP ProBook 450 G4

    NAUZA COMPUTER YANGU BINAFSI AINA YA HP PROBOOK YENYE SIFA ZIFUATAZO Model: HP Probook 450 G4 CPU: core i7 7th GENERATION Storage: 512GB (Ssd). Ram: 16Gb Price: Tsh. 680,000/= NOTE: Location DSM TANZANIA Whatsap No: 0716056030 Call Number: 0714739838
  19. JamiiForums Tanzania Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

    Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa Daaah familia mzima tumepigwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Tofauti ya siasa na wanasiasa katika nchi yangu na mataifa mengine

    Jambo wana Jamii Forums, Natarajia mu wote mko poa sana. Leo ningependa kujadili kidogo kuhusu historia ya siasa ya Tanzania. Siasa ya Tanzania imeshuhudia mabadiliko mengi tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961. Tumeshuhudia utawala wa chama kimoja (CCM) kwa muda mrefu, na pia mabadiliko ya vyama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…